Je, shetani yupo? Anaishi wapi?

Upagani ndio nini sasa, hivi unajua hata wahindu na wabudha au wale wanaoabudu Dragon China wanakuona wewe unayetumia Bible ni mpagani? Jibu swali, usiogope
Mkuu hili swali mbona kama halinihusu sijazungumzia maswala ya bibilia mm
 

Nimezaliwa na kuishi simba wanga lakini sijawahi kumuona shetani.
 
Ndio maana nikauliza. Je, uwepo wa shetani ni mpango wa mungu au ni kufeli kwa mungu?
Mkuu kwanza hapo kwenye swali lako tu kuna makosa, kitendo tu cha kusema KUFELI KWA MUNGU, tayar ni kosa.... Kwa kuwa mungu hakuwahi KUFELI wala kushindwa.
 
Mkuu kwanza hapo kwenye swali lako tu kuna makosa, kitendo tu cha kusema KUFELI KWA MUNGU, tayar ni kosa.... Kwa kuwa mungu hakuwahi KUFELI wala kushindwa.
Ndo ujibu hilo swali. Uwepo wa shetani ni mpango wa mungu au ni kufeli kwa mungu? Nahitaji majibu. Ili kupima uwezo wa mtu wa kufikiria lazima maswali yawepo
 
Ndo ujibu hilo swali. Uwepo wa shetani ni mpango wa mungu au ni kufeli kwa mungu? Nahitaji majibu. Ili kupima uwezo wa mtu wa kufikiria lazima maswali yawepo
Naomba nijibu kwa kadri ninavyo elewa mimi, shetan ni malaika walio hasi kwa Mungu, before walikuwa malaika wema tu wakifanya kazi tofauti kulingana na division za kaz na uwezo wao huko kwa Mungu, but baada ya kuhasi kiongoz wao Lucifer, Mungu aka waalani na kuwa tupa duniani na hata hilo ziwa la moto wali andaliwa wao..... Km haitosh nao wakasema hatuto kwenda pekeetu bali tutawatafuta wafuasi wa kwenda nao huko...
 
Kwahiyo uwepo wa shetani ni kufeli kwa mungu. Kwa maana aliumba kitu ambacho kimemzidi nguvu mpaka akawa hajui nn kitatokea? Maana mnasema mungu anajua kila kitu. Kilichotokea na kitakachotokea
 
[quote uid=43551 name="FaizaFoxy" post=15661191]Shetani wa kibinadamu ni yule anayeweza kuwarubuni watu kuacha kumuabudu Mungu na kuanza kuliabudu sanamu la mzungu lililovishwa nepi.[/QUOTE]<br />sio wale wanaoshawishi wenzao wakaabudu kaburi la mfu kule makka na kuhimiza kujitoa mhanga kuwahi mabikra?

Hahahah muslim vs christian
 
Kwa nini Mungu hakuwazuia mashetani kuwarubuni watu wake?
 

I beg to differ uwezo wa akili mkuu hauna kikomo tafiti zinasema bongo zetu zinatumika kwa asilimia 10% bado hajatokea mtu alietumia kwa 100% unaweza uka imagine laiti ingetumika 100% tungekua wapi now na saivi its jus 10%....

Tusitoke nje ya mada anyways hilo swali langu linajibikaje nna kiu ya kujua
 
Shetani ni mhusika feki katika vitabu vya kale
 
ooh unamaanisha kuwa kumbe shetani hayupo mmoja kama tulivoambiwa na vitabu bali wapo wengi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…