Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,531
- 5,787
Kuna waraka ulitoka kwamba wanafunzi wale chakula cha mchana shuleni kwa shule za msingi za serikali nina mtoto wa Dada yangu anaishi kwangu namlea mimi nilihudhuria kwenye kikao !! Makubaliano ilikua ni sh 500 atakula ubwabwa na maharage !! Changamoto wazazi walilalamika sana !! 😂😂
Ila mwisho wa siku waliosupport walikua wengi ! Japo hicho chakula kwa kweli bado ni kupumbaza njaa tu
Nilishaweka utaratibu kabla ya mtoto kutoka lazima ale chakula na kingine anabeba kidogo !! Unampa na 1000. Na hakikisha unapompa anakula kweli kwa sababu watoto wana tabia anaweza asile chakula hela yote akanunua barafu za ukwaju au chama.
Japo wanahitaji kuboresha zaidi ila angalau hiki wanachokula kinawapunguzia effect za vidonda vya tumbo !!