Hii sio kawaida hata kwenye ukoo au familia kumpoteza baba na kila kitu kikaanza kugeuzwa geuzwa.
Suala la hali mbaya maofisini na mitaani lilitia hofu.
Suala la kuongeza muda liliogopwa sana
Suala la sukuma gang lenye nguvu ndani system liliogopesha sana
Mababaru yalijua kama ataongezewa time itakuwa hatari
Wakalindaa bunge na spika waje mapema kupiga promotion
Wakamundaa mama aje kubadili gia mapema kwenye miradi mikubwa na madini jpm aliyokomalia
Sasa kila kitu kimegeuka na kutoa red line kuwa jpm alipumzishwa