auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,292
Ila kwa katiba ya sasa, yaweza kuwa miaka kumi (ibara ya 40 (1) na (2)).Ni nini kinasababisha neno awamu litokee?.Bila shaka ni kiongozi,kwa maana ni hesabu ya kawaida ya kuhesabu marais.
Kumbuka pamoja na Mwalimu Nyerere kupiga 20+ Bado ni awamu moja.
Mwandishi alitakiwa awe mgambo wa jiji maana akili yake haiwezi kutafakuriMleta uzi jitafakari uwezo wako wa kufikiri.umetokota
Uko sahihi kabisa ni rais wa sita ndani ya serikali ya awamu ya tanoLitakapovunjwa na kuundwa tena sasa hapo ndio tutasema serikali ya awamu ya sita...
Hapo tutakua sawa ila mpaka sasa hii ni serikali ya awamu ya tano, muendelezo wake baada ya aliyekua madarakani kufariki, ni rais wa sita ila awamunya tano bado.
Hebu nisaidie: Rais wa Awamu ya Tatu Zanzibar anaitwa nani?!Hivyo awamu ya tano (phase 5) imekuwa na Marais wawili. Mmoja ameshika kipindi cha kwanza (1st term) na mwingine karibu kipindi cha pili (2nd term) kwa sababu yule wa kwanza amefariki dunia.
Awamu ya tano imetuua imetupiga imetupoteza na kutubambikia uhujumu awamu ya tano imetuzulumu imetusababishia maradhi
Ninahamu tuisahau awamu hio yenye laana
Jibu sahihi linapatikana katika ibara ya 40 (4) ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!Ni nini kinasababisha neno awamu litokee?.Bila shaka ni kiongozi,kwa maana ni hesabu ya kawaida ya kuhesabu marais.
Kumbuka pamoja na Mwalimu Nyerere kupiga 20+ Bado ni awamu moja.
Kwa mujibu wa Ibara ya 40 (4) ana awamu yake, lakini Rais anaweza hasiwe na awamu na akabaki kuwa na mamlaka kamili kwa mujibu wa ibara hiyo hiyo ya 40 (4)!Kama Mama Samia hana awamu yake inayojitegemea basi hana mamlaka kamili ya Rais.
Kweni nimeandika kuuwawa peke yake Mimi nilipigwa hadi kupoteza fahamu kwa kosa la kumpelekea chakula msimamizi wangu wa Chadema wakati wa Uchaguzi mkuu uliovurugwaMbona wewe hujauliwa ?
Lakini si alikuwa mgombea mwenza? Labda udhaifu wa katiba unatokea kwenye makamu wa Rais, lakini Bunge linawakilisha wananchi?Awamu wanapeana CCM wenyewe.. Hakuna kampeni,hakuna ilani aliyokabidhiwa Mama SS kuinadi,hakuteuliwa na tume ya uchaguzi kugombea urais...anatumia ilani aliyopewa JPM, kura alizopata JPM...anatimiza ahadi za JPM,hana kitu alichotuahidi Mh Madame SS.. Huu ni udhaifu wa katiba.
Swali zuri sana...Nyerere alikuwa Rais wa awamu ya ngapi na ngapi maana alitawala miaka 20+
Kariba haina neno awamu!Kwa mujibu wa ibara ya 40 (4) ya katiba, hii imeshakuwa awamu mpya ya sita!