Ninadhani awamu inaanza na uchaguzi! Samia karithi awamu ya tano na ataimalizia kabla hajaanza awamu ya sita iwapo atashinda uchaguzi ujao.Uko sahihi kabisa.
Awamu=Rais
Awamu ya sita= Rais wa Sita.
Wala usiwe mnyonge ukasema unavyodhani, wewe amini uko sahihi.Wataalam wa lugha watupe kwanza maana ya neno"awamu"
Navyofahamu mimi Samia ni Rais wa awamu ya sita.
Hilo baraza linavunjwa soon subiri tu. 1984 Mwinyi alipopokea kijiti kwa JK alitulia kwanza halafu akapiga kitu.Ila pia kwa common sense, serikali inaundwa na baraza la mawaziri pia. Baraza la mawaziri ni lile lile. Halijavunjwa na kuwekwa jipya...
Umenifilisi, yaani kama angeshinda Lisu..angeitwa Rais wa awamu ya ngapi?
Litakapovunjwa na kuundwa tena sasa hapo ndio tutasema serikali ya awamu ya sita...Hilo baraza linavunjwa soon subiri tu. 1984 Mwinyi alipopokea kijiti kwa JK alitulia kwanza halafu akapiga kitu.
Makamu ana awamu? Wewe mbona unakwenda kabisa nje ya mada? Ulishaona Idara gani msaidizi anaandikwa kwenye leadership chart ya kampuni.Alipokufa Dr Omar Juma, aliyekuwa makamu wa awamu ya tatu, je yule Dr. Shein aliyemfuata alikuwa ni makamu wa wamu ya nne?
Alipotoka na kuingia mwingine aliendelea na baraza la mawaziri la mwinyi au lilivunjwa?awamu inaisabiwa kwa ukaaji madarakan kwa Rais mfano mzee Mwinyi Zenj ametawala miaka.mingapi na anahesabika
Msimhafifishe Mama kwa kumweka kwenye kivuli cha mtu. Rais wa awamu ya Pili mzee Alli Hassan Mwinyi alitawala nchi hii miaka 11 na alipochukua kijiti kwa Mwalimu akaitwa Rais wa awamu ya 2.Ninadhani awamu inaanza na uchaguzi! Samia karithi awamu ya tano na ataimalizia kabla hajaanza awamu ya sita iwapo atashinda uchaguzi ujao.
Ndiyo ni full Rais! Rais wa mpito ni Rais kamili kikatiba. Hakuna alichopungukiwa! Ni wa mpito kea maana ya kwamba ataongoza mpaka uchaguzi mwingine 2025 ambapo atagombea kitu hicho! Bado ni wazo tu, I may be wrong!Samia sio interim president. Hajashika kiti kusubiri uchaguzi ufanyike apatikane rais 'halali'. Yeye ni full rais as per the contitution.
Katiba yetu ndio imesema kuwa ni rais wa mpito?Ndiyo ni full Rais! Rais wa mpito ni Rais kamili kikatiba. Hakuna alichopungukiwa! Ni wa mpito kea maana ya kwamba ataongoza mpaka uchaguzi mwingine 2025 ambapo atagombea kitu hicho! Bado ni wazo tu, I may be wrong!
Mwinyi alichaguliwa mwaka 1985, na hivyo kuanza awamu mpya; hakurithi utawala wa Nyerere!Hilo baraza linavunjwa soon subiri tu. 1984 Mwinyi alipopokea kijiti kwa JK alitulia kwanza halafu akapiga kitu.
Angekuwa wa term moja tu!Mzee hukukisoma vizuri hicho kipengele ulichokinukuu. Hakuna mahali kwenye kipengele hicho panapotaja neno awamu. Habari za awamu zilikuja tu toka kwa wanasiasa kwa sababu ya utashi wao tu. Hivyo awamu hii ingeweza kuwa awamu ya tano au ya sita kulingana na anavyoamua mwenye sauti kubwa.
Hili jambo umeliweka kama vile raisi anayeingia madarakani ni lazima awe na vipindi 2. Nafikiria ingeitwa awamu ya ngapi kama kwa bahati mbaya fulani hivi marehemu angeangushwa katika uchaguzi. Ungeendelea kuuita utawala mpya awamu ya tano sababu tu miaka 10 haijakamilika
Umakamu hauna awamu kwani makamu hana mamlaka yo yote ya kidola. Hivyo makamu hata wakibadilishwa 10 hawaathiri mamlaka ya dola.Alipokufa Dr Omar Juma, aliyekuwa makamu wa awamu ya tatu, je yule Dr. Shein aliyemfuata alikuwa ni makamu wa wamu ya nne?
Naamin hata hili litavunjwa hivyo kuwa na subraAlipotoka na kuingia mwingine aliendelea na baraza la mawaziri la mwinyi au lilivunjwa?
Ya sita