Je, serikali yatangaza hali ya dharura kuelekea tarehe 7/7 (Sabasaba)?

Je, serikali yatangaza hali ya dharura kuelekea tarehe 7/7 (Sabasaba)?

Gentleman,
Tanzania ni shwari,
na hatua za makusudi za serikali sikivu ya CCM zilizochukuliwa hivi punde, ni katika kuimarisha zaidi hali ya amani na usalama wa waTanzania wote.

Ni jambo la kawaida sana kwa mataifa mengi ya ulimwengu, katika kujizatiti zaidi kiusalama 🐒
Kitumbua chako wamekitia mchanga dada shituka sasa kumbuka chadema wanawapambania mama baba Kaka shangazi na babu Bibi zako huko kinampanda singida waondokane na hili zimwi CCM ambalo Kila kukicha linawatafutia Kodi mpya mpaka Kodi za vyoo zipo huku madini na lasilimali zote yakiuza kwa bei za kutupwa pumbavu CCM na Wana CCM wote mliofilisi Tanzania yetu.
 
26 June 2026
MWABUKUSI - TANGAZO LIMEVUNJA KATIBA
Serikali Yapiga Marufuku Mikutano ya Vyama, Yatoa Msimamo Kuhusu Maandamano, IGP Apewa Maagizo
View attachment 3616477
Rais wa TLS wakili Boniface Mwambukusi amesema tangazo hili la Waziri linavunja Katiba. Marufuku hii ya sasa imekuja kipindi ambacho katika mitandao ya kijamii kuna vuguvugu la maandamano Julai 7, 2026.

Amebainisha mambo haya makuu kuhusu msimamo wao:
  • Waziri hana Mamlaka: Alieleza kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani hana mamlaka ya kuzuia mikutano ya kisiasa iliyoruhusiwa kisheria, na pia Jeshi la Polisi (IGP) halina jukumu la kutoa vibali vya mikutano.


  • Wajibu wa Polisi: Mikutano ya ndani ya vyama inaratibiwa na vyama vyenyewe, na jukumu la Polisi kisheria ni kutoa ulinzi tu na sio kupiga marufuku.


  • Hatua za Kisheria: TLS imeeleza kushtushwa na tamko hilo na wanajipanga kuchukua hatua za kisheria ndani na nje ya nchi dhidi ya yeyote atakayetekeleza agizo hilo.

.

26 June 2026
Dar es Salaam, Tanzania

MWABUKUSI - THE TANZANIAN MINISTER'S PROCLAMATION TO BAN ALL POLITICAL RALLIES IN TANZANIA VIOLATED THE CONSTITUTION
Tanganyika Law Society TLS in Tanzania plans to take legal action locally and internationally against anyone who implements the order.

26 June 2026 DODOMA Tanzanian Government Bans Political Parties' Meetings, Issues Statement on Protests, IGP Given Instructions
Tanganyika Law Society honorable president, Mr. Boniface Mwambukusi, said the Minister's announcement violates the Tanzanian Constitution. The current ban comes at a time when there is a movement gathering momentum on social media for Gen-Z to come out and protest on July 7, 2026.
1782494180652.jpeg

He has identified these key points about their position:
  • The Minister has no authority: Tanganyika Law Society president explained that the Minister of Home Affairs does not have the authority to prevent legally permitted political meetings, and the Inspector General of Police (IGP) is also not responsible for issuing permits for meetings.


  • Police Role: Internal polutical party meetings are coordinated by the parties themselves, and the Police's legal role is only to provide protection and not to prohibit.


  • Legal Action: Tanganyika Law Society TLS has expressed shock at the announcement and plans to take legal action locally and internationally against anyone who implements the order.

.
 
Maandamano yawe ya amani, means kufikisha ujumbe, na sio kupora na kuharibu mali za serikali/watu+kuiba
 
Nia mbaya, kupora mali za watu, kuchoma magari, mabasi, maduka, vituo vya mafuta, kuiba pesa, kuchoma mwendokasi n.k
Waliofanya hayo hawakudhulika. Waliodhulika ni wengine kabisa. Nina ushahidi wa jirani yangu aliuwawa na alikua askari mstaafu
 
Lameck Mwigulu naye


View: https://m.youtube.com/watch?v=1__RgOudStQ

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa Serikali iko makini kuhakikisha amani na utulivu unaendelea na kuwaonya wale wote wanaohamamisha vijana.

Lameck Mwigulu ameyasema hayo Bungeni Juni 26, 2026 wakati wa hotuba ya kuhitimisha ambapo pia amempongeza Waziri wa Mambo ya Ndani kwa hatua alizochukua kukabiliana na matishio ya amani.

Kauli ya Mwigulu inakuja katika kipindi ambapo kwenye mitandao ya kijamii kumekuwepo na wimbi la uhamasishaji wa maandamano yaliyopangwa kufanyika Julai 7 nchini kwa madai mbalimbali ikiwemo Katiba Mpya.

Hawa ni wepesi sana
 
Under the Constitution of the United Republic of Tanzania, emergency orders and a State of Emergency are governed by Article 32. This grants the President the authority to declare a state of emergency to address national crises, such as war, invasion, or a severe breakdown of public order...

TanzLII
https://tanzlii.org

Emergency Powers Act


(1)The President may, by order published in the Gazette, delegate all or any of the emergency powers conferred upon him by the provisions of this Act to the ...
 
Kitumbua chako wamekitia mchanga dada shituka sasa kumbuka chadema wanawapambania mama baba Kaka shangazi na babu Bibi zako huko kinampanda singida waondokane na hili zimwi CCM ambalo Kila kukicha linawatafutia Kodi mpya mpaka Kodi za vyoo zipo huku madini na lasilimali zote yakiuza kwa bei za kutupwa pumbavu CCM na Wana CCM wote mliofilisi Tanzania yetu.
mbona wanatukana, wanaomba pesa na kuropoka nonsense tupu kwenye mikutano yao?

hayo ni mapambano au fujo gentleman? Yaani wazazi wako wanapambaniwa kwa matusi?

huko ni kuwakosea adabu wazazi.
Plz kua na heshima hata kidogo tu gentleman na itapendeza zaidi.

heshima sio utumwa 🐒
 
26 June 2026
Dodoma, Tanzania
THE TANZANIAN MINISTER'S PROCLAMATION TO BAN ALL POLITICAL RALLIES IN TANZANIA VIOLATED THE CONSTITUTION
Tanganyika Law Society TLS in Tanzania plans to take legal action locally and internationally against anyone who implements the order.

26 June 2026 DODOMA Tanzanian Government Bans Political Parties' Meetings, Issues Statement on Protests, IGP Given Instructions
Tanganyika Law Society honorable president, Mr. Boniface Mwambukusi, said the Minister's announcement violates the Tanzanian Constitution. The current ban comes at a time when there is a movement gathering momentum on social media for Gen-Z to come out and protest on July 7, 2026.
1782498248585.jpeg


Reference available online

Emergency Powers Act​



Tanzania

Emergency Powers Act​

Chapter 221​

  • Published in Tanzania Government Gazette
  • Commenced on 1 January 2000
  • [This is the version of this document at 31 December 2023.]
  • [Note: This legislation was revised and consolidated as at 31 July 2002 and 30 November 2019 by the Attorney General's Office, in compliance with the Laws Revision Act No. 7 of 1994, the Revised Laws and Annual Revision Act (Chapter 356 (R.L.)), and the Interpretation of Laws and General Clauses Act No. 30 of 1972. All subsequent amendments have been researched and applied by Laws.Africa for TANZLII.]
[GN. No. 38 of 2000; Acts Nos. 1 of 1986; 12 of 1998]An Act to make better provisions which provide for and confer certain emergency powers upon the President for the purpose of ensuring public safety and maintenance of public order during emergencies and for connected matters.WHEREAS Article 32 of the Constitution of the United Republic of Tanzania provides, inter alia, that the President may, subject to an Act of Parliament, proclaim the existence of a state of emergency in the United Republic or in any part of it;AND WHEREAS it is recognised that situations may arise within or outside the United Republic which, by reason of their potential threat to the security, peace and good order of the United Republic, may necessitate the exercise of emergency powers by the President;AND WHEREAS it is meant that there be provided limits and adequate safeguards in relation to the exercise of emergency powers;NOW THEREFORE, be it enacted by the Parliament of the United Republic as follows

Part I – Preliminary provisions​

1. Short title​

This Act may be cited as the Emergency Powers Act.

2. Application​

This Act shall apply to Tanzania Zanzibar as well as to Mainland Tanzania.

3. Interpretation​

In this Act, unless the context otherwise requires—“Code” means the Penal Code;[Cap. 16]“Constitution” means the Constitution of the United Republic of Tanzania of 1977;[Cap. 2]“emergency” includes war, invasion, insurrection real or apprehended or a breakdown of public order, which in the opinion of the President is a threat to the security of the United Republic, or a riot or other disaster or a natural calamity within the United Republic whether caused by natural causes or otherwise, which could achieve such a serious nature as to be of national concern;“emergency area” means any area of the United Republic in which there exists an emergency declared by the President;“President” includes any person lawfully discharging the functions of the President; and“public meeting” means any assembly of more than five persons wherever it takes place and whether or not open to the public or to any category or portion of the public; and a meeting may be a public meeting notwithstanding that it is held in a private place or that admission thereto is restricted by ticket or otherwise.

Part II – Proclamation of​

4. Procedure relating to declaration of state of​

(1)The President shall by directions under his hand, provide for the procedure to be complied with by specified authorities in informing him of events and circumstances in any area or locality within the United Republic, which may necessitate or lead to the declaration of a state of emergency in that area or locality.(2)Where the President, after receiving information in accordance with subsection (1), is satisfied that there exists in any area or locality of the United Republic a situation which necessitates the declaration of a state of emergency, he may, subject to Article 32 of the Constitution, by proclamation published in the Gazette, declare that there exists a state of emergency in the United Republic or in the area or locality of it concerned.[Cap. 2](3)The proclamation issued by the President under subsection (2) shall be conclusive evidence of the existence of a state of emergency in the United Republic or in the area or locality concerned and that it has existed for such period of time as may be stated in the proclamation.

