Je, Rais Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Awamu ya Tano au ya Sita kwa mujibu wa Katiba ya nchi?

Unaamini ninamfahamu mgombea mwenza wa Mh Samia Awamu ya kwanza?
 
Ushiriki, usishiriki,

Maamuzi na maazimio ya vikao huwekwa hadharani.
Mimi nakuteuwa wewe nenda kamuulize kinana kama nauli nitumie no yako nikurushie pesa au kesho nenda stand yoyete nchi nzima ukifika tuwasiliane uingie kwenye gari!
 
Mimi nakuteuwa wewe nenda kamuulize kinana kama nauli nitumie no yako nikurushie pesa au kesho nenda stand yoyete nchi nzima ukifika tuwasiliane uingie kwenye gari!
Kwanini nipoteze nauli ilhali anajua kusoma ujumbe huu?
 
ccm ukiwasikiliza kwa umakini utagundua hata wao wenyewe hawaelewi jinsi wanavyoendesha mambo yao, wanaemsikiliza hajui anasema nini, yaani shida tupu huko chamani. ...
 
UPOTOSHAJI huu ukiendelea,

Hata vyama vya upinzani vitazuiwa kuweka mgombea Urais!!!

Kamwe Twiga hawezi kujificha na kuwa digidigi!!

UKWELI na uwazi utawale katika chama kikongwe Africa.
 
Tanzania inahitaji Kiongozi wa waViongozi wenye matamanio na maono ya Wananchi wake. Mengine yote tisa.
 
Wenye chama chao wameshaamua sasa wewe endelea kubweka kama nguruwe pori.
 
Alikuwa nanihii wa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…