GRANDPUBA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 751
- 790
Wanabodi, kuna jambo naliwekea kumbukumbu sawa, kuhusu awamu ya uongozi tuliyonayo sasa hivi nchini Tanzania.
Ifahamike kuwa, Hii ni awamu ya tano (5) ya Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa na Rais wake wa sita (6) Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN, ambaye awali alikuwa Makamu wa Rais, na ambaye kwa sasa ndiye Rais kwa mujibu wa Katiba kufuatia kifo cha Hayati DKT. JOHN POMBE MAGUFULI aliyechaguliwa kuwa Rais katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, na ambaye alifariki mwezi Machi, 2021 (RIP).
Awamu ya sita (6) ya Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itapatikana mnamo mwaka 2025 baada ya kufanyika uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani.
Imeshaisha hiyo.