(4)A proclamation issued under subsection (2) shall remain in operation until it is revoked by the President by a further proclamation declaring its cessation or until there occurs any of the situations referred to in Article 32(5) of the Constitution.[Cap. 2](5)The cessation of a state of emergency in accordance with subsection (4) shall not affect the validity of any act or thing lawfully done or suffered in pursuance of any order or direction, made or issued in furtherance of the proclamation; or affect any right, privilege, obligation, liability, penalty, forfeiture or punishment acquired, accrued or incurred under the proclamation in pursuance of the provisions of this Act.

Part III – Emergency powers​

5. Delegation​

(1)The President may, by order published in the Gazette, delegate all or any of the emergency powers conferred upon him by the provisions of this Act to the Vice-President or any person exercising the powers of the President.(2)The delegation made under subsection (1) shall be in a prescribed form.[Act No. 12 of 1998 Sch.]

6. Special powers of​

The President may do and authorise acts and things, and make such orders and regulations as he may, by reason of the existence of a state of emergency, deem necessary for the security, defence, peace, order and welfare of the United Republic.

READ MORE : https://tanzlii.org/en/akn/tz/act/1986/1/eng@2023-12-31
 
26 June 2026
Dodoma, Tanzania

Kupitia bunge la chama kimoja mjini Dodoma waziri wa mambo ya ndani atangaza hali yadharura?


View: https://m.youtube.com/watch?v=W4nFM7gRgKs
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amemuelekeza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura, kusitisha kwa muda utoaji wa vibali vya mikutano ya hadhara ya kisiasa. Uamuzi huo unalenga kuzuia taharuki na vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyodaiwa kuratibiwa kuelekea kilele cha Maonesho ya Sabasaba

Hatua hiyo imejikita katika maelekezo yafuatayo:
  • Kusitishwa Vibali: Hakuna chama cha siasa kitakachoruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara hadi hapo serikali itakapotoa maelekezo mengine.
  • Kudhibiti Maandamano: Hatua hii imechukuliwa ili kukabiliana na miito ya maandamano ya kiuhalifu yanayodaiwa kupangwa kufanyika nchini.
  • Ulinzi na Usalama: Polisi wameagizwa kuimarisha ulinzi kuanzia ngazi ya mkoa hadi vitongoji ili kuhakikisha wananchi wanaendelea na shughuli zao za kiuchumi kwa amani.

Na wakina mwamposa wapigwe marufuku. Sio kuwaonea wanasiasa tu.
 
Wewe ni kichaa unaejua kuv
mbona wanatukana, wanaomba pesa na kuropoka nonsense tupu kwenye mikutano yao?

hayo ni mapambano au fujo gentleman? Yaani wazazi wako wanapambaniwa kwa matusi?

huko ni kuwakosea adabu wazazi.
Plz kua na heshima hata kidogo tu gentleman na itapendeza zaidi.

heshima sio utumwa 🐒
Wewe ni kichaa unaejua kuvaa sut kwahiyo acha tukusamehe bila malipo
 
UZURI GENZ TUMEJIANDAA KIKAMILIFU KUWAKABILI HAWA WAHUNI.TUTATUMIA MBINU ZOTE ZA KIVITA KUWASHINDA WATAKAOJARIBU KUTUZuIA KWENYE ZOEZI LA UKOMBOZI WA TANGANYIKA YETU DHIDI YA MAHARAMIA WA MCHAMBAWIMA LITAKALOFANYIKA SABASABA.
 
26 June 2026
Dodoma, Tanzania

Kupitia bunge la chama kimoja mjini Dodoma waziri wa mambo ya ndani atangaza hali yadharura?


View: https://m.youtube.com/watch?v=W4nFM7gRgKs
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amemuelekeza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura, kusitisha kwa muda utoaji wa vibali vya mikutano ya hadhara ya kisiasa. Uamuzi huo unalenga kuzuia taharuki na vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyodaiwa kuratibiwa kuelekea kilele cha Maonesho ya Sabasaba

Hatua hiyo imejikita katika maelekezo yafuatayo:
  • Kusitishwa Vibali: Hakuna chama cha siasa kitakachoruhusiwa kufanya mikutano ya hadhara hadi hapo serikali itakapotoa maelekezo mengine.
  • Kudhibiti Maandamano: Hatua hii imechukuliwa ili kukabiliana na miito ya maandamano ya kiuhalifu yanayodaiwa kupangwa kufanyika nchini.
  • Ulinzi na Usalama: Polisi wameagizwa kuimarisha ulinzi kuanzia ngazi ya mkoa hadi vitongoji ili kuhakikisha wananchi wanaendelea na shughuli zao za kiuchumi kwa amani.

Haisaidii kitu. The die is cast.
 
Back
Top Bottom