Je, serikali yatangaza hali ya dharura kuelekea tarehe 7/7 (Sabasaba)?

Je, serikali yatangaza hali ya dharura kuelekea tarehe 7/7 (Sabasaba)?

26 June 2026
Paternus Niyegira : CCM WASIKUBALI HILI, KESHO WAJITOKEZE KULAANI ZUIO LA SHUGHULI HALALI ZA KISIASA LA PATROBAS KATAMBI

View: https://m.youtube.com/watch?v=JInRM3GwaLk
Uchambuzi wa mzito kuhusu agizo la marufuku ya mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, sababu nzito kesho CCM wanatakiwa kupinga katazo la Patrobas Katambi....

Tamko la Patrobas Paschal Katambi lina maana gani kuhusu Samia ambaye ndiye amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Tanzania. Na pia mwanasheria mkuu wa serikali Hamza Johari kutotoa ushauri bungeni kuhusu tamko hili linalovunja katiba...

Paternus Niyegira ni mchambuzi bobevu wa masuala ya falsafa, siasa, dola , haki msingi, kutetea shughuli halali, uhuru wa wananchi n.k...
Source : Crown Media
 
26 June 2026
Dodoma, Tanzania

Tanzania bans political rallies ahead of planned anti-government protests​

1782553137270.jpeg

Tanzania's President Samia Suluhu Hassan delivers remarks during a campaign rally ahead of the general elections in Iringa, Tanzania, on Oct. 5, 2025. Credit: AP/Uncredited

By The Associated PressUpdated June 26, 2026 4:15 pm

DAR ES SALAAM, Tanzania — Tanzania’s government Friday banned political rallies ahead of planned protests against last year's disputed election and the detention of an opposition leader.

Internal Affairs Minister Patrobas Katambi directed Police Inspector General Camillus Wambura to officially stop issuing permits for political activities across the East African country.

Tanzania witnessed its first-ever postelection protests in 2025. The general election was overwhelmingly won by the ruling party after the country’s main opposition party boycotted the polls and the presidential candidate for the second-largest opposition party was barred from running

The country’s young people have said they plan to demonstrate on July 7 to protest President Samia Suluhu Hassan’s reelection and push for a new constitution.

Police have arrested people linked to the organizers of the planned protests, which have been mobilized through social media.

The country's youth are also calling for the release of opposition party leader Tundu Lissu, who is facing treason charges after calling for reforms before last year’s elections.

They have also called for accountability over the widespread postelection violence, during which more than 500 people died.

Opposition parties in Tanzania have described the ban as politically motivated and a violation of constitutional rights, asserting that political parties are constitutionally guaranteed the right to hold public meetings.

Opposition party Chadema’s chief legal counsel, Rugemeleza Nshala, said the ban was intended to “muzzle political freedom,” and that the party was “contemplating other legal actions locally and internationally to challenge the decision.”

The main opposition party ACT Wazalendo’s shadow minister for Defense, Internal Affairs and Security, Rashid Ali, said the directive was yet another move aimed at violating the Constitution.
 
26 June 2026

Wanasheria Wamshtaki Samia na Waziri Patrobas Katambi Mahakama ya Kitaifa kwa kukiuka katiba na kuzuia CHADEMA

View: https://m.youtube.com/watch?v=LPmCZsH5l9I

✅Eagle Ezra ni mwandishi wa habari na mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Tanzania mwenye uzoefu mpana katika mada mbalimbali. Kupitia kituo hiki, tunakuletea uchambuzi wa kina, maoni, na mjadala kuhusu masuala ya kisiasa na kijamii yanayoigusa Tanzania na kanda kwa ujumla
 
27 June 2026
Singida, Tanzania

MWIGULU NCHEMBA ATANGAZA HALI YA HATARI, AFICHUA SIRI NA MPANGO MZITO WA....US$10,000,000​

Mwigulu Lameck Nchemba anaongea mazito na taifa kutoka Singida Tanzania, kuhusu hali ya usalama wa nchi


View: https://m.youtube.com/watch?v=W7kQy8pmrck

Mwigulu afafanua kauli zake za bungeni jana tarehe 26 June 2026 Dodoma kufuatia tamko la Patrobas Katambi kupiga marufuku mikutano ya kisiasa nchini kote Tanzania

Mwingulu Nchemba asema hawataki yale ya mwaka jana kabla na baada ya uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 yatokee 2026

Mwigulu anasema serikali haina ugomvi wala chuki na chama chochote cha kisiasa nchini

Mwigulu anasema kuna taarifa wamezipata na hivyo tayari wamewakamata baadhi yao, kuna kijana mmoja mkoa fulani kila mwezi analipwa mamilioni kuchochea. Mwingine analipwa milioni 5 na tulipomuuliza ametoa siri nyingi kuwa ametumwa na watu wanaofugwa nje ya nchi

Mwigulu anasema yule mmoja alikamatwa December 2025 akiwa na mabomu akiingia pale mpakani ili wafanye vurugu, kamwe hafutacheka, kufanya mchezo na watu wa aina hii mimi huwa sifichi. Tumepewa majukumu, na mimi hili siyo mara ya kwanza kukumbana na vurugu hizi, maana niliwahi kuwa waziri wa mambo ya ndani wakati mauaji ya kule Kilwa watu waliuawa wakashindwa kwenda mashambani n.k

Hatuwezi kuruhusu vurugu hata sisi tuna chama chetu lakini jambo la usalama hatuwezi kucheka cheka. Watanzania ni wasahaulifu mikutanoni yaliwahi kurushwa mabomu ya moto na watu wakapoteza maisha mkutanoni

Wale wanaopinga tamko la katazo hili la mikutano wanacheza na usalama wa nchi lakini sisi kama serikali hatutajali wewe ni wa chama chetu au kingine...

Mwigulu atoboa siri kuu kuwa kuna kijana amepewa kitita cha dola za kiMarekani cha US$10,000,000 (milioni 10 dolari) hizo ni sawa na bilioni 26 shilingi za kitanzania kufanya vurugu na kuharibu usalama wa nchi ninyi hamjui ...lakini vyombo vimebaini hilo ...
 
Hata wewe utakufa. Yupo wapi polepole aliyekuwa kiherehere kuliko wewe?. Usidhani upo salama

Kwani ukikaa nyumbani nani atakusumbua! Uende ukafanye uhalifu huko, uuawe na uwaache wazazi/familia yako katika wakati mgumu kisa tu kuwafurahisha hao wanaharakati wa mabeberu
 
Waliofanya hayo hawakudhulika. Waliodhulika ni wengine kabisa. Nina ushahidi wa jirani yangu aliuwawa na alikua askari mstaafu

Huenda unachokisema nikweli, lakini yote tisa unajua siku hiyo ni siku ya maandamano why utoke nje na unajua kabisa kuna risk mbele yako!! Hata kama kutafuta riziki ila sio siku ya maandamano, kwangu mimi yale sio maandamano bali ni uhalifu.
 
Mabeberu katika ubora wao wa utapeli, chadema wakitumika vyema, refer iraq, libya, syria n.k amani imetoweka, bado tu mnawaamini hao wanaojiita wanaharakati!! Kwa iran wamegonga mwamba....
 
27 June 2026

EDSON KILATU - Tamko la Waziri Patrobas Katambi Halisadifu Hali ya Usalama Bali ni Siasa​


View: https://m.youtube.com/watch?v=CdVw3O6C--U

1966 The UN International convanant Civil political rights ICCR is a landmark UN human rights treaty adopted in 1966 and in force since 1976 which Tanzania has also ractify it since 1976

1948 Universal Declaration of Human Rights

Tanzania Political Party Act Sect 23 - Right to Assembly in political party activities, meetings and demonstrations


Sect 42 of the Police force and auxiliary services Act..www.nps.go.tz


Coup d'etat in West Africa 1960s e.g Ghana, Nigeria etc
 
27 June 2026
Mbarali, Mbeya
Tanzania

BAVICHA WAMJIA JUU PATROBAS KATAMBI ZUIO LA MIKUTANO || WATAKA TUNDU LISSU AACHIWE HURU || BAVICHA WATOA SOMO LA MAANDAMANO TANGANYIKA

View: https://m.youtube.com/watch?v=impPfKgL390
Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, BAVICHA limesema zuio la mikutano ya hadhara ya siasa ambalo limetangazwa na waziri wa mambo ya ndani ya nchi Patrobas Katambi ni haramu kwa kuwa linakiuka ibara ya 20 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Kauli hiyo ya Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA BAVICHA imetolewa na katibu mwenezi BAVICHA taifa Felius Festo kwenye mkutano wa hadhara ambao umefanyika katika eneo la Kapunga wilayani Mbarali mkoani Mbeya.

Kwa upande wake makamu mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA BAVICHA taifa Necto Kitiga ameitaka serikali kumuachia mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Lissu kwa kuwa ameshikiliwa kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa bila kosa lolote
 
Huenda unachokisema nikweli, lakini yote tisa unajua siku hiyo ni siku ya maandamano why utoke nje na unajua kabisa kuna risk mbele yako!! Hata kama kutafuta riziki ila sio siku ya maandamano, kwangu mimi yale sio maandamano bali ni uhalifu.
Nipo pamoja na wewe kabisa. Mimi ni mmoja kati ya waathirika. Ila waliouliwa hawakuhusika na uharifu
 
28 June 2026

Tanzania Puts a Blanket On Rallies Ahead of Planned Protests | WION

View: https://m.youtube.com/watch?v=b-3vObZiOts
The Tanzanian government has officially banned all political rallies across the country, citing vague "security threats." This directive, issued by Interior Minister Patrobas Katambi on June 26 2026, comes less than two weeks before youth-led demonstrations planned for the July 7 public holiday
Source : WION
 
Back
Top Bottom