JF
Baada ya mwanga kuanza kuonekana kwamba muda si mrefu shule zote zitafunguliwa hapa nchini kwa vyuo na kidato cha sita kutangulia ili kupima upepo
Wamiliki wa shule binafsi hawako nyuma, tayari leo wameanza kutuma meseji kwa wazazi wakihamasisha tulipe ada huku wakitoa onyo kali kwa wasiolipa na walio na madeni hata kama ni 10k kwamba hawatawapokea watoto wao
Hapa ndio napata swali hili je tutakwenda kuwalipa ada ya mwaka mzima wakati shule itakuwa imefungwa kwa zaidi ya miezi mitatu?
Ikumbukwe pia kuna baadhi ya shule hulipa ada kwa awamu
Awamu ya kwanza January to March, March to June, June to September, Sept to December
Je, ni haki ikitokea tudaiwe tulipe kwa mwaka mzika wakati wao hawