Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?
Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator.

Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa mwaka 2019 linaloonya makampuni yanayotengeneza pacemaker/defibrillator kuhusu hatari ya kifaa hicho kudukuliwa na wataalam wa udukuzi na kupelekea hata kifo kwa watu waliopandikizwa kifaa hicho.

Ukitaka kusoma onyo hilo unaweza kugonga hapa;
Link>>> Pacemakers and Hacker Dangers

Wizara hiyo ilibainisha kuwa wadukuzi wanaweza kuingilia mifumo ya pacemaker/defibrillator na kuweza kubadilisha mawasiliano yake ambapo inaweza kupelekea mtu aliyewekewa kifaa kufariki.

Wizara hiyo ilienda mbali zaidi na kusema hata wadukuzi ''mwenye uwezo mdogo'' wanaweza kudukua pacemaker/defibrillator na kufanikiwa kuleta madhara makubwa kwa watu waliopandikizwa vifaa hivyo kwa sababu vifaa hivyo havina mfumo wa uhakiki au idhini (authentication or authorization) ambao ni kinga ya mwanzo dhidi ya udukuzi.

Onyo hili lilipelekea watoa huduma ya afya nchini Marekani kuwaita wananchi wa Marekani zaidi ya nusu milioni waliopandikizwa vifaa hivyo na kuwaeleza ukweli wake.

Kama kifaa hiki kinaweza kudukuliwa hata na wadukuzi wenye uwezo mdogo na kuleta madhara au kifo, inafikirisha sana kusikia kifo cha Rais Magufuli kimesababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator.

Inafikirisha zaidi baada ya kusoma makala iliyoandikwa na Tundu Lissu kupitia gazeti la Afrika ya Kusini liitwalo Maverick akidai alidokezwa kuhusu hali ya Rais Magufuli na chanzo cha ''uhakika'' kutoka Marekani tarehe 6 Machi.

Ukitaka kusoma makala hiyo gonga hapa;
Link>>> OP-ED: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli

Ukiyachanganua maelezo ya Tundu Lissu utagundua kuwa chanzo cha ''uhakika'' walijua wamefanikiwa ''mission'' ya kudukua hasa baada ya Rais Magufuli kwenda katika hospitali ya Muhimbili tarehe 6 Machi kutibiwa ambapo inaonekana daktari/madaktari walitoa siri hiyo nje lakini baada ya kutoka Muhimbili siku ya pili hawakujua yuko wapi kutokana na usiri wa hali ya juu wa ulinzi wa Rais Magufuli.

Hata gazeti ya Kijasusi liitwalo Africaintelligence halikuweza kujua aliko na likadai habari zinazosema yuko Kenya au India sio za kweli kwa sababu limefanya uchunguzi na kugundua sio kweli.

Kama chanzo cha kifo cha Rais Magufuli kitakuwa ni kudukuliwa kwa pacemaker/defibrillator, hii itakuwa ni aibu na udhaifu mkubwa kwa vyombo vilivyopewa mamlaka ya ulinzi na usalama wa taasisi ya Urais nchini Tanzania. Taasisi ya Ulinzi na Usalama inawezekana ilikuwa imejikita katika ulinzi wa mwili(Physical security ) pekee bila kujiandaa kwenye ulinzi wa saibenetiki(cybersecurity).

Kuna baadhi ya watu watajiuliza, kwa nini pacemaker/defibrillator ya Rais Magufuli idukuliwa kwa sasa?

Mtu mwenye upeo mkubwa atajua muda huu ndio ulikuwa ni muda mwafaka kiujasusi baada ya uchaguzi mkuu 2020 kwa sababu nguvu zilizokuwa zimewekezwa katika Uchaguzi Mkuu 2020 ili kumuondoa Rais Magufuli madarakani kwa njia ya sanduku la kura au maandamano kupitia kwa Tundu Lissu kutofanikiwa.

Ukisikiliza sauti ya tatu utagundua kuwa Tundu Lissu aliwaaminisha ''majasusi'' ana uwezo wa kumtoa Rais Magufuli madarakani kwa kura au maandamano.

Ieleweke kuwa, katika baadhi ya misheni hasa za kijasusi zenye changamano na tata huwa kuna mpango(plan) zaidi ya mmoja. Baada ya mpango wa kwanza kushindwa, mpango wa pili ulichukua nafasi yake na kufanikiwa!

Nadhani hoja za kinadharia kutoka kwa baadhi ya wanasiasa hasa wabunge za kutaka kubadilisha katiba ya Tanzania ili kumuongezea Rais Magufuli muda wa Urais pia zimeharakisha sana ''mission'' hii kabla hawajaanza kuandika ''miswaada binafsi'' na kupeleka bungeni kwa sababu ungepitishwa bila kikwazo chochote!

Mission accomplished, the rest is history!

NOTA BENE.
Kwa wasiojua, pacemaker/defibrillatorni ni kifaa kidogo cha umeme chenye ukubwa kama kiberiti ambacho hufuatilia na kudhibiti wimbo wa moyo ambacho huingizwa kwenye kifua ili kufuatilia na kudhibiti sauti ya moyo isiyo ya kawaida ili kusukuma damu kwa kiwango kinachotakiwa.
View attachment 1733899

1616655681777.png


 
Mkuu with all due respect naomba usituzungumzie,jizungumzie mwenyewe.Na hii sio theory,it is a real possibility.Na kwamba sijui lazima mtu awe karibu,hili sio tatizo,mtu anaweza kutafutwa,akawa karibu,na akatimiza uovu huo.The likes of Bill Gates,Anthony Fauci and Rockefeller have unlimited money at their disposal and can literally pay any amount of money as long as their mission is accomplished. Na njaa za watanzania hizi, nani atakataa a Billion or more.

And then don't forget that the American alert inaweza kuwa zuga, ili wasiwe suspected.Kwa technology ilipo leo,naamini kabisa kwamba satellite inaweza kutumika,not forgetting HAARP of course.

Mkuu we need this information,tunahitaji kujua kitu gani kimemuua Rais wetu.Circumstances za kifo chake zinachanganya sana.If there is something you are tying to hide pole sana,possibly unajaribu kumtetea baba yako Shetani, Pythagoras nakujua!
Kama wazo lako ndo hivyo, kuweka usawa basi tungeanza ns Nyerere, na Mkapa. Tusiruke kwa vile kuna wakiokuwa suspicious over the major causes of their deaths.
I think let bygones be bygones. Na uzembe ndani ya kujiamini sana tuache. Dakitari namba moja ws Rais ni Waziri wa Afya!na siyo yule aliyemtibu pale Mzena! Kwani yeye uliwahi kumsikia akisemaje kuhusu tahadhari kwa viongozi wetu? Hata lile thahiri tuu ya kutosongamana kwenye Makundi? Sasa hivi ukiangalia TBC pale Chato ule mlundikano wa watu with bear precautions against covid unaogopa. Baada ya wiki kadhaa zijazo tunaanza ramli kutafuta mchawi atuambie kulikoni.
 
Don’t crush him down Chief, Hebu let’s discuss like grown ups and GTs!

Turudi nyuma mpaka Mwaka 2017 ambapo ghafla ulinzi wa mheshimiwa Rais (hayati JPM) ulibadirika kutoka kuwa tu na wanausalama wachache mpaka kudeploy almost the all PSU team kila alikoenda!

Wengi walisema ni kibiti’s effect lakini it wasn’t confirmed by any authority!

But kingine tujiangalie hata sisi wenyewe humu kwa platforms za social media hasa Tweeter & JF, funny enough bado baadhi ya nyuzi zimo humu JF! Very controversial topics and even threats to the late! Nyuzi hizi zilienda sambamba kabisa na muda ulinzi wa the late ulipobadirika! 2017!

Anyway maybe sijui nisemacho pia!
Kuna kitu unakifahamu ila hautaki kufunguka tuu.
 
Nani kasema Pacemaker inakufanya uishi milele? akili gani hizi?
wewe huna hiyo Pacemaker je utaishi milele?

Hayo maswali uliyoweka hapo ndio ulitakiwa ujiulize au uulize kabla ya kupinga jambo hilo toka mwanzo ili ueleweshwe na wataalamu,

Halafu tambua kua Hackers hawazuiliki kwenye kila kitu,kumbuka kua Russia wali hack uchaguzi wa US,huo ni mfano mmoja tu nimekupa,

Naona umeamua kujitutumua baada ya kukwambia ukweli.
Ndio muache kuwekeza kwenye kununua wapinzani bali wekezeni kwenye teknolojia badala ya kusubiria beberu
 
Ndio muache kuwekeza kwenye kununua wapinzani bali wekezeni kwenye teknolojia badala ya kusubiria beberu
Acha kuishi kwa kukariri kama Kasuku,unadhani kila mtu yupo kwenye ushabiki wa kisiasa? halafu hii mada wala haihusiani na mambo ya siasa,

Grow up and get well soon.
 
Nitashangaa kama seriki ya CCM chini ya Mh Rais Samia inatamuacha Tundu Lissu salama bila kumwajibisha.Anatakiwa akamatwe atuambie hao waliyompa information ( from America and sound Africa) na Lengo Lao ilikuwa nini? Walijuaje?
Ingekuwa mimi condition ya kurudi Tanzania na kuitwa Mtanzania ni kuwataja hao informa wake.
Hawezi kuingia kwenye mivutano ya kijinga kwa ajili ya marehemu unless yuko dumb kama wewe maana keshaona madhila ya aina ya uongozi wa Marehemu
 
Asante sana Mkuu kwa hii vdo clp,ila ningependa kujua kua Betri yake hudumu kwa muda gani kabla ya kuisha chaji yake?
kuanzia miaka mi5 mpaka 10 kulingana aina ya kifaa ulichofungwa

The battery life of a pacemaker depends on the type of pacemaker and the year it was made. The pacer rate setting and how often the pacemaker is working are factors in how long the battery will last. With that said, the average pacemaker battery lasts for 5 to 10 years.
 
Watu waliwekeza sana kwenye uchaguzi wa 2020 na walipoteza fedha zao nyingi.

Pia wapo walopoteza fedha zao baada ya 2015 ambapo "hearts and minds" zilikuwa ni kwenye mirija yao ya kuihujumu Tanzania.

Alipokuwa akisisitza kuwa Tanzania ipo kwenye vita ya kiuchumi alipaswa kuungwa mkono na kila mtanzania na hivyo ndivyo wenzetu wazungu wanavyofanya.
Pesa kiasi gani wakati Tulikuwa tunachangishwa na ccm ilizuia wengine kupata pesa kutoka kwa marafiki au wafanyabiashara kama maccm mlivyopata?
 
Fungulia tv yako uone kama nchi inafurahia . Ni dhahiri mnachokiona kinawachanganya.
Kuna watu wanaoitwa. Wanyonge they never think ndio hao ni bendera lakini elite hawana huo ujinga wa eti kuzimia sijui kulia

Mbona waliotolewa majalalani hatuwaoni wakizimia kama wanyonge? Ushawahi ona wenye pesa wanaanguka mapepo makanisani? How about wanyonge na mapepo? Hayo ndio majibu sasa
 
Unajua kuna watu wanastahili kabisa kufa we kila unalofanya zuri yeye anaforce lionekane baya kwa wananchi mara cjui anapeleka umbeya USA kwamba Tz huko nini kinaendelea huyo msaliti wa nchi yetu [emoji706][emoji706] kabisa
Kununua mandege kwa cash pesa za maskini na kuyaleta yaletage hasara kwako ni jambo zuri?

Kutoheshimu Katiba na sheria ndio jambo zuri? Lisu amekuwepo toka enzi ya Mkapa,JK hadi Magu kote huko hakuwahi fumbia macho upuuzi.

Usitafute cheap popularity au kuhalalisha uharamia.

Binafsi nilichukizwa Sana na sera za Magu ikiwemo kufuta fao la kujitoa
 
Jamaa alijitengenezea maadui wengi Tu bila sababu za msingi , sometyme na kiburi tuu, maamuz ya kukurupuka tumepata hasara ya kuyalipa makampuni mengi tuu, alikuwa anakopa hela huko nje alaf anatudanganya ni Fedha za ndani , ametukaba na mikodi mingi Sana ya kuumiza na akaminya mzunguko wa hela , lakni pesa yote anapeleka kwenye miradi ya ajabu ajabu tuu.....

Matajiri wengi Tu kawatia hasara , alitamani wote tuwe tunapata hela ya Kula tuu, alaf mtu akiteseka na upambanaji wa mtaani ndo anashangiliwa et anapambana , unapambana nin wazee unaishia kupata hela ya Kula tuu...

Majengo mengi Tu yamebaki kama popo Dar es salaam , wakat Kikwete anatoka madarakani Dar es salaam ilikuwa fastest growing city in sub Saharan Africa...lakn Leo ipo wapi ? Makampuni ya nje yalikuwa yanakimbizana kuwekeza bongo , mji umekufa Kwa maamuz ya hovyo hovyo tuu

Alifanikiwa kuwabrainwash Sana watanzania wengi Kwa sababu wengi Elimu Yao inatia mashaka they can't think beyond ....

Alichofanikiwa Tu ni miundo mbinu ya barabara na majengo ya umma hcho ndo naweza kumsifu Ila Nyanja nyingine ni terrible .... Ni kweli tulimshangilia wakat anaingia madarakani lakn the guy was not smart enough aisee ......

Kwangu Mimi still Kikwete na ufisadi wake wote alikuwa far better kuliko JPM

Kuhusu Afya yake Mwamba ilianza kuzorota kitambo tuu , na hii ilimstua hata Makonda akaamua kuachia ofisi , hapa mwishoni mwishoni Hali yake ilibadirika ....tunaweza kusingizia vitu vingi lakn yeye Kwa Hali yake ya Afya alikuwa vulnerable Sana na Korona , ... Apumzike Kwa Amani
Ndo hao unawaona eti wanazimia,kuna mtu aliyejitoa nchi hii kama Nyerere na Lisu?

Hao wengi wao hawajielewi na ni wahanga wa propaganda za maccm na marehemu
 
Back
Top Bottom