Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Ccm imara inaogopa MCHAKATO wa katiba na TUME HURU ya Uchaguzi ni AIBUMwl Nyerere: Bila CCM Imara, Nchi itayumba.
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm imara inaogopa MCHAKATO wa katiba na TUME HURU ya Uchaguzi ni AIBUMwl Nyerere: Bila CCM Imara, Nchi itayumba.
Unaamini ninamfahamu mgombea mwenza wa Mh Samia Awamu ya kwanza?......ni kitendo/mbinu ya kuuliza swali kwa jambo ambalo unafahamu jibu lake, na hufanya hivyo kwa lengo la kusisitiza jambo, kuleta mshangao, n.k.
(A)Tashibiha
(B)Tashititi
(C)Takrikri
(F)Tanakali sauti
Hili swali nilikuwa sikosi hata uniamshe usiku wa manane.
Mimi nakuteuwa wewe nenda kamuulize kinana kama nauli nitumie no yako nikurushie pesa au kesho nenda stand yoyete nchi nzima ukifika tuwasiliane uingie kwenye gari!Ushiriki, usishiriki,
Maamuzi na maazimio ya vikao huwekwa hadharani.
Inaogopa hata maigizo ya Kutoa fomu zaidi ya Moja Ili kuonyesha DEMOKRASIA ndani ya chama.Ccm imara inaogopa MCHAKATO wa katiba na TUME HURU ya Uchaguzi ni AIBU
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Kwanini nipoteze nauli ilhali anajua kusoma ujumbe huu?Mimi nakuteuwa wewe nenda kamuulize kinana kama nauli nitumie no yako nikurushie pesa au kesho nenda stand yoyete nchi nzima ukifika tuwasiliane uingie kwenye gari!
Swali Hilo lijibiwe na Mh Majaliwa na Ndugu Kinana.Kwani huo urais alipataje.?
Nani huyo kiongozi wa VIONGOZI?Tanzania inahitaji Kiongozi wa waViongozi wenye matamanio na maono ya Wananchi wake. Mengine yote tisa.
Kwa kikao kipi, Cha tarehe ngapi, chenye agenda ngapi?Wenye chama chao wameshaamua sasa wewe endelea kubweka kama nguruwe pori.
Utajua wewe lakini ndiyo imeisha hiyo na kama kawaida yao atakayejitia kiherehere anafukuzwa kwenye chama.Kwa kikao kipi, Cha tarehe ngapi, chenye agenda ngapi?
Kwani chama kimetekwa?Utajua wewe lakini ndiyo imeisha hiyo na kama kawaida yao atakayejitia kiherehere anafukuzwa kwenye chama.
Umesahau au ?....alimchallenge halafu ikaishaje ?....
Unaamini ninamfahamu mgombea mwenza wa Mh Samia Awamu ya kwanza?
Wengi wanajua Utaratibu ulivyo, tatizo ni unafiki.Itakuwa wewe ndio umesahau kuhusu hawamu ya kwanza ya Magufuli. Watu walipitia mchujo Membe akaishia top 5. Hoja ya jamaa ni hawamu ya kwanza.
Huo NI ushauri wao, sio uamuzi. Tuwe makini kwenye hoja zetu.Makubaliano yalifanyika kwenye kikao kipi?
Alikuwa nanihii wa CCM.Salaam, Shalom!!
Kuna mkanganyiko unaendelea katika majukwaa ya kisiasa juu ya kuchapisha fomu Moja ya mgombea Urais 2025.
Kwa wakati tofauti Mh Kinana na Mh Majaliwa wanarudia rudia kuwa 2025 itakuwa Awamu ya pili ya Mh Samia hivyo Utaratibu wa CCM uendelee wa kuchapisha fomu Moja tu.
Nijuavyo, Awamu ya kwanza ni ya kupigiwa kura na wananchi kama mgombea Urais na kushinda uchaguzi, Si vinginevyo.
Swali linakuja,
Ikiwa 2025 itakuwa Awamu ya pili Kwa Mh Samia, je mgombea mwenza wa Rais Samia katika Awamu ya kwanza alikuwa nani?
Karibuni Kwa ufafanuzi. 🙏
Uoga kwa Mwenyekiti hakuna sehemu kwenye katiba ya ccm inayosema itolewe Fomu mojaWenyewe washakubaliana tatizo lipo mkuu!