Je, safari hii CCM hamjakubaliana?

Je, safari hii CCM hamjakubaliana?

Samahani kukuambia hivi lakini utakua umevuta bangi iliyo changanywa na mavi ya ngurue 😡😡 yani bila hata aibu unaandika eti uhai wa ccm ndio usalama wa Tanzania hizo ni akili taka taka au matope kabisa 😡😡😡
 
Uhai wa CCM ndio usalama wa Tanzania

Ndani ya CCM kuna kitu kinaitwa kukubaliana bila hicho hakujawahi kuwa na ustawi. Mfano wana CCM walikubaliana Mzee Mwinyi awe Rais baada ya Nyerere

Kipindi cha Kiba Ben Akiba JK, Salim walikuwa na nguvu ila walikubaloana Ben aongoze. Ben alimpenda sana Sumayi ila wakakaa walikubaliana JK aongoze. JK nae alimpenda sana Membe amwachie kiti lakini walikaa wanakubaliana achukue JPM

Sasa JPM hayupo yuko Samia. Utaratibu wa kukubaliana usizarauliwe kwa kuwa ustawi wa CCM ndio maendeleo ya Tanzania. Kuna vitu vinaendelea inaonesha hamjakubaliana, ndio maana ups and down,

Namshauri Mama Samia akae na wakubwa wenzie wakubaliane amalize 30 kisha awape mtu wanayemtaka

Makundi hayana afya ya muda mrefu
Sio kweli kabisa kuwa bila CCM hakuna Tanzania yenye amani, furaha na usalama.
 
Uhai wa CCM ndio usalama wa Tanzania

Ndani ya CCM kuna kitu kinaitwa kukubaliana bila hicho hakujawahi kuwa na ustawi. Mfano wana CCM walikubaliana Mzee Mwinyi awe Rais baada ya Nyerere

Kipindi cha Kiba Ben Akiba JK, Salim walikuwa na nguvu ila walikubaloana Ben aongoze. Ben alimpenda sana Sumayi ila wakakaa walikubaliana JK aongoze. JK nae alimpenda sana Membe amwachie kiti lakini walikaa wanakubaliana achukue JPM

Sasa JPM hayupo yuko Samia. Utaratibu wa kukubaliana usizarauliwe kwa kuwa ustawi wa CCM ndio maendeleo ya Tanzania. Kuna vitu vinaendelea inaonesha hamjakubaliana, ndio maana ups and down,

Namshauri Mama Samia akae na wakubwa wenzie wakubaliane amalize 30 kisha awape mtu wanayemtaka

Makundi hayana afya ya muda mrefu
Unaweza kuanisha hao wakubwa wenzie ni akina nani mkuu?
 
Back
Top Bottom