GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ihefu ikiingia naomba goli moja linunuliwe kwa 10ml.Kwani watakuwa wamefanya kazi kubwa kufikia hapoNasubiri jibu lako Mheshimiwa Rais hasa nikijua kuwa huwa Unanisoma GENTAMYCINE na Wengineo hapa JamiiForums na Kuburudika nasi vile vile.
Hongereni pia Vilabu vya Simba na Yanga kwa ama Kutokujua Kwenu au kwa Uzwazwa wenu Kukubali kuwa Mali ya CCM na Serikali.
Uko vedi.Nasubiri jibu lako Mheshimiwa Rais hasa nikijua kuwa huwa Unanisoma GENTAMYCINE na Wengineo hapa JamiiForums na Kuburudika nasi vile vile.
Hongereni pia Vilabu vya Simba na Yanga kwa ama Kutokujua Kwenu au kwa Uzwazwa wenu Kukubali kuwa Mali ya CCM na Serikali.
Kwahiyo kama haipo ni Dhambi kuifanyia Reference? Wasomi wa Tanzania ni Mazuzu sana.Hakuna timu inaitwa Gwambina kwa sasa maana ishafutwa kabisa
Mi sio msomi mkuu ni darasa la 2 tuKwahiyo kama haipo ni Dhambi kuifanyia Reference? Wasomi wa Tanzania ni Mazuzu sana.
Nimeligundua hilo usijali.Mi sio msomi mkuu ni darasa la 2 tu