JERUSALEM 2006
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 527
- 596
- Thread starter
-
- #61
Hivi wewe na yule pimbi mwenzako (Jerusalem) haya ndiyo mnayaona leo? Hoja yako haisadii kitu. Mama ndiye Rais kwa sasa utake usitake kwa mujibu wa katiba hii, muacheni afanye kazi kwa raha lile joka lenu lishakufa. Mtulie zama za ubabe zimeshaisha
Katiba iliyopo ni ya nchi mbili za Tanzania na Zanzibar na wananchi wote wa nchi hii ni watanzania; hakuna kitu kinachoitwa Tanganyika ndani ya Tanzania.
Hicyo Raisi wa Tanzania ni raisi wa Jamhuri yetu kwa mambo yote na ana uhuru wa kuamua mambo yanayohusu nchi nzima ya Tanzania kwa jinsi atakavyoona inafaa. Mimi namshauri ikimpendeza atafute eneo huko kwao Zanzibar apeleke miradi mikubwa ya Maendeleo kama Airport, Hospitali ya Rufaa, Chuo Kikuu, Daraja la kisasa na mradi mwingine wowote atakaoona unafaa. Na kwa rekodi mimi siyo mzanzibari ni mtanzania halisi mpaka hapo katiba itakapobadilishwa.
"Kunya anye kuku akinya bata kaharisha"
Tena watajamba Cheche!Mtapiga kelele sana ..Rais ni Samia S Hassan..
Wazanzibar hawawezi kukubali Muungano ufe wanaona Tanganyika ni sehemu ya kuchuma.Na viongozi wa kisiasa hawezi hata siku 1 kufikiria kuitisha kura ya maoni juu ya Muungano.Mfumo huu wa muungano ni wa hovyo sana kuwahi tokea
Aidha tungekuwa Na serikali tatu lakini hii ingemfanya rais wa muungano kuwa powerless kabisa
Au tungefanya complete unification ( of which binafsi naona tukae mezani sasa kufanikisha hili tuvunje Zanzibar Na Tanganyika iwe only Tanzania tuwe Na united states of Tanzania ) yaani tungeua utaifa wa Zanzibar Na Tanganyika ikazaliwa nchi moja tu kusiwe Na mtanganyika ama mzanzibar yaani Zanzibar ingekuwa kama Dodoma ama Mwanza tu.
Ila haiingilii akilini rais mzanzibar aiongoze Tanzania bara kwa mambo ambayo hatukukubaliana ni ya muungano haimake sense kabisa. Sijui mzee wetu alikuwa anafikiria nini with this system yani its illogical in every way possible.
Kanchi kenyewe kadogo. Si tukafanye kawe ka mkoa tuBora hata wangejitawala wenyewe. Kama wangeamua kutawalia na Sultan wao wa Oman, wangejua wenyewe. Huu Muungano hauna tija wala faida yoyote ile kwa Tanganyika!
Kama hofu ilikuwa ni Vita Baridi, kwa sasa havipo tena! Kwma vipi wakabidhiwe tu Visiwa vyao, na sisi tuendelee na nchi yetu.
Ni pumba tupu unatoa. Raisi ni Raisi wa Tanzania. Hakuna Raisi wa bara! Acheni ubaguzi usio wa msingi tuangalie maendeleo ndiyo ya msingi sio mtu na alipotokea
Mtaota mpaka muote tena.Mfumo huu wa muungano ni wa hovyo sana kuwahi tokea
Aidha tungekuwa Na serikali tatu lakini hii ingemfanya rais wa muungano kuwa powerless kabisa
Au tungefanya complete unification ( of which binafsi naona tukae mezani sasa kufanikisha hili tuvunje Zanzibar Na Tanganyika iwe only Tanzania tuwe Na united states of Tanzania ) yaani tungeua utaifa wa Zanzibar Na Tanganyika ikazaliwa nchi moja tu kusiwe Na mtanganyika ama mzanzibar yaani Zanzibar ingekuwa kama Dodoma ama Mwanza tu.
Ila haiingilii akilini rais mzanzibar aiongoze Tanzania bara kwa mambo ambayo hatukukubaliana ni ya muungano haimake sense kabisa. Sijui mzee wetu alikuwa anafikiria nini with this system yani its illogical in every way possible.
Hii point peke yake inaonyesha hatuko kwenye kujadiliana Bali tupo kwenye kubishana na kila mmoja kuvutia upande wake.Safi sana, nimekuelewa boss
Ni Wazanzibari ndio walipendekeza Munro wa serikali 3 kwenye rasimu ya judge Warioba. Kilichotokea ni historia, Leo mnatuletea ngonjera hapa??Mnaleta siasa tu ila mleta mada ana hoja za msingi sana ambazo wakati wa mchakato wa katiba Mpya zilijadiliwa sana
Binafsi namkubali maza sana tu sina tatizo nae ata kama ni wa upande wa pili as long as anakuwa fair haina shida but hilo haliondoi hoja za msingi za mleta mada.
Hawa imani yao siku zote ilikuwa ni tungeweza kupelekwa kwenye serikali 1.Kwani kuna serikali iitwayo Tanganyika ata utake nafasi za uko zote zichukuliwe na watanganyika tu? Hio ni serikali ya JMT, popote tunaweza kuwepo, hamtaki tafuteni serikali ya Tanganyika.
Wazanzibari tumekuwa tunapiga kelele sana muwe na serikali yenu, lakini nyinyi mnajisaliti wenyewe sembuse kuwasaliti wazanzibari.
Bora hata wangejitawala wenyewe. Kama wangeamua kutawalia na Sultan wao wa Oman, wangejua wenyewe. Huu Muungano hauna tija wala faida yoyote ile kwa Tanganyika!
Kama hofu ilikuwa ni Vita Baridi, kwa sasa havipo tena! Kwma vipi wakabidhiwe tu Visiwa vyao, na sisi tuendelee na nchi yetu.
Mbegu ya ubaguzi ilisha pandwa tangu pale Zanzibar ilipodai na kupewa mambo kadhaa ambayo hapo mwanzoni hayakuwezekana na ndiyo yalisababisha kuchafuka kwa hali ya siasa Zanzibar wakati wa Abdu Jumbehe Tanganyika?Tuiondoe Zanzibar?Kuwe na Mfumo wa Makamu wawili wa Rais.Ambapo Makamu wa kwanza ni Mtanganyika na Wa pili ni Mzenjibara?
Sijui unachotaka ni nini ila nafikiri kwa sasa tuache chokochoko tuache kazi iendelee.Tusipande mbegu ya ubagudhi ila tujadili kwa haki na uwazi