Je, Rais Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Awamu ya Tano au ya Sita kwa mujibu wa Katiba ya nchi?

Wanabodi, kuna jambo naliwekea kumbukumbu sawa, kuhusu awamu ya uongozi tuliyonayo sasa hivi nchini Tanzania.

Ifahamike kuwa, Hii ni awamu ya tano (5) ya Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa na Rais wake wa sita (6) Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN, ambaye awali alikuwa Makamu wa Rais, na ambaye kwa sasa ndiye Rais kwa mujibu wa Katiba kufuatia kifo cha Hayati DKT. JOHN POMBE MAGUFULI aliyechaguliwa kuwa Rais katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, na ambaye alifariki mwezi Machi, 2021 (RIP).

Awamu ya sita (6) ya Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itapatikana mnamo mwaka 2025 baada ya kufanyika uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Imeshaisha hiyo.
 
Kwa hiyo bado tupo kwenye awamu ya kiza kinene
 
Huwa najiuliza kwanini wanasema awamu ya sita sielewi
Wakati awamu niya tano na rais ni Wasita
Kufariki kwa rais kumemfanya makamu kuwa rais ili kumalizia mda uliobaki kwa awamu ileile ya tano
 
'
20210701_122419.jpg
 
Definition ya awamu kwa muktadha huu mnaipata wapi?

Tukitafuta precedent, Zanzibar rais wa sasa ni wa awamu ya ngapi?

Alipouawa rais Karume na kuingia Jumbe kuwa rais, awamu ilibadilika au haikubadilika?
 
Wanabodi, kuna jambo naliwekea kumbukumbu sawa, kuhusu awamu ya uongozi tuliyonayo sasa hivi nchini Tanzania.

Ifahamike kuwa, Hii ni awamu ya tano (5) ya Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa na Rais wake wa sita (6) Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN, ambaye awali alikuwa Makamu wa Rais, na ambaye kwa sasa ndiye Rais kwa mujibu wa Katiba kufuatia kifo cha Hayati DKT. JOHN POMBE MAGUFULI aliyechaguliwa kuwa Rais katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, na ambaye alifariki mwezi Machi, 2021 (RIP).

Awamu ya sita (6) ya Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itapatikana mnamo mwaka 2025 baada ya kufanyika uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.

Imeshaisha hiyo.
Kwa wewe unasemaje?hii ya tano ama ya sita.
 
Salaam, Shalom!!

Kuna mkanganyiko unaendelea katika majukwaa ya kisiasa juu ya kuchapisha fomu Moja ya mgombea Urais 2025.

Kwa wakati tofauti Mh Kinana na Mh Majaliwa wanarudia rudia kuwa 2025 itakuwa Awamu ya pili ya Mh Samia hivyo Utaratibu wa CCM uendelee wa kuchapisha fomu Moja tu.

Nijuavyo, Awamu ya kwanza ni ya kupigiwa kura na wananchi kama mgombea Urais na kushinda uchaguzi, Si vinginevyo.

Swali linakuja,

Ikiwa 2025 itakuwa Awamu ya pili Kwa Mh Samia, je mgombea mwenza wa Rais Samia katika Awamu ya kwanza alikuwa nani?

Karibuni Kwa ufafanuzi. 🙏
 
Fomu Moja Kwa mgombea maana yake nini?

HOFU I wapi?

Mbona Marehemu Membe alimchalenge Hayati Magufuli?

CCM onyesheni ukomavu tafadhali.
 
Umesahau au ?....alimchallenge halafu ikaishaje ?....
 
Salaam, Shalom!!

Kuna mkanganyiko unaendelea katika majukwaa ya kisiasa juu ya kuchapisha fomu Moja ya mgombea Urais 2025.

Kwa wakati tofauti Mh Kinana na Mh Majaliwa wanarudia rudia kuwa 2025 itakuwa Awamu ya pili ya Mh Samia hivyo Utaratibu wa CCM uendelee wa kuchapisha fomu Moja tu.

Nijuavyo, Awamu ya kwanza ni ya kupigiwa kura na wananchi kama mgombea Urais na Si vinginevyo.

Swali linakuja,

Ikiwa 2025 itakuwa Awamu ya pili Kwa Mh Samia, je mgombea mwenza wa Rais Samia katika Awamu ya kwanza alikuwa nani?

Karibuni Kwa ufafanuzi. [emoji120]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom