Je, serikali yatangaza hali ya dharura kuelekea tarehe 7/7 (Sabasaba)?

Je, serikali yatangaza hali ya dharura kuelekea tarehe 7/7 (Sabasaba)?

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
26 June 2026
Dodoma, Tanzania

Kupitia bunge la chama kimoja mjini Dodoma waziri wa mambo ya ndani atangaza hali yadharura?

View: https://m.youtube.com/watch?v=W4nFM7gRgKs
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amemuelekeza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura, kusitisha kwa muda utoaji wa vibali vya mikutano ya hadhara ya kisiasa. Uamuzi huo unalenga kuzuia taharuki na vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyodaiwa kuratibiwa kuelekea kilele cha Maonesho ya Sabasaba

Hatua hiyo imejikita katika maelekezo yafuatayo:
  • Kusitishwa Vibali: Hakuna chama cha siasa kitakachoruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara hadi hapo serikali itakapotoa maelekezo mengine.
  • Kudhibiti Maandamano: Hatua hii imechukuliwa ili kukabiliana na miito ya maandamano ya kiuhalifu yanayodaiwa kupangwa kufanyika nchini.
  • Ulinzi na Usalama: Polisi wameagizwa kuimarisha ulinzi kuanzia ngazi ya mkoa hadi vitongoji ili kuhakikisha wananchi wanaendelea na shughuli zao za kiuchumi kwa amani.
 
Lameck Mwigulu naye

View: https://m.youtube.com/watch?v=1__RgOudStQ

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa Serikali iko makini kuhakikisha amani na utulivu unaendelea na kuwaonya wale wote wanaohamamisha vijana.

Lameck Mwigulu ameyasema hayo Bungeni Juni 26, 2026 wakati wa hotuba ya kuhitimisha ambapo pia amempongeza Waziri wa Mambo ya Ndani kwa hatua alizochukua kukabiliana na matishio ya amani.

Kauli ya Mwigulu inakuja katika kipindi ambapo kwenye mitandao ya kijamii kumekuwepo na wimbi la uhamasishaji wa maandamano yaliyopangwa kufanyika Julai 7 nchini kwa madai mbalimbali ikiwemo Katiba Mpya.
 
26 JUNE 2026

Tanzania Bans Political Rallies, Bracing for Gen-Z Protests

TANZANIA BANS POLITICAL RALLIES, BRACING GOR GEN-Z PROTESTS

1 hour ago — Tanzania's authorities banned political rallies and placed the country on high alert for youth-led protests against increased authoritarianism...

26 June 2026

Tanzania suspends political parties’ public meetings due rumours of illegal demonstrations​

View: https://m.youtube.com/watch?v=W4nFM7gRgKs

Tanzania has imposed a ban on all public political gatherings, citing concerns over potential civil unrest and alleged plans for illegal demonstrations being organized through social media channels. The announcement marks a significant shift in the country’s political landscape as authorities seek to maintain public order.

Home Affairs Minister Patrobas Katambi delivered the announcement to Parliament in Dodoma on June 26, 2026, outlining a series of security measures designed to prevent what the government describes as threats to national peace and stability. The minister revealed that he had instructed Inspector General of Police IGP Camillus Wambura to halt the issuance of permits for political rallies across the country.

The suspension affects all political parties operating in Tanzania, effectively preventing them from holding public meetings, rallies, or gatherings until further notice.

According to Katambi, the decision was made after intelligence reports indicated that certain individuals were using social media platforms to coordinate activities that could lead to public disorder and unauthorized demonstrations.

The minister emphasized that the measure represents part of broader government efforts to prevent incidents that might escalate into violence. He stated that the primary objective is to protect citizens’ safety while security agencies work to address identified threats. The government has not specified how long the ban will remain in effect.

Beyond restricting political gatherings, the new directives extend to entertainment venues in key areas of the commercial capital, Dar es Salaam.

Minister Katambi announced the closure of certain entertainment spots in upscale neighborhoods including Masaki and Oysterbay both in the commercial city of Dar es Salaam , where authorities claim to have identified activities that could potentially disrupt public peace.

Other locations across the country with similar security concerns have also been targeted for closure, though specific details were not provided.

In a separate security measure, the minister ordered the strengthening of guest registration procedures at accommodation facilities like hotels, motels.guest houses and airBnB nationwide.

Under the new requirements, all visitors staying in guesthouses and hotels must be recorded in establishment registers using their National Identification Authority identification cards NIDA.

This move appears designed to enhance monitoring of people’s movements and provide security agencies with better tracking capabilities.

The announcement comes amid growing concerns about political tensions in Tanzania. While the government frames the measures as preventative security actions, critics may view them as restrictions on political freedoms and the right to assembly.

Tanzania has experienced periods of political tension in recent years, particularly last year's general election of October 2025 in which hundreds thousands of civilians were shot dead by government paramilitary forces and hundreds of opposition cadres detained.

The suspension of political rallies could have significant implications for Tanzania’s democratic processes, especially if extended over a prolonged period. Political parties typically rely on public meetings to communicate with constituents, mobilize supporters, and discuss policy positions. The ban effectively limits these traditional channels of political engagement.

The directive to close entertainment venues in Dar es Salaam’s affluent neighborhoods suggests authorities are particularly concerned about these areas as potential focal points for gatherings that could turn into protests. Masaki and Oysterbay are known as diplomatic and expatriate areas with numerous restaurants, bars, and social venues.

Tanzania’s government has previously taken firm stances on matters of public order and security. The country, located in East Africa, plays a strategic role in regional stability and economic development. How the international community and civil society groups respond to these restrictions remains to be seen, as does the reaction from opposition parties affected by the ban.

The enforcement of stricter identification requirements at accommodation facilities adds another layer to the government’s security apparatus, potentially affecting both domestic travelers and tourists visiting the country
 
From the Archives

View: https://m.youtube.com/shorts/Q9W3ixnpCQw

25 June 2026
SAMIA HASSAN NA EMMERSON MNANGAGWA WASHUTUMIWA, HUKU SAMIA AKITOLEWA MFANO WA KUTUMIA DAMU KUBAKI MADARAKANI

Zimbabwe, Mabadiliko ya Katiba na Demokrasia barani Afrika | Ft. Rais wa Zamani Ian Khama

View: https://m.youtube.com/watch?v=zTuclfcw4H8
Tumeona pia mifano hai Oktoba 25 2025 Tanzania kuna wanasiasa wamekwenda mbali, wameteka bunge na mchakato mzima wa uchaguzi, wakawafunga wapizani, wakazuia chama kikuu cha upinzani halafu wakaamua kufanya mauaji ya kutisha ya raia ili kubaki madarakani. Viongozi wa aina hii ni wagonjwa wa akili ! Anakazia jenerali Khama

Kwa Zimbabwe, Mabadiliko ya Katiba na Demokrasia barani Afrika wameamua kuteka bunge na seneti baada ya kuwapachika bungeni wanasiasa hawa
Je, marekebisho ya katiba yanatumika kuimarisha demokrasia au kupanua mamlaka ya kisiasa?

Katika kipindi hiki cha Nation on Record, Rais wa zamani wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama anajadili mjadala unaokua kuhusu mipaka ya mihula ya urais, mabadiliko ya kikatiba, utawala wa kidemokrasia, na mrithi wa uongozi barani Afrika.

Kwa kutumia Zimbabwe kama mahali pa kuanzia, mazungumzo yanachunguza mitindo ya watawala kuigana kote barani kufanya mabadiliko haramu ya kikatiba, jukumu la SADC na Umoja wa Afrika, hali ya taasisi za kidemokrasia, na jinsi mustakabali wa Afrika unavyoweza kuonekana ikiwa viongozi wataendelea michezo hii hatari ya kuongeza muda wao wa kukaa madarakani.

Jiunge nasi kwa majadiliano ya wazi kuhusu demokrasia, uwajibikaji, haki za binadamu, na mustakabali wa uongozi wa Afrika.
Source : NR Nation on Record
 
From the Archives

View: https://m.youtube.com/shorts/Q9W3ixnpCQw

25 June 2026
SAMIA HASSAN NA EMNERSON MNANGAGWA WASHUTUMIWA, HUKU SAMIA AKITOLEWA MFANO WA KUTUMIA DAMU KUBAKI MADARAKANI

Zimbabwe, Mabadiliko ya Katiba na Demokrasia barani Afrika | Ft. Rais wa Zamani Ian Khama

View: https://m.youtube.com/watch?v=zTuclfcw4H8
Tumeona pia mifano hai Oktoba 25 2025 Tanzania kuna wanasiasa wamekwenda mbali, wameteka bunge na mchakato mzima wa uchaguzi, wakawafunga wapizani, wakazuia chama kikuu cha upinzani halafu wakaamua kufanya mauaji ya kutisha ya raia ili kubaki madarakani. Viongozi wa aina hii ni wagonjwa wa akili ! Anakazia jenerali Khama

Kwa Zimbabwe, Mabadiliko ya Katiba na Demokrasia barani Afrika wameamua kuteka bunge na seneti baada ya kuwapachika bungeni wanasiasa hawa
Je, marekebisho ya katiba yanatumika kuimarisha demokrasia au kupanua mamlaka ya kisiasa?

Katika kipindi hiki cha Nation on Record, Rais wa zamani wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama Ian Khama anajadili mjadala unaokua kuhusu mipaka ya mihula ya urais, mabadiliko ya kikatiba, utawala wa kidemokrasia, na mrithi wa uongozi barani Afrika.

Kwa kutumia Zimbabwe kama mahali pa kuanzia, mazungumzo yanachunguza mitindo ya watawala kuigana kote barani kufanya mabadiliko haramu ya kikatiba, jukumu la SADC na Umoja wa Afrika, hali ya taasisi za kidemokrasia, na jinsi mustakabali wa Afrika unavyoweza kuonekana ikiwa viongozi wataendelea michezo hii hatari ya kuongeza muda wao wa kukaa madarakani.

Jiunge nasi kwa majadiliano ya wazi kuhusu demokrasia, uwajibikaji, haki za binadamu, na mustakabali wa uongozi wa Afrika.
Source : NR Nation on Record

chadema bingwa
 
Lameck Mwigulu naye

View: https://m.youtube.com/watch?v=1__RgOudStQ

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa Serikali iko makini kuhakikisha amani na utulivu unaendelea na kuwaonya wale wote wanaohamamisha vijana.

Lameck Mwigulu ameyasema hayo Bungeni Juni 26, 2026 wakati wa hotuba ya kuhitimisha ambapo pia amempongeza Waziri wa Mambo ya Ndani kwa hatua alizochukua kukabiliana na matishio ya amani.

Kauli ya Mwigulu inakuja katika kipindi ambapo kwenye mitandao ya kijamii kumekuwepo na wimbi la uhamasishaji wa maandamano yaliyopangwa kufanyika Julai 7 nchini kwa madai mbalimbali ikiwemo Katiba Mpya.

Serikali na Samia wameingia hofu na woga mkubwa
Huyu pimbi anarudia maneno hayo kila siku hana jipya mchunga mbuzi wa unyeramba.
 
26 June 2026
Dodoma, Tanzania

Kupitia bunge la chama kimoja mjini Dodoma waziri wa mambo ya ndani atangaza hali yadharura?

View: https://m.youtube.com/watch?v=W4nFM7gRgKs
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amemuelekeza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura, kusitisha kwa muda utoaji wa vibali vya mikutano ya hadhara ya kisiasa. Uamuzi huo unalenga kuzuia taharuki na vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyodaiwa kuratibiwa kuelekea kilele cha Maonesho ya Sabasaba

Hatua hiyo imejikita katika maelekezo yafuatayo:
  • Kusitishwa Vibali: Hakuna chama cha siasa kitakachoruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara hadi hapo serikali itakapotoa maelekezo mengine.
  • Kudhibiti Maandamano: Hatua hii imechukuliwa ili kukabiliana na miito ya maandamano ya kiuhalifu yanayodaiwa kupangwa kufanyika nchini.
  • Ulinzi na Usalama: Polisi wameagizwa kuimarisha ulinzi kuanzia ngazi ya mkoa hadi vitongoji ili kuhakikisha wananchi wanaendelea na shughuli zao za kiuchumi kwa amani.

Gentleman,
Tanzania ni shwari,
na hatua za makusudi za serikali sikivu ya CCM zilizochukuliwa hivi punde, ni katika kuimarisha zaidi hali ya amani na usalama wa waTanzania wote.

Ni jambo la kawaida sana kwa mataifa mengi ya ulimwengu, katika kujizatiti zaidi kiusalama 🐒
 
26 JUNE 2026

Tanzania Bans Political Rallies, Bracing for Gen-Z Protests

TANZANIA BANS POLITICAL RALLIES, BRACING GOR GEN-Z PROTESTS

1 hour ago — Tanzania's authorities banned political rallies and placed the country on high alert for youth-led protests against increased authoritarianism...

26 June 2026

Tanzania suspends political parties’ public meetings due rumours of illegal demonstrations​

View: https://m.youtube.com/watch?v=W4nFM7gRgKs

Tanzania has imposed a ban on all public political gatherings, citing concerns over potential civil unrest and alleged plans for illegal demonstrations being organized through social media channels. The announcement marks a significant shift in the country’s political landscape as authorities seek to maintain public order.

Home Affairs Minister Patrobas Katambi delivered the announcement to Parliament in Dodoma on June 26, 2026, outlining a series of security measures designed to prevent what the government describes as threats to national peace and stability. The minister revealed that he had instructed Inspector General of Police IGP Camillus Wambura to halt the issuance of permits for political rallies across the country.

The suspension affects all political parties operating in Tanzania, effectively preventing them from holding public meetings, rallies, or gatherings until further notice.

According to Katambi, the decision was made after intelligence reports indicated that certain individuals were using social media platforms to coordinate activities that could lead to public disorder and unauthorized demonstrations.

The minister emphasized that the measure represents part of broader government efforts to prevent incidents that might escalate into violence. He stated that the primary objective is to protect citizens’ safety while security agencies work to address identified threats. The government has not specified how long the ban will remain in effect.

Beyond restricting political gatherings, the new directives extend to entertainment venues in key areas of the commercial capital, Dar es Salaam.

Minister Katambi announced the closure of certain entertainment spots in upscale neighborhoods including Masaki and Oysterbay both in the commercial city of Dar es Salaam , where authorities claim to have identified activities that could potentially disrupt public peace.

Other locations across the country with similar security concerns have also been targeted for closure, though specific details were not provided.

In a separate security measure, the minister ordered the strengthening of guest registration procedures at accommodation facilities like hotels, motels.guest houses and airBnB nationwide.

Under the new requirements, all visitors staying in guesthouses and hotels must be recorded in establishment registers using their National Identification Authority identification cards NIDA.

This move appears designed to enhance monitoring of people’s movements and provide security agencies with better tracking capabilities.

The announcement comes amid growing concerns about political tensions in Tanzania. While the government frames the measures as preventative security actions, critics may view them as restrictions on political freedoms and the right to assembly.

Tanzania has experienced periods of political tension in recent years, particularly last year's general election of October 2025 in which hundreds thousands of civilians were shot dead by government paramilitary forces and hundreds of opposition cadres detained.

The suspension of political rallies could have significant implications for Tanzania’s democratic processes, especially if extended over a prolonged period. Political parties typically rely on public meetings to communicate with constituents, mobilize supporters, and discuss policy positions. The ban effectively limits these traditional channels of political engagement.

The directive to close entertainment venues in Dar es Salaam’s affluent neighborhoods suggests authorities are particularly concerned about these areas as potential focal points for gatherings that could turn into protests. Masaki and Oysterbay are known as diplomatic and expatriate areas with numerous restaurants, bars, and social venues.

Tanzania’s government has previously taken firm stances on matters of public order and security. The country, located in East Africa, plays a strategic role in regional stability and economic development. How the international community and civil society groups respond to these restrictions remains to be seen, as does the reaction from opposition parties affected by the ban.

The enforcement of stricter identification requirements at accommodation facilities adds another layer to the government’s security apparatus, potentially affecting both domestic travelers and tourists visiting the country

26 June 2026

Tanzania Braces for July 7 Protests Amid Intensifying International Scrutiny​

Last updated: June 26, 2026

brace.jpg

By Adonis Byemelwa

Dar es Salaam
— Tanzanian authorities have issued increasingly forceful warnings ahead of planned nationwide demonstrations on July 7, accusing some organisers of preparing violent acts while protest advocates insist the mobilisation is intended to demand political accountability, justice for victims of post-election violence and broader democratic reforms.

The demonstrations, largely coordinated through social media rather than political parties, are expected to coincide with Saba Saba Day, a national holiday marking the 1954 founding of the Tanganyika African National Union (TANU), the movement that led Tanganyika to independence.

The day also coincides with the annual Dar es Salaam International Trade Fair (DITF), one of the country’s largest commercial events, raising concerns over potential disruption in Tanzania’s commercial capital.

A Decentralised Protest Movement

Unlike previous opposition-led demonstrations, the July 7 mobilisation appears to lack a formal leadership structure. Organisers and activists communicating online say the protests seek accountability for the government’s response to demonstrations following the October 29, 2025 general election, the release of political prisoners, electoral reforms, and greater protection of constitutional freedoms.

Many participants also cite broader concerns including youth unemployment, rising living costs, governance, corruption, and longstanding constitutional questions surrounding the Union between Tanganyika and Zanzibar.

Independent estimates of the expected turnout have not been published, making the eventual scale of the demonstrations difficult to assess.

Political Context

The planned demonstrations emerge after months of political tension following the October 29, 2025 presidential election, in which President Samia Suluhu Hassan was declared the winner with nearly 98 per cent of the vote.

Several international and regional election observation missions concluded that the electoral process fell short of democratic standards, while the Tanzanian government has consistently defended both the conduct of the election and the declaration of the results. Demonstrations that followed the election were met with a heavy security response.

A government-appointed Commission of Inquiry chaired by retired Chief Justice Mohamed Chande Othman later documented 518 deaths across 11 regions during the unrest. While the commission established the scale of the violence, it did not assign criminal responsibility to senior officials or recommend prosecutions. International investigators have not independently verified the commission’s findings.

Human rights organisations have separately documented allegations including excessive use of force, enforced disappearances and arbitrary arrests. Tanzanian authorities have repeatedly rejected accusations of systematic human rights abuses.

Lissu Case Continues to Dominate Debate

One of the principal demands raised by many protesters is the release of opposition leader Tundu Lissu, who has remained in detention since his April 2025 arrest after addressing a peaceful rally calling for electoral reforms.

Lissu faces treason charges, an offence carrying the death penalty under Tanzanian law. At the time of writing, he has remained in detention for more than 14 months without conviction. Tanzanian prosecutors maintain the case is proceeding through the judicial process, while his legal team argues his detention is politically motivated. The case has increasingly attracted international attention.

Appearing before the European Parliament’s Subcommittee on Human Rights (DROI), Lissu’s wife, Alice Magabe, delivered an emotional appeal describing what she characterised as her husband’s deteriorating situation.

She told Members of the European Parliament that Lissu remained detained at Ukonga Prison in Dar es Salaam, alleged that he had been denied confidential access to his lawyers and adequate family visits, and urged the international community to intensify pressure on Tanzanian authorities, arguing that human rights defenders required concrete international support.

Tanzanian authorities have not publicly accepted those allegations and continue to maintain that judicial proceedings are being conducted in accordance with the law.

Families of Missing Persons Appeal to Europe

The European Parliament hearing also featured Agnes Polepole Lendov, sister of former Tanzanian diplomat Humphrey Polepole.

Humphrey Polepole, Tanzania’s former ambassador to Cuba, disappeared on October 6, 2025. Family members and supporters allege state security involvement, an accusation the Tanzanian government has not accepted.

Addressing lawmakers, Agnes Polepole called for an independent international investigation into her brother’s disappearance and other reported cases of enforced disappearances.

She further urged the European Union to pursue targeted sanctions against individuals found responsible for serious human rights violations, rather than broad measures that affect the wider Tanzanian population.

Her testimony also focused on what she described as shrinking democratic space, arguing that Tanzanians should be able to participate in politics and express dissent without fear of arrest or disappearance.

No independent international investigation has yet determined responsibility for Polepole’s disappearance.

Government Warns of Criminal Activity

Tanzanian authorities insist they support lawful political participation but argue that intelligence gathered from online platforms indicates some individuals intend to exploit the demonstrations for criminal purposes.

Home Affairs Minister Patrobas Katambi recently accused individuals of using political platforms to incite hatred and undermine national unity, urging citizens not to participate in activities that could threaten public order.

Police spokesperson David Misime went further, alleging investigators had identified plans involving road blockades, arson, attacks on security personnel, destruction of schools and public infrastructure, and other serious crimes.

However, authorities have not publicly released evidence supporting those allegations, nor have prosecutors presented such evidence in court proceedings related to the planned demonstrations.

Protest organisers and activists have broadly characterised the planned mobilisation as peaceful and focused on constitutional rights, although no single organisation speaks for the decentralised movement.

Authorities Signal Robust Security Response

Dar es Salaam Regional Commissioner Albert Chalamila has warned that authorities are prepared to deploy significant force if demonstrations become violent.

He argued that maintaining order in Dar es Salaam was essential because of the city’s strategic importance as Tanzania’s principal commercial centre and gateway for regional trade.

Security analysts note that governments frequently increase police deployments around politically sensitive anniversaries and mass gatherings. Human rights organisations, however, have urged security forces to ensure that any response remains necessary, proportionate and consistent with both Tanzanian law and international human rights obligations governing the use of force.

Legal Questions Surround Demonstrations

Tanzania’s Constitution guarantees freedoms of expression and assembly, though those rights are regulated by public order legislation that requires police notification and allows authorities to impose restrictions under certain circumstances.

Government officials maintain that demonstrations associated with criminal activity fall outside constitutional protections. Human rights lawyers argue that restrictions must satisfy tests of legality, necessity and proportionality, standards reflected in both Tanzania’s Constitution and international human rights treaties to which the country is a party.

Whether the July 7 demonstrations comply with legal requirements may ultimately depend on both organisers’ conduct and the authorities’ response.

image.jpeg

International Pressure Intensifies

The planned protests unfold against mounting diplomatic pressure from Western partners.

On May 20, 2026, U.S. Senators Jeanne Shaheen and Ted Cruz introduced the bipartisan Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act, which later advanced through the Senate Foreign Relations Committee.

If enacted, the legislation would require a review of U.S. engagement with Tanzania, authorise targeted sanctions against individuals responsible for serious human rights abuses, and suspend certain security and development assistance pending democratic reforms.

Meanwhile, the European Parliament adopted a resolution objecting to financing the European Commission’s proposed €156 million annual action plan for Tanzania.

The resolution cited continuing concerns over political repression, post-election violence, enforced disappearances and the refusal by Tanzanian authorities to permit a European Parliament human rights delegation to visit the country.

The Tanzanian government has consistently rejected allegations of systematic human rights violations and has defended its actions as necessary to preserve national security, constitutional order and public peace.

Police say they are monitoring social media and arresting activists to prevent criminal incitement, while rights groups argue the measures suppress peaceful dissent. The July 7 demonstrations are expected to test Tanzania’s democratic freedoms and draw close international scrutiny of both protesters and security forces.

0

Lissu Case Continues to Dominate Debate
One of the principal demands raised by many protesters is the release of opposition leader Tundu Lissu, who has remained in detention since his April 2025 arrest after addressing a peaceful rally calling for electoral reforms.Lissu faces treason charges, an offence carrying the death penalty under Tanzanian law. At the time of writing, he has remained in detention for more than 14 months without conviction. Tanzanian prosecutors maintain the case is proceeding through the judicial process, while his legal team argues his detention is politically motivated. The case has increasingly attracted international attention.Appearing before the European Parliament’s Subcommittee on Human Rights (DROI), Lissu’s wife, Alice Magabe, delivered an emotional appeal describing what she characterised as her husband’s deteriorating situation.She told Members of the European Parliament that Lissu remained detained at Ukonga Prison in Dar es Salaam, alleged that he had been denied confidential access to his lawyers and adequate family visits, and urged the international community to intensify pressure on Tanzanian authorities, arguing that human rights defenders required concrete international support.Tanzanian authorities have not publicly accepted those allegations and continue to maintain that judicial proceedings are being conducted in accordance with the law.Families of Missing Persons Appeal to EuropeThe European Parliament hearing also featured Agnes Polepole Lendov, sister of former Tanzanian diplomat Humphrey Polepole.Humphrey Polepole, Tanzania’s former ambassador to Cuba, disappeared on October 6, 2025. Family members and supporters allege state security involvement, an accusation the Tanzanian government has not accepted.Addressing lawmakers, Agnes Polepole called for an independent international investigation into her brother’s disappearance and other reported cases of enforced disappearances.She further urged the European Union to pursue targeted sanctions against individuals found responsible for serious human rights violations, rather than broad measures that affect the wider Tanzanian population.Her testimony also focused on what she described as shrinking democratic space, arguing that Tanzanians should be able to participate in politics and express dissent without fear of arrest or disappearance.No independent international investigation has yet determined responsibility for Polepole’s disappearance.Government Warns of Criminal ActivityTanzanian authorities insist they support lawful political participation but argue that intelligence gathered from online platforms indicates some individuals intend to exploit the demonstrations for criminal purposes.Home Affairs Minister Patrobas Katambi recently accused individuals of using political platforms to incite hatred and undermine national unity, urging citizens not to participate in activities that could threaten public order.Police spokesperson David Misime went further, alleging investigators had identified plans involving road blockades, arson, attacks on security personnel, destruction of schools and public infrastructure, and other serious crimes.However, authorities have not publicly released evidence supporting those allegations, nor have prosecutors presented such evidence in court proceedings related to the planned demonstrations.Protest organisers and activists have broadly characterised the planned mobilisation as peaceful and focused on constitutional rights, although no single organisation speaks for the decentralised movement.Authorities Signal Robust Security ResponseDar es Salaam Regional Commissioner Albert Chalamila has warned that authorities are prepared to deploy significant force if demonstrations become violent.He argued that maintaining order in Dar es Salaam was essential because of the city’s strategic importance as Tanzania’s principal commercial centre and gateway for regional trade.Security analysts note that governments frequently increase police deployments around politically sensitive anniversaries and mass gatherings. Human rights organisations, however, have urged security forces to ensure that any response remains necessary, proportionate and consistent with both Tanzanian law and international human rights obligations governing the use of force.Legal Questions Surround DemonstrationsTanzania’s Constitution guarantees freedoms of expression and assembly, though those rights are regulated by public order legislation that requires police notification and allows authorities to impose restrictions under certain circumstances.Government officials maintain that demonstrations associated with criminal activity fall outside constitutional protections. Human rights lawyers argue that restrictions must satisfy tests of legality, necessity and proportionality, standards reflected in both Tanzania’s Constitution and international human rights treaties to which the country is a party.Whether the July 7 demonstrations comply with legal requirements may ultimately depend on both organisers’ conduct and the authorities’ response.International Pressure IntensifiesThe planned protests unfold against mounting diplomatic pressure from Western partners.On May 20, 2026, U.S. Senators Jeanne Shaheen and Ted Cruz introduced the bipartisan Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act, which later advanced through the Senate Foreign Relations Committee.If enacted, the legislation would require a review of U.S. engagement with Tanzania, authorise targeted sanctions against individuals responsible for serious human rights abuses, and suspend certain security and development assistance pending democratic reforms.Meanwhile, the European Parliament adopted a resolution objecting to financing the European Commission’s proposed €156 million annual action plan for Tanzania.The resolution cited continuing concerns over political repression, post-election violence, enforced disappearances and the refusal by Tanzanian authorities to permit a European Parliament human rights delegation to visit the country.The Tanzanian government has consistently rejected allegations of systematic human rights violations and has defended its actions as necessary to preserve national security, constitutional order and public peace.Police say they are monitoring social media and arresting activists to prevent criminal incitement, while rights groups argue the measures suppress peaceful dissent. The July 7 demonstrations are expected to test Tanzania’s democratic freedoms and draw close international scrutiny of both protesters and security forces.

SOurce : Pan African Visions
 
Amani ya kweli haiwezi kulindwa na bunduki

AGIZO LALETA TAHARUKI KIMATAIFA

Na kimataifa habari hii imekuwa kubwa kama moto wa nyikani

Wawekezaji, wadau wa kimataifa wanajiuliza nini mzizi wa haya yote . Je ni utawala kandamizi usio wa haki wa kidikteta ndiyo unaopelekea sifa ya taifa hili la Afrika ya Mashariki kuchafuka sifa yake?
 
Mnaotamani kufa nendeni mkafanye kama yale ya OCT. Tena this time polisi hawacheki na mtu
 
26 June 2026

Wanasheria Wamshtaki Samia na Waziri Patrobas Katambi Mahakama ya Kitaifa kwa kukiuka katiba na kuzuia CHADEMA

View: https://m.youtube.com/watch?v=LPmCZsH5l9I

✅Eagle Ezra ni mwandishi wa habari na mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Tanzania mwenye uzoefu mpana katika mada mbalimbali. Kupitia kituo hiki, tunakuletea uchambuzi wa kina, maoni, na mjadala kuhusu masuala ya kisiasa na kijamii yanayoigusa Tanzania na kanda kwa ujumla

26 June 2026
MWABUKUSI - TANGAZO LIMEVUNJA KATIBA
Serikali Yapiga Marufuku Mikutano ya Vyama, Yatoa Msimamo Kuhusu Maandamano, IGP Apewa Maagizo
1782493726126.jpeg

Rais wa TLS wakili Boniface Mwambukusi amesema tangazo hili la Waziri linavunja Katiba. Marufuku hii ya sasa imekuja kipindi ambacho katika mitandao ya kijamii kuna vuguvugu la maandamano Julai 7, 2026.

Amebainisha mambo haya makuu kuhusu msimamo wao:
  • Waziri hana Mamlaka: Alieleza kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani hana mamlaka ya kuzuia mikutano ya kisiasa iliyoruhusiwa kisheria, na pia Jeshi la Polisi (IGP) halina jukumu la kutoa vibali vya mikutano.

  • Wajibu wa Polisi: Mikutano ya ndani ya vyama inaratibiwa na vyama vyenyewe, na jukumu la Polisi kisheria ni kutoa ulinzi tu na sio kupiga marufuku.

  • Hatua za Kisheria: TLS imeeleza kushtushwa na tamko hilo na wanajipanga kuchukua hatua za kisheria ndani na nje ya nchi dhidi ya yeyote atakayetekeleza agizo hilo.

.
 
Back
Top Bottom