Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?
Nani kasema Pacemaker inakufanya uishi milele? akili gani hizi?
wewe huna hiyo Pacemaker je utaishi milele?

Hayo maswali uliyoweka hapo ndio ulitakiwa ujiulize au uulize kabla ya kupinga jambo hilo toka mwanzo ili ueleweshwe na wataalamu,

Halafu tambua kua Hackers hawazuiliki kwenye kila kitu,kumbuka kua Russia wali hack uchaguzi wa US,huo ni mfano mmoja tu nimekupa,

Naona umeamua kujitutumua baada ya kukwambia ukweli.
Thibitisha kupita shaka Kwamba Russia walihaki uchaguzi wa USA.
 
Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator.

Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa mwaka 2019 linaloonya makampuni yanayotengeneza pacemaker/defibrillator kuhusu hatari ya kifaa hicho kudukuliwa na wataalam wa udukuzi na kupelekea hata kifo kwa watu waliopandikizwa kifaa hicho.

Ukitaka kusoma onyo hilo unaweza kugonga hapa;
Link>>> Pacemakers and Hacker Dangers

Wizara hiyo ilibainisha kuwa wadukuzi wanaweza kuingilia mifumo ya pacemaker/defibrillator na kuweza kubadilisha mawasiliano yake ambapo inaweza kupelekea mtu aliyewekewa kifaa kufariki.

Wizara hiyo ilienda mbali zaidi na kusema hata wadukuzi ''mwenye uwezo mdogo'' wanaweza kudukua pacemaker/defibrillator na kufanikiwa kuleta madhara makubwa kwa watu waliopandikizwa vifaa hivyo kwa sababu vifaa hivyo havina mfumo wa uhakiki au idhini (authentication or authorization) ambao ni kinga ya mwanzo dhidi ya udukuzi.

Onyo hili lilipelekea watoa huduma ya afya nchini Marekani kuwaita wananchi wa Marekani zaidi ya nusu milioni waliopandikizwa vifaa hivyo na kuwaeleza ukweli wake.

Kama kifaa hiki kinaweza kudukuliwa hata na wadukuzi wenye uwezo mdogo na kuleta madhara au kifo, inafikirisha sana kusikia kifo cha Rais Magufuli kimesababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator.

Inafikirisha zaidi baada ya kusoma makala iliyoandikwa na Tundu Lissu kupitia gazeti la Afrika ya Kusini liitwalo Maverick akidai alidokezwa kuhusu hali ya Rais Magufuli na chanzo cha ''uhakika'' kutoka Marekani tarehe 6 Machi.

Ukitaka kusoma makala hiyo gonga hapa;
Link>>> OP-ED: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Ukiyachanganua maelezo ya Tundu Lissu utagundua kuwa chanzo cha ''uhakika'' walijua wamefanikiwa ''mission'' ya kudukua hasa baada ya Rais Magufuli kwenda katika hospitali ya Muhimbili tarehe 6 Machi kutibiwa ambapo inaonekana daktari/madaktari walitoa siri hiyo nje lakini baada ya kutoka Muhimbili siku ya pili hawakujua yuko wapi kutokana na usiri wa hali ya juu wa ulinzi wa Rais Magufuli.

Hata gazeti ya Kijasusi liitwalo Africaintelligence halikuweza kujua aliko na likadai habari zinazosema yuko Kenya au India sio za kweli kwa sababu limefanya uchunguzi na kugundua sio kweli.

Kama chanzo cha kifo cha Rais Magufuli kitakuwa ni kudukuliwa kwa pacemaker/defibrillator, hii itakuwa ni aibu na udhaifu mkubwa kwa vyombo vilivyopewa mamlaka ya ulinzi na usalama wa taasisi ya Urais nchini Tanzania. Taasisi ya Ulinzi na Usalama inawezekana ilikuwa imejikita katika ulinzi wa mwili(Physical security ) pekee bila kujiandaa kwenye ulinzi wa saibenetiki(cybersecurity).

Kuna baadhi ya watu watajiuliza, kwa nini pacemaker/defibrillator ya Rais Magufuli idukuliwa kwa sasa?

Mtu mwenye upeo mkubwa atajua muda huu ndio ulikuwa ni muda mwafaka kiujasusi baada ya uchaguzi mkuu 2020 kwa sababu nguvu zilizokuwa zimewekezwa katika Uchaguzi Mkuu 2020 ili kumuondoa Rais Magufuli madarakani kwa njia ya sanduku la kura au maandamano kupitia kwa Tundu Lissu kutofanikiwa.

Ukisikiliza sauti ya tatu utagundua kuwa Tundu Lissu aliwaaminisha ''majasusi'' ana uwezo wa kumtoa Rais Magufuli madarakani kwa kura au maandamano.

Ieleweke kuwa, katika baadhi ya misheni hasa za kijasusi zenye changamano na tata huwa kuna mpango(plan) zaidi ya mmoja. Baada ya mpango wa kwanza kushindwa, mpango wa pili ulichukua nafasi yake na kufanikiwa!

Nadhani hoja za kinadharia kutoka kwa baadhi ya wanasiasa hasa wabunge za kutaka kubadilisha katiba ya Tanzania ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa Urais pia zimeharakisha sana ''mission'' hii kabla hawajaanza kuandika ''miswaada binafsi'' na kupeleka bungeni kwa sababu ungepitishwa bila kikwazo chochote!

Mission accomplished, the rest is history!

NOTA BENE.
Kwa wasiojua, pacemaker/defibrillatorni ni kifaa kidogo cha umeme chenye ukubwa kama kiberiti ambacho hufuatilia na kudhibiti wimbo wa moyo ambacho huingizwa kwenye kifua ili kufuatilia na kudhibiti sauti ya moyo isiyo ya kawaida ili kusukuma damu kwa kiwango kinachotakiwa.
URL]
usiwe haraka mkuu wazee wa Gamboshi wakikaa watu wote watajitokeza wenyewe.
 
W
Sikiliza ww usiejua ukiambiwa beberu......
ujue mengi ni mazungu kupitia makampuni yao bado wana maslahi ya kinyonyaji nchi za Africa ie kwenye madini na raw material mbalimbali...
we call them (economic hitmen)......
akili yako ndogo hata kujua vitu vya wazi kama hivi huwezi......
alafu angalia hiyo paragraph yako ya mwisho inakuchora balaa!
Bajeti deficit yote unatarajia kupewa na hao mabeberu halafu unawatukana. Una akili wewe.

Usifikiri jamaa ameandika akiwa hajui ana maanisha nn. Ametaka ufikiri nje ya box. Ndiyo maana kaweka alama ya kuuliza kwamba mabeberu ni hao?

Na kama Ni hao na wanafanya hayo yte kwa nchi yko unakuwa na akili gani kuwatukana?
 
So you admit ni conspiracy? okay so its not real.

Lissu yeye alipata formal information kuwa rais ana hali mbaya.. baadae akiwa ameondoka. sio eti kama hacked. ameondoka na nn na nn sababu hapo hakujua.

So badala ya ku stick kutunga empty theories na whitch hunt hapa..
tumuenzi kwa mazuri aliyotenda our late president.
Alipata kama nani..?
 
Hakuna mwanadamu anayeweza kumuua mwingine bila Mungu kuachilia, na Mungu huachilia ili aweze kufanya malipizi kwa sifa na utukufu wake kama alivyofanya kwa Samson hata kwa Yesu

Kama wapo waliopewa pesa ili kumuua kama Yudas alivyofanya kwa Yesu, wakumbuke tuu kwamba

"Mwana wa Adamu aenda zake, kama alivyoandikiwa; lakini ole wake mtu yule ambaye amsaliti Mwana wa Adamu! Ingekuwa heri kwake mtu yule kama asingalizaliwa." Mathayo 26:24
Kumbe Ni Mungu ameruhusu.Basi Mungu wetu Ni wa haki sana .Na kazi ya Mungu haina makosa.Jina la Mungu lihidimiwe.

Nb
Mwana wa adamu aliyetamkwa KTK andiko lako ni Yesu Kristo siyo Magufuli. Tafuta andiko linalofanana na hilo linalomhusu Magufuli km binadamu wa kawaida.

Mazingira/Muktadha wa neno hilo ulimhusu Yesu Krusto.
 
Waswahili kila Msiba kuna mkono wa mtu.🤷‍♀️

Hivi haiwezekani kuwa ni Mungu tu kaamua kuchukua kiumbe chake?
 
Kumbuka amekuwa na pacemaker/defibrillator kwa zaidi ya miaka 10. why now!
JIWE died of heart attack.Corona inatumika na opposition, vyombo vya habari vya nje na bloggers kwa manufaa yao wenyewe kupata views na mileage kisiasa.Yeye kama mkemia anataka uhakika kwanini mbuzi na papai vinatest positive lakini bado hakupewa jibu kamili zaidi ya kumtangaza kama Trump wa East Africa.
 
Watakebehi hili bandiko lakini kitendo cha Tundu Lissu kuwa mtoa habari wa kwanza kinaonyesha kuna udhibiti ulikuwa unaendelea.Tumshukuru Mungu kwa yaliyotokea na mengi yatajulikana muda unavyokwenda.Kifaa cha umeme au kielectronic ndani ya mwili kinaweza kupokea mawimbi kutoka nje .
Mwenyezi Mungu atatulipia kwa sababu hatutoi machozi ya bure ila na yeye aishie Ubeligiji hukohuko.
Usimuingize Mungu kwenye vitendo vyenu vya ki HALIFU, Ben Saanane mlimzika wapi? Unadhani ndugu zake, mtoto na mke wanauchungu kiasi gani?
 
Um
Umejuaje Bujibuji hajui chochote wakati wewe mwenyewe hujui chochote.

Majibu yoyote unayopewa ni sahihi kwasababu umeshakiri tayari wewe Ni mbumbumbu kwa mada uliyoleta. Sasa matusi na dharau za nini.

Fanya Interpretation and Analysis of data. Haya mambo huyajui?

Unaleta hoja ya kijasusi halafu unapuuzia taarifa.
Wewe ni mke wa huyo Bujibuji? au ni kiherehere tuu? au unawashwa?
 
Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator.

Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa mwaka 2019 linaloonya makampuni yanayotengeneza pacemaker/defibrillator kuhusu hatari ya kifaa hicho kudukuliwa na wataalam wa udukuzi na kupelekea hata kifo kwa watu waliopandikizwa kifaa hicho.

Ukitaka kusoma onyo hilo unaweza kugonga hapa;
Link>>> Pacemakers and Hacker Dangers

Wizara hiyo ilibainisha kuwa wadukuzi wanaweza kuingilia mifumo ya pacemaker/defibrillator na kuweza kubadilisha mawasiliano yake ambapo inaweza kupelekea mtu aliyewekewa kifaa kufariki.

Wizara hiyo ilienda mbali zaidi na kusema hata wadukuzi ''mwenye uwezo mdogo'' wanaweza kudukua pacemaker/defibrillator na kufanikiwa kuleta madhara makubwa kwa watu waliopandikizwa vifaa hivyo kwa sababu vifaa hivyo havina mfumo wa uhakiki au idhini (authentication or authorization) ambao ni kinga ya mwanzo dhidi ya udukuzi.

Onyo hili lilipelekea watoa huduma ya afya nchini Marekani kuwaita wananchi wa Marekani zaidi ya nusu milioni waliopandikizwa vifaa hivyo na kuwaeleza ukweli wake.

Kama kifaa hiki kinaweza kudukuliwa hata na wadukuzi wenye uwezo mdogo na kuleta madhara au kifo, inafikirisha sana kusikia kifo cha Rais Magufuli kimesababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator.

Inafikirisha zaidi baada ya kusoma makala iliyoandikwa na Tundu Lissu kupitia gazeti la Afrika ya Kusini liitwalo Maverick akidai alidokezwa kuhusu hali ya Rais Magufuli na chanzo cha ''uhakika'' kutoka Marekani tarehe 6 Machi.

Ukitaka kusoma makala hiyo gonga hapa;
Link>>> OP-ED: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Ukiyachanganua maelezo ya Tundu Lissu utagundua kuwa chanzo cha ''uhakika'' walijua wamefanikiwa ''mission'' ya kudukua hasa baada ya Rais Magufuli kwenda katika hospitali ya Muhimbili tarehe 6 Machi kutibiwa ambapo inaonekana daktari/madaktari walitoa siri hiyo nje lakini baada ya kutoka Muhimbili siku ya pili hawakujua yuko wapi kutokana na usiri wa hali ya juu wa ulinzi wa Rais Magufuli.

Hata gazeti ya Kijasusi liitwalo Africaintelligence halikuweza kujua aliko na likadai habari zinazosema yuko Kenya au India sio za kweli kwa sababu limefanya uchunguzi na kugundua sio kweli.

Kama chanzo cha kifo cha Rais Magufuli kitakuwa ni kudukuliwa kwa pacemaker/defibrillator, hii itakuwa ni aibu na udhaifu mkubwa kwa vyombo vilivyopewa mamlaka ya ulinzi na usalama wa taasisi ya Urais nchini Tanzania. Taasisi ya Ulinzi na Usalama inawezekana ilikuwa imejikita katika ulinzi wa mwili(Physical security ) pekee bila kujiandaa kwenye ulinzi wa saibenetiki(cybersecurity).

Kuna baadhi ya watu watajiuliza, kwa nini pacemaker/defibrillator ya Rais Magufuli idukuliwa kwa sasa?

Mtu mwenye upeo mkubwa atajua muda huu ndio ulikuwa ni muda mwafaka kiujasusi baada ya uchaguzi mkuu 2020 kwa sababu nguvu zilizokuwa zimewekezwa katika Uchaguzi Mkuu 2020 ili kumuondoa Rais Magufuli madarakani kwa njia ya sanduku la kura au maandamano kupitia kwa Tundu Lissu kutofanikiwa.

Ukisikiliza sauti ya tatu utagundua kuwa Tundu Lissu aliwaaminisha ''majasusi'' ana uwezo wa kumtoa Rais Magufuli madarakani kwa kura au maandamano.

Ieleweke kuwa, katika baadhi ya misheni hasa za kijasusi zenye changamano na tata huwa kuna mpango(plan) zaidi ya mmoja. Baada ya mpango wa kwanza kushindwa, mpango wa pili ulichukua nafasi yake na kufanikiwa!

Nadhani hoja za kinadharia kutoka kwa baadhi ya wanasiasa hasa wabunge za kutaka kubadilisha katiba ya Tanzania ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa Urais pia zimeharakisha sana ''mission'' hii kabla hawajaanza kuandika ''miswaada binafsi'' na kupeleka bungeni kwa sababu ungepitishwa bila kikwazo chochote!

Mission accomplished, the rest is history!

NOTA BENE.
Kwa wasiojua, pacemaker/defibrillatorni ni kifaa kidogo cha umeme chenye ukubwa kama kiberiti ambacho hufuatilia na kudhibiti wimbo wa moyo ambacho huingizwa kwenye kifua ili kufuatilia na kudhibiti sauti ya moyo isiyo ya kawaida ili kusukuma damu kwa kiwango kinachotakiwa.
URL]
Hakuna ktu ka hiki
 
Kumbe Ni Mungu ameruhusu.Basi Mungu wetu Ni wa haki sana .Na kazi ya Mungu haina makosa.Jina la Mungu lihidimiwe.

Nb
Mwana wa adamu aliyetamkwa KTK andiko lako ni Yesu Kristo siyo Magufuli. Tafuta andiko linalofanana na hilo linalomhusu Magufuli km binadamu wa kawaida.

Mazingira/Muktadha wa neno hilo ulimhusu Yesu Krusto.
Note:
Na nimemjibu aliyesema kwamba kama ni hivyo hakuna linalotokea bila Mungu kuachilia.... na ni kwa sifa na utukufu wake.
Na sijasema kwamba Magufuli ni Yesu ila Yesu Kristo alizaliwa na kuishi kama binadamu, alifanya miujiza mingi na hawakuona mwisho wakamuuwakamuu wakiamini ni mtu wa kawaida tuu......,

Kumbuka huyohuyo Mungu alivyoruhusu mnadhiri wake Samson auwawe na wafilisti, pamoja wazazi kujaribu kuzuia Samson alimuoa Delilah ila tunaambia kulikua na sababu toka kwa Mungu na

"Wazazi wake hawakujua kwamba huo ulikuwa mpango wa Mwenyezi-Mungu ambaye alikuwa anatafuta kisa cha kuchukua hatua dhidi ya Wafilisti. Wakati huo, Wafilisti waliwatawala Waisraeli." Waamuzi 14:4​

Hiyo makala niliisoma vizuri.

lakini kuna point moja umeruka sehem. kifaa hicho mawimbi yake ni mafupi mno kiasi kwamba mtu lazima awe so close kuweza ku access hiko kifaa.

Nut in real sense. the way rais alifichwa. ilikuwa ni ngumu sana. kama PM na mawaziri hawakujua, nani angemsogelea rais zaid ya walinzi wake na madkatari wa usalama?

Plus Tanzania hatufikia uwezo wa hacking kiasi hiko. bado tuna safari ndefu.

All in all our late president aliondoka kwa tatizo la moyo. hizi theory sijui ilikuwa hivi ilkkuwa vile hazimrudushia uhai.

Wanausalama walishatoa sababu. Apumzike kwa amani
Umebalance vizuri
 
Back
Top Bottom