Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Acha kunywa kitoko/high life
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani mwingine wa kulikomboa Taifa ??
Ati nini?(kwa sauti ya yule mnywaji wa taifa Pierre Liquid)Habari zenu wakuu poleni Sana na majukumu ya kulijenga hili Taifa .
Kwa haya Mambo yanayoendelea katika kila Kona ya Tanzania nachelea kusema kuna watu inawezekana kabisa wamehusika na kumzima mkuu wa nchi...
Sawa asanteWanakuja we wasubiri.
Mkapa nae hakuwa tayari mwendazake kuongeza muda wa urais.Wanakuja we wasubiri.
Meko kajimaliza mwenyewe, hamna mkon wa mtu wewe unajua una pacemaker kwenye mwoyo arafu unadharau Corona.Kwa hali inavyoendelea kwa sasa naona kufariki kwa mwendazake kuna sababu zipo nyuma na haikuwa mapenzi ya Mungu naomba msininukuu vibaya ni maoni yangu ili na nyinyi mniambie kama ninawaza vibaya...
Kinachokutesa wewe kula yako ilikuwa kwa hisani ya malaika jiwe.Kwa hali inavyoendelea kwa sasa naona kufariki kwa mwendazake kuna sababu zipo nyuma na haikuwa mapenzi ya Mungu naomba msininukuu vibaya ni maoni yangu ili na nyinyi mniambie kama ninawaza vibaya...