Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Aisee. Safari ni ndefuCCM ikifa Tanzania imekufa
Sasa kama mnatoana macho sababu ya Madaraka na siyo maendeleo ya nchi tukae kimya???Vipi chadema nini kinaendelea naona mpo bize na mambo ya CCM.
Wameshamkataa Katibu Mkuu anaefuata ni nani?? Jibu unalo. Lazima Chama kimfie ni suala la muda tu.CCM ikifa Tanzania imekufa
chadema ipo wewe, usalama wa nchi utaendelea kuimarishwaFuatilia mizizi ya CCM ndio uimara wa usalama na amani Tanzania
Sio kweli kabisa kuwa bila CCM hakuna Tanzania yenye amani, furaha na usalama.Uhai wa CCM ndio usalama wa Tanzania
Ndani ya CCM kuna kitu kinaitwa kukubaliana bila hicho hakujawahi kuwa na ustawi. Mfano wana CCM walikubaliana Mzee Mwinyi awe Rais baada ya Nyerere
Kipindi cha Kiba Ben Akiba JK, Salim walikuwa na nguvu ila walikubaloana Ben aongoze. Ben alimpenda sana Sumayi ila wakakaa walikubaliana JK aongoze. JK nae alimpenda sana Membe amwachie kiti lakini walikaa wanakubaliana achukue JPM
Sasa JPM hayupo yuko Samia. Utaratibu wa kukubaliana usizarauliwe kwa kuwa ustawi wa CCM ndio maendeleo ya Tanzania. Kuna vitu vinaendelea inaonesha hamjakubaliana, ndio maana ups and down,
Namshauri Mama Samia akae na wakubwa wenzie wakubaliane amalize 30 kisha awape mtu wanayemtaka
Makundi hayana afya ya muda mrefu
Siwezi kujotokeza kugombea kwenye chaguzi ambazo kutangazwa ni kwa utashi wa mwenyekiti wa ccm na sio kwa kura halali.ile inanishangaza hutokeagi kugombea ili walau tukuone na tukuskize kambadala ka CCM 😅
"Bila CCM imara nchi itayumba!" Mwl. Julius Kambarage Nyerere (1995).Usalama wa Tanzania hautegemei ccm
Mizizi ya wizi, ww utakuwa ni mzee lazima maana ndio mnakuwaga na porojo hiziFuatilia mizizi ya CCM ndio uimara wa usalama na amani Tanzania
hakuna marefu yasiyo na ncha, hicho chama kiwekwe tu makumbusho ya taifa kwa heshima. Wanasiasa wake wajiunge kwenye vyama vingine wakaendeleze maono yao ya kisiasa hukoKINASAMBARATIKA
Story za kizee hizi, huyo Nyerere mwenyewe alituvalisha viraka."Bila CCM imara nchi itayumba!" Mwl. Julius Kambarage Nyerere (1995).
kaa utulie sasa uwe unaumiiaaaa......kisha. unaliaaa weeee hii kubwekabweka na kelele mingi hakuna namna unaweza saidika..Siwezi kujotokeza kugombea kwenye chaguzi ambazo kutangazwa ni kwa utashi wa mwenyekiti wa ccm na sio kwa kura halali.
Ikiwa miaka yote wao ndiyo wako Madarakani na nchi haikuyumba, kwanini wakiwekwa pembeni nchi iyumbe kama siyo wao CCM watakaoyumbisha??"Bila CCM imara nchi itayumba!" Mwl. Julius Kambarage Nyerere (1995).
Ww ndio unajiliza, Mimi namwaga shombo tu kwa majizi ya kura.kaa utulie sasa uwe unaumiiaaaa......kisha. unaliaaa weeee hii kubwekabweka na kelele mingi hakuna namna unaweza saidika..
wanachukua wanaweka waaaaa
Haki na Raia wake woteUnategemea nini?
Bila CCM imara Tanzania itayumba.Haki na Raia wake wote
kwa kweli hii ccm ya sasa ni dhaifu, wazee wake wapo ila kuna vijana wahuni wamewaamini chamani na kuwapa madaraka ila hao vijana wanakiharibu chama na kuwa dhaifu badala ya kuwa imara"Bila CCM imara nchi itayumba!" Mwl. Julius Kambarage Nyerere (1995).
Kama ni kweli hili ni tatizo.Bila CCM imara Tanzania itayumba.
Unaweza kuanisha hao wakubwa wenzie ni akina nani mkuu?Uhai wa CCM ndio usalama wa Tanzania