Ccm wao wenyewe wanajua hawawezi kushnda kwenye sanduku la Kura.CCM iliwahi kushinda uchaguzi upi wa urais tangu vyama vingi? Zanzibar ni good example.
Sanduku la kura lini lilitenda HAKI bila msuguano!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm wao wenyewe wanajua hawawezi kushnda kwenye sanduku la Kura.CCM iliwahi kushinda uchaguzi upi wa urais tangu vyama vingi? Zanzibar ni good example.
Sanduku la kura lini lilitenda HAKI bila msuguano!!!!
Hili sio tuu naunga mkono hoja, bali nimeshiriki kushauri Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, lakini...Hatogombea
Nilikuwa mtu asiyekosa kwenda kupiga kura katika uchaguzi mkuu.Narudia tena, kwa mwanaume anayesimamisha vizuri kwenda kusimama kwenye mstari wa kura ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Kwa macho yangu niliona wanaojita usalama wa taifa wakilazimisha kusainiwa kwa matokeo fake ya uchaguzi. Sasa sijui unazungumza nini.
Hakuna uwezekano wa wapiga kura kufika hata milioni tano kwa ule upuuzi uliofanyika 2020. Hakuna watu wajinga wa hivyo. Machafuko au mapinduzi ndio njia pekee za kurejesha heshima ya box la kura.
Huu ni ukweli. Chama kilichotawala miaka 61 na viongozi wake kujineemesha wao na familia zao hakiwezi kuleta mabadiliko ya msingi bila ya wananchi kuwasukuma.Ni kweli itatawala milele kwa uoga huu. Ila siku uoga ukitoka kama walivyotoa wakenya baada ya kutawaliwa kidictator na Moi, heshima itarejea kwa njia ya machafuko.
Hilo ndilo swali la msingi
1. Je Raisi anataka kukumbukwa maisha kwa kujenga mifumo na kutupa katiba bora Tanzania
2. Atasahaulika kwa kuiba kura na kugushi uchaguzi na kujipa 80% ya ushindi ambayo ni fake?
Haya ni maamuzi yake. Mafisadi wote wanataka achague namba 2 kwani wanajali matumbo tu
Sawa kwenye namba moja ni lazima wapinzani kwa hali halisi watapata 45% na wabunge wengi lakini hawatakuwa majority. Lakini kuna wabunge wengi watakosa viti kwenye uchaguzi huru na wa haki. Lakini ndiyo nchi ilipo. Hili sio taifa la chama kimoja!
Kwa namba 2 ni kama 2020
Mama ngoma iko kwako. Lakini nakushauri uende na namba 1 kwani wapinzani wameshikiliwa na Mbowe tu. Mbowe akikata tamaa hii nchi itakuwa hatarini huo ndiyo ukweli
Watanzania wengi wanafikiri mwenye sikio la Raisi Samia ni Kikwete hili sio la kweli. Mwana siasa wa kumwangalia sana Tanzania kwa sasa ni Kinana. Kinana na Mbowe ndiyo wanasiasa ambao wataamua mwelekeo wa nchi yetu kwa miaka mingi ijayo. Ndiyo maana niliuliza kuhusu Kinana na Uzalendo wake. Je kinana wa sasa ambaye ni mzee anataka kukumbukwa kwa lipi yule Mzalendo wa 1980’s au fisadi na majigambo ya 1990’s . Tuombe Kinana wa sasa arudi kuwa wa 1980’s. Kwa connection ya Arusha Raisi Samia kamchagua Kinana kwasababu ana waelewa Chadema kuliko yeye na hata kikwete. Hawa wa pwani anawajuwa sana wasiwasi ni hawa wafanyabiashara kama Mbowe ambao ni wagumu sana kuwasoma ndiyo maana Raisi kamleta kinana. Tuombee mikutano yao ya vyama iwe na tija kwa taifa

Tanzania tuko watu milioni 60 hivyo eligible voters ni million 45. CCM wako milioni 5 na wakiiba kura ni milioni 5 nyingine jumla kura milioni 10!. Watu milioni 35 wakihamasishwa wakajiandikisha na kupiga kura, hata CCM, NEC, serikali yote, polisi wote, jeshi lote, hata waibe vipi hawewezi kuiba kura milioni 35!. Hivyo nyie msiopiga kura ndio majinga ya mwisho yanayoipa CCM ushindi wa mezani kwa kuweka mpira kwapani.
P