Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?
Mbona unauliza kama umekatwa kichwa? mtawala yeyote wa afrika ili awe salama mbele za beberu lazima utawale kulingana na matakwa yao, hata ukiwa dictator kama mseven na kagame madam unaobey interest zao hawatakua na tatizo nawe bt ukienenda kinyume nao lazima wakuue/wakutoe madarakani kwa njia yoyote ile.
Ukilijua hili kwa nini uhangaike,Dunia si uliikuta sasa unataka ushindane nayo au uipeleke wapi sasa, fanya yako subiri kufa
 
Mlitaka tutembee na ma PPE ndo mjue tuko serious au tuwe tunalala na mask? Acheni upumbavu wenu nani hajui corona ipo na inaua? Hizo nchi zilizo apply scientific protocols je watu hawafi? Did corona disappear?
Wamekufa vigogo wa serikali kama huku Africa?
 
Umezungumzia mambo very technical, wachache wamekuelewa. Hiki kifaa pace maker inaweza kuwa sababu kwanini Hayati Magu hakupenda kusafiri kwa ndege. Maana ukiwa kwenye ndege kuna magnetic field ambazo zinaweza kukinzana na mfumo wa kifaa hiki.

Apumzike kwa amani JPM.View attachment 1733865
Mbona hamkuwahi kusema hivyo kabla ila mlisema ni mzalendo na JK alikuwa vasco dagama,tutajua mengi zaidi na hivi hayuko duniani muda utasema
 
Ukweli ni Kuwa Magufuli was Targeted and this time around walifanikiwa.

The Next in Line Could be Bashiru, Majaliwa na watu wenye Nguvu ambao wana falsafa ya Magufuli, nina wasiwasi endapo Rais ajaye baada ya Samia atatoka kwenye Kundi lisiloendana na Falsafa ya Magufuli, Nchi yetu inaweza kushuhudia Mapinduzi ya Kijeshi.

Inshort Magufuli licha ya muda wake mfupi ameijenga upya nchi yetu vizazi vingi vijavyo, Nyerere atakumbukwa Kama Baba wa Uhuru, Magufuli atakumbukwa kama baba wa Uchumi na Maendeleo.
Uchumi gani mkuu,nahifadhi comment yako for future use
 
Sikiliza ww usiejua ukiambiwa beberu......
ujue mengi ni mazungu kupitia makampuni yao bado wana maslahi ya kinyonyaji nchi za Africa ie kwenye madini na raw material mbalimbali...
we call them (economic hitmen)......
akili yako ndogo hata kujua vitu vya wazi kama hivi huwezi......
alafu angalia hiyo paragraph yako ya mwisho inakuchora balaa! stupid
Unakuga rastaman type ya afande sele
 
Kwa msiba huu mkubwa wa Baba wa uchumi, tutapata wapi muda wa wa kipuuzi kumzungumzia Tundu Lissu, yeye ataongelewa na wanachadema kwa kuwaulia chama chao. Magu kapanda mbegu ya uzalendo kwa watanzania, kifo chake kimeishikilia dunia hadi leo viewers wanakimbilia 4.2billion.

Piga kazi Mama wa Taifa Mama Samia Suluhu kamilisha maono mliyoratibu na Baba wa uchumi
Baba wa uchumi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ,huwa napenda kuwauliza hili swali.Nambieni mlikuta maskini wangapi na baada ya miaka 5 mumewapunguza wangapi.

Ukipata jibu ni tag
 
CORONA ni ugonjwa wa kufikirika. Nina uhakika na hilo kwa sababu nimeshamhudumia mgonjwa aliyesadikika ana CORONA na alikuwa anapumulia mashine kwa miezi miwili. Sikuvaa barakoa wala kutumia sanitizer hata siku 1. Kutakana na jinsi mnavyoupa uzito hata mtu akifa kwa kugangwa na gari mtasema CORONA.
Unless unatumia ugoko kufikiri.

Umeambiwa sio kila anaecontract UVIKO 19 anakufa au kuonesha dalili,hii exception iko hata kwenye magonjwa mengineyo

Pia umeambiwa kuwa corona inafanya Kazi nzuri zaidi ya finishing kumpa ushindi israel mtoa roho pindi mtu anakuwa na magonjwa mengine yaliyokomaa kama moyo,kisukari,pumu nk nk
 
Hiyo makala niliisoma vizuri.

lakini kuna point moja umeruka sehem. kifaa hicho mawimbi yake ni mafupi mno kiasi kwamba mtu lazima awe so close kuweza ku access hiko kifaa.

Nut in real sense. the way rais alifichwa. ilikuwa ni ngumu sana. kama PM na mawaziri hawakujua, nani angemsogelea rais zaid ya walinzi wake na madkatari wa usalama?

Plus Tanzania hatufikia uwezo wa hacking kiasi hiko. bado tuna safari ndefu.

All in all our late president aliondoka kwa tatizo la moyo. hizi theory sijui ilikuwa hivi ilkkuwa vile hazimrudushia uhai.

Wanausalama walishatoa sababu. Apumzike kwa amani
Ziara ya Morogoro.

Naamini unaelewa ninachokisema hapo

Hauhitaji to uncode bali unganisha nukta
 
Mkuu siyo swala la ubishi. Hata madaktari wenyewe hawajui chochote kuhusu CORONA. Fanya research kwa kuwauliza madaktari wakueleze CORONA inaambukizwa vipi? inashambuliaje mwiliwa binadamu? na swali lolote utakaloona linafaa. Ukichukua sample hata ya 10 Doctors hasa wale waliobobea kwenye virology utapata versin 10 za majibu. Mbona kwenye magonjwa mengine wapo vizuri??
Swali ,UVIKO ipo au haipo?
 
Unadhani alirudi Tanzania kufanya nini na baada ya uchaguzi na kutofanikiwa kwa maandamano alifanya nini?
Akili za kuambiwa...
Nimeisoma thread yako kwa kina sana. Almanusura niamini ulichoandika.... Mpaka nilipokutana na hii post yako ndo nikafunguka akili...

Nyie watu wa ukoo Chattle mna matatizo makubwa sana. Tumejifunza kutokana na makosa.... Hatutawapa tena nchi yetu mazwazwa...

Magu amededi kama alivyodedi Kijazi, babu yangu, Maalim Seif, Pope John Paul II bunadamu wengine wote...

Ukweli ni kwamba kama mabeberu wangemtaka Lissu kama unavyotuaminisha, na hako kapacemaker ndo kalikuwa kikwazo .... wasingesubiri aapishwe, wangeshamdedisha wakati anapiga mapushapu yake wakati akijua ana tatizo la moyo...

Magu kashatangulia, tumeshampata rais mpya... maisha lazima yasonge mbele....
 
Yes,nakiri kwamba sikuelewa kwamba unazungumzia US kujitoa WHO,samahani.

Comment yako ni hii👉Hadi USA wanafanya maamuzi hayo ujue tayari Kuna shida.Hata hivyo madhara yalishaonekana kitambo.Hebu kumbuka ishu ya vile vipimo vya Corona.Rip Jiwe alitufungua macho."

Ni kweli mkuu kwamba WHO kuna shida,ila sidhani kama Biden ana msimamo kama wa Trump,nadhani atairudisha US WHO tena.Trump alikuwa against the NWO cabal while Biden ni pro.Na si unajua WHO ni pro the NWO cabal.
Ila Jo Biden amewarudisha tayari USA kwenye WHO baada ya uchizi wa Trump kujitoa..🙂
 
Lisu awe amehusika au hakuhusika,ukweli unabaki palepale kwamba yeye ni kabaraka wa mabeberu.

Kwa mtanzania yeyote yule ambaye ndani ya mfupa wake wa kichwani kuna ubongo unaofikiri sawasawa,anajua wazi kabisa kama Lisu ni adui wa Tanzania na kibaraka wa mabeberu.Hata kama Magu kaondoka,ameacha legacy ndani ya watanzania wengi ambapo mtu kama Tundu Lisu si lazima ashughulikiwe na serikali,atashughulikiwa na raia wa kawaida tu mtaani.

Historia za vibaraka kama Lisu katika nchi za Afrika ziko nyingi sana.
Bora kuwa kibaraka wa mabeberu kuliko kuwa kibaraka wa maccm na vichina
 
Mimi si mpenzi wa Lissu wala huwa sikubaliani naye katika mambo mengi.
Lakini its a fatal failure ya Intelligence kuanza kutafuta scape goats wakati inajulikana kuwa maafa tunayo yaona ni failure ya Intelligence/scientific Analysis.
Threat ilikuw corona , sasa anatafutwa mchawi kumlundikia lawama ili watu wapolish mafaili yao!

Hii ni boy scout naivety!
Wanatafuta wa kumuangushia jumba bovu kukwepa lawama
 
Wewe ni ignorant sana mkuu,I am sorry to say that.The Americans do not care about dictators or human rights,wao ni maslahi tu.Wanapozungumzia sijui human rights,sijui democracy it is mere hypocricy and empty rhetoric.Wangekuwa wanajali democracy or dictatorial tendencies, Ufalme wa Saudis,Bahrain or other dictatorial regimes,
zisingekuwepo leo, lakini Saudi Arabia na Bahrain ndio rafiki wa Marekani wakubwa!

Ngoja nikuambie mkuu,Wamarekani wanajali maslahi tu, human life or human rights is nothing to them. Unakumbuka kisa cha kuuwawa kwa raia wa Saudi Arabia Khashoggi kwenye Embasy ya Saudia Uturuki?Mkuu wangejali human rights wangefanya wanayofanya Syria,Yemen na kwingineko duniani,hata kwao eweyewe.Unakumbuka kisa cha George Floyd na wengine huko huko Marekani?Tuamke jamani tutadanganywa mpaka lini?Democracy and human rights ni empty words and language.
Sasa kosa lao nini,mkichagua dikteta anawashona huku anakula nao is okay,
 
Back
Top Bottom