johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe uko nchi gani bwashee?Kwa hiyo hayo mambo yasiyo na muungano yako upande mmoja tu?
Soma Katiba my friend, mambo yasiyo ya muungano ni kwa pande zote mbili.
Iweje Mzanzibari aongoze Bara kwa mambo yasiyo ya Muungano?
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Zanzibar?
Tuanzie hapo.