Je, Rais Samia atakumbukwa maisha kwa ushindi wa 55% au atasahaulika kwa ushindi wa 80% mwaka 2025?

CCM iliwahi kushinda uchaguzi upi wa urais tangu vyama vingi? Zanzibar ni good example.

Sanduku la kura lini lilitenda HAKI bila msuguano!!!!
Ccm wao wenyewe wanajua hawawezi kushnda kwenye sanduku la Kura.
 
Nilikuwa mtu asiyekosa kwenda kupiga kura katika uchaguzi mkuu.
Bila mabadiliko ya maana siendi tena kupiga kura.

Hata kama kakura kangu kamoja hakana madhara. Ntafarijika tu kususia kuliko kupoteza muda.

Niitwe mjinga au jina lolote sijali.
Siwezi halalisha batili.

Sent from my LG-F800S using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli itatawala milele kwa uoga huu. Ila siku uoga ukitoka kama walivyotoa wakenya baada ya kutawaliwa kidictator na Moi, heshima itarejea kwa njia ya machafuko.
Huu ni ukweli. Chama kilichotawala miaka 61 na viongozi wake kujineemesha wao na familia zao hakiwezi kuleta mabadiliko ya msingi bila ya wananchi kuwasukuma.
 
Nadhani Mama hana shida sana, shida ipo kwa Mafisadi waliopo ndani ya chama chake.
MAFISADI wanachotaka ni kwamba, Mama aendelee kuwa Rais ili waendelee kufaidi mema ya Nchi.
 


Uhauri mwengine Raisi Samia kaufuata hongera sana
 


Maswali bado magumu🤔
 

Najua tu unawatafutia wanao chakula. Siwezi kukulaumu.
 
Mama bado anataka yote na haiwezekani!
 


Mama Samia Raisi wa Tanzania alikosea sana kwa team yake kuiba chaguzi za serikali za mitaa. Sasa anakutana na Majembe kweli kweli ambao wanapendwa na watu kuliko hata yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…