Je, Rais Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Awamu ya Tano au ya Sita kwa mujibu wa Katiba ya nchi?

Je, Rais Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Awamu ya Tano au ya Sita kwa mujibu wa Katiba ya nchi?

......ni kitendo/mbinu ya kuuliza swali kwa jambo ambalo unafahamu jibu lake, na hufanya hivyo kwa lengo la kusisitiza jambo, kuleta mshangao, n.k.
(A)Tashibiha
(B)Tashititi
(C)Takrikri
(F)Tanakali sauti


Hili swali nilikuwa sikosi hata uniamshe usiku wa manane.
Unaamini ninamfahamu mgombea mwenza wa Mh Samia Awamu ya kwanza?
 
Ushiriki, usishiriki,

Maamuzi na maazimio ya vikao huwekwa hadharani.
Mimi nakuteuwa wewe nenda kamuulize kinana kama nauli nitumie no yako nikurushie pesa au kesho nenda stand yoyete nchi nzima ukifika tuwasiliane uingie kwenye gari!
 
Mimi nakuteuwa wewe nenda kamuulize kinana kama nauli nitumie no yako nikurushie pesa au kesho nenda stand yoyete nchi nzima ukifika tuwasiliane uingie kwenye gari!
Kwanini nipoteze nauli ilhali anajua kusoma ujumbe huu?
 
ccm ukiwasikiliza kwa umakini utagundua hata wao wenyewe hawaelewi jinsi wanavyoendesha mambo yao, wanaemsikiliza hajui anasema nini, yaani shida tupu huko chamani. ...
 
UPOTOSHAJI huu ukiendelea,

Hata vyama vya upinzani vitazuiwa kuweka mgombea Urais!!!

Kamwe Twiga hawezi kujificha na kuwa digidigi!!

UKWELI na uwazi utawale katika chama kikongwe Africa.
 
Tanzania inahitaji Kiongozi wa waViongozi wenye matamanio na maono ya Wananchi wake. Mengine yote tisa.
 
Wenye chama chao wameshaamua sasa wewe endelea kubweka kama nguruwe pori.
 
Salaam, Shalom!!

Kuna mkanganyiko unaendelea katika majukwaa ya kisiasa juu ya kuchapisha fomu Moja ya mgombea Urais 2025.

Kwa wakati tofauti Mh Kinana na Mh Majaliwa wanarudia rudia kuwa 2025 itakuwa Awamu ya pili ya Mh Samia hivyo Utaratibu wa CCM uendelee wa kuchapisha fomu Moja tu.

Nijuavyo, Awamu ya kwanza ni ya kupigiwa kura na wananchi kama mgombea Urais na kushinda uchaguzi, Si vinginevyo.

Swali linakuja,

Ikiwa 2025 itakuwa Awamu ya pili Kwa Mh Samia, je mgombea mwenza wa Rais Samia katika Awamu ya kwanza alikuwa nani?

Karibuni Kwa ufafanuzi. 🙏
Alikuwa nanihii wa CCM.
 
Back
Top Bottom