Je, Rais Samia anayo haki na misingi ya kuongoza Tanzania Bara (Tanganyika) kwa mambo yasiyo ya Muungano?

Je, Rais Samia anayo haki na misingi ya kuongoza Tanzania Bara (Tanganyika) kwa mambo yasiyo ya Muungano?

Hivi wewe na yule pimbi mwenzako (Jerusalem) haya ndiyo mnayaona leo? Hoja yako haisadii kitu. Mama ndiye Rais kwa sasa utake usitake kwa mujibu wa katiba hii, muacheni afanye kazi kwa raha lile joka lenu lishakufa. Mtulie zama za ubabe zimeshaisha

Jibu hoja wewe Zero brain, why attack people and personalities?

Aarrghhh!!!!
 
Katiba iliyopo ni ya nchi mbili za Tanzania na Zanzibar na wananchi wote wa nchi hii ni watanzania; hakuna kitu kinachoitwa Tanganyika ndani ya Tanzania.

Hicyo Raisi wa Tanzania ni raisi wa Jamhuri yetu kwa mambo yote na ana uhuru wa kuamua mambo yanayohusu nchi nzima ya Tanzania kwa jinsi atakavyoona inafaa. Mimi namshauri ikimpendeza atafute eneo huko kwao Zanzibar apeleke miradi mikubwa ya Maendeleo kama Airport, Hospitali ya Rufaa, Chuo Kikuu, Daraja la kisasa na mradi mwingine wowote atakaoona unafaa. Na kwa rekodi mimi siyo mzanzibari ni mtanzania halisi mpaka hapo katiba itakapobadilishwa.

"Kunya anye kuku akinya bata kaharisha"

Kimsingi na mimi najafili katiba, najadili mantiki na usawa wa katiba kuhusu Muungano wetu.

Sasa sijui wewe mashudu unayojibu unayatoa wapi shwain mkubwa wewe.

Nimeuliza juu ya usawa sipewi majibu na wala sijibiwi hoja zaidi ya vihoja kutoka kwa mburulaz kama wewe
 
Ni pumba tupu unatoa. Raisi ni Raisi wa Tanzania. Hakuna Raisi wa bara! Acheni ubaguzi usio wa msingi tuangalie maendeleo ndiyo ya msingi sio mtu na alipotokea
 
Mfumo huu wa muungano ni wa hovyo sana kuwahi tokea
Aidha tungekuwa Na serikali tatu lakini hii ingemfanya rais wa muungano kuwa powerless kabisa

Au tungefanya complete unification ( of which binafsi naona tukae mezani sasa kufanikisha hili tuvunje Zanzibar Na Tanganyika iwe only Tanzania tuwe Na united states of Tanzania ) yaani tungeua utaifa wa Zanzibar Na Tanganyika ikazaliwa nchi moja tu kusiwe Na mtanganyika ama mzanzibar yaani Zanzibar ingekuwa kama Dodoma ama Mwanza tu.

Ila haiingilii akilini rais mzanzibar aiongoze Tanzania bara kwa mambo ambayo hatukukubaliana ni ya muungano haimake sense kabisa. Sijui mzee wetu alikuwa anafikiria nini with this system yani its illogical in every way possible.
Wazanzibar hawawezi kukubali Muungano ufe wanaona Tanganyika ni sehemu ya kuchuma.Na viongozi wa kisiasa hawezi hata siku 1 kufikiria kuitisha kura ya maoni juu ya Muungano.
 
Bora hata wangejitawala wenyewe. Kama wangeamua kutawalia na Sultan wao wa Oman, wangejua wenyewe. Huu Muungano hauna tija wala faida yoyote ile kwa Tanganyika!

Kama hofu ilikuwa ni Vita Baridi, kwa sasa havipo tena! Kwma vipi wakabidhiwe tu Visiwa vyao, na sisi tuendelee na nchi yetu.
Kanchi kenyewe kadogo. Si tukafanye kawe ka mkoa tu
 
Ni pumba tupu unatoa. Raisi ni Raisi wa Tanzania. Hakuna Raisi wa bara! Acheni ubaguzi usio wa msingi tuangalie maendeleo ndiyo ya msingi sio mtu na alipotokea

Wewe umeandika nn? Mashudu?
Jibu hoja hapa acha uzwazwa
 
Ukisoma kwenye list yako(Namba.6) utaona Uraia.Kwamba uraia ni jambo la Muungano.Hivyo,anayeongoza Tanzania ni Mtanzania ambayo ni moja ya sifa muhimu sana ya kuongoza nchi.
 
Mfumo huu wa muungano ni wa hovyo sana kuwahi tokea
Aidha tungekuwa Na serikali tatu lakini hii ingemfanya rais wa muungano kuwa powerless kabisa

Au tungefanya complete unification ( of which binafsi naona tukae mezani sasa kufanikisha hili tuvunje Zanzibar Na Tanganyika iwe only Tanzania tuwe Na united states of Tanzania ) yaani tungeua utaifa wa Zanzibar Na Tanganyika ikazaliwa nchi moja tu kusiwe Na mtanganyika ama mzanzibar yaani Zanzibar ingekuwa kama Dodoma ama Mwanza tu.

Ila haiingilii akilini rais mzanzibar aiongoze Tanzania bara kwa mambo ambayo hatukukubaliana ni ya muungano haimake sense kabisa. Sijui mzee wetu alikuwa anafikiria nini with this system yani its illogical in every way possible.
Mtaota mpaka muote tena.

Sio nyinyi mnaosema Zanzibar ni kama Mkuranga?? Imekuwaje tena Leo?? Eti yaani tungeuua utaifa wa Zanzibar!!!!!!!! Mungu wetu tunaemuabudu ataziepushia mbali husda na njama zenu mbaya kwa Zanzibar na Zanzibar itaishi milele mpaka mwisho wa dunia.

Wakati nyinyi mkifikiria serikali 3 Leo, Wazanzibari kwa umoja wao wanafikiria mambo makubwa zaidi, time will tell.
 
Safi sana, nimekuelewa boss
Hii point peke yake inaonyesha hatuko kwenye kujadiliana Bali tupo kwenye kubishana na kila mmoja kuvutia upande wake.

Vioja vikubwa ni kwamba wazanzibari wamepiga kelele sana juu ya Muungano huu lakini kwa kuwa mlikuwa mnafaidika nyinyi Watanganyika mkawapuuza, sasa Leo Zanzibar inaenda kunufaika kelele zimekuwa nyingi sana.

Tunachosema ni kwamba: Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu.
 
Kwa upupu huo ni Bora muunganishe singida na dodoma ziwe nchi, morogoro na pwani ziwe nchi nyengine na muwe na miungano mingi kadiri mtakavyo
 
Mnaleta siasa tu ila mleta mada ana hoja za msingi sana ambazo wakati wa mchakato wa katiba Mpya zilijadiliwa sana

Binafsi namkubali maza sana tu sina tatizo nae ata kama ni wa upande wa pili as long as anakuwa fair haina shida but hilo haliondoi hoja za msingi za mleta mada.
Ni Wazanzibari ndio walipendekeza Munro wa serikali 3 kwenye rasimu ya judge Warioba. Kilichotokea ni historia, Leo mnatuletea ngonjera hapa??

Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu
 
Kwani kuna serikali iitwayo Tanganyika ata utake nafasi za uko zote zichukuliwe na watanganyika tu? Hio ni serikali ya JMT, popote tunaweza kuwepo, hamtaki tafuteni serikali ya Tanganyika.

Wazanzibari tumekuwa tunapiga kelele sana muwe na serikali yenu, lakini nyinyi mnajisaliti wenyewe sembuse kuwasaliti wazanzibari.
Hawa imani yao siku zote ilikuwa ni tungeweza kupelekwa kwenye serikali 1.

Watu wanafiki sana hawa. Maalim na Wazanzibari kwa pamoja wamekuwa wakipigania serikali 3 for years na wao walikuwa wakiwadhihaki na eti Leo ndio wanakuja na maneno maneno ya mitandaoni
 
Siku ambayo zanzibar itapew mamlaka yake na kuwaa nchi huru..ndio utakuw mwanzo wa maendeleo ya kasi sana kwa zanzibar na kuwa kama dubai au singapore...
Bora hata wangejitawala wenyewe. Kama wangeamua kutawalia na Sultan wao wa Oman, wangejua wenyewe. Huu Muungano hauna tija wala faida yoyote ile kwa Tanganyika!

Kama hofu ilikuwa ni Vita Baridi, kwa sasa havipo tena! Kwma vipi wakabidhiwe tu Visiwa vyao, na sisi tuendelee na nchi yetu.
 
Nionavyo mimi: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tanganyika na Zanzibar. Kwa lugha rahisi hakuna Tanzania Bara, kuna Tanganyika na Zanzibar. Huyu ni Raia wa Tanzania. Unapozungumzia Muungano, ondoa akilini mwako Tanzania Bara, sema Tanganyika. Hivyo kwa maana hiyo, Raia wa Tanzania anayo haki zote za kuwa Rais wa Tanzania ili mradi anatimizi vigezo vya kuwa Rais- Umri, akili timamu, uraia halali.
 
Hoja ni kwamba rais anapotoka Zanzibar kuwe na kiongozi mwingine mkuu anaesimamia Mambo ya bara yasio ya Muungano, Kama wanavyofanya wao Zanzibar
 
he Tanganyika?Tuiondoe Zanzibar?Kuwe na Mfumo wa Makamu wawili wa Rais.Ambapo Makamu wa kwanza ni Mtanganyika na Wa pili ni Mzenjibara?

Sijui unachotaka ni nini ila nafikiri kwa sasa tuache chokochoko tuache kazi iendelee.Tusipande mbegu ya ubagudhi ila tujadili kwa haki na uwazi
Mbegu ya ubaguzi ilisha pandwa tangu pale Zanzibar ilipodai na kupewa mambo kadhaa ambayo hapo mwanzoni hayakuwezekana na ndiyo yalisababisha kuchafuka kwa hali ya siasa Zanzibar wakati wa Abdu Jumbe
 
Back
Top Bottom