Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?

Je, Roma Mkatoliki anaandaliwa kuwa shahidi wa ICC?

Slaa alienda Mapumziko.. Halafu baadae ikawaje? Na case ya Wakenya unataka kuifananisha na Tz kweli?
Je kama alienda kwenye Tamasha la kiswahili imekuwaje akazamia? Afrika unaweza ku temper na visa sio Marekani

Jr[emoji769]
tunampa kiki hasizokuwa nazo
 
Wapi Mzee wa maswali magumu? Nini kimemsibu kiasi cha kubaki kimya muda wore guy licha ya madhuruba yanayotukia pande hizi.
Huko Finland Kuna maswaiba gani yamekutokea Ansebert ngurumo, maswali magumu yameishia wapi?
Kishatoa kitabu
 
Ungefuatilia mjadala tangu mwanzo usingeuliza hili swali.. Hebu chukua muda kidogo usome kilichoendelea utaelimika zaidi
Unaijua ICC ama tu umeamua kuwafurahisha wanaojiita makamanda?

Jr[emoji769]
 
Sijui tatizo ni lugha siielewi au ni sheria? Hii habari naona kama inawahusu marekani na ICC na siyo Tanzania na ICC.

Maana yake hiyo ni kuwa Roma atafichwa je huko ili kuandaa ICC wakati wenyewe hawaitambui?
 
Mshana Jr,

Marekani wenyewe wameshindwa kukubaliana na tume maalum ya Icc ya kuchunguza uharifu wa kivita huko Pakistan, Afghanistan na Iraq
 
Maana yake hiyo ni kuwa Roma atafichwa je huko ili kuandaa ICC wakati wenyewe hawaitambui?

Kama ni kweli marekani wanamficha basi wanamficha kama mkimbizi, nadhani hiyo haitozuia yeye kuitwa na kwenda kutoa ushahidi ICC kama kweli kuna mpango huo?
 
😐😎Mabeberu Yanataka Kututegea Wavu Utunase? Yatanasa Yenyewe 😃😄😅😂😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23]
[emoji52][emoji41]Mabeberu Yanataka Kututegea Wavu Utunase? Yatanasa Yenyewe [emoji2][emoji1][emoji28][emoji23][emoji16]

Jr[emoji769]
 
Kaka Bila shaka asili yako kama siyo BK basi itakuwa KYELA
Absolutely yes! Ili kutenda haki alipaswa kusema how Roma anaweza kuwa shahidi angainst whom and under which chareges na kwa misingi ipi? Sasa kuropoka tu bila hata kujua ABC ya ICC huo nao ni uzwazwa!
Mleta maada alipaswa adadavue, ndio maana nikwakwambia ni Ngumbalu wa hizi mambo by just looking on what he just wrote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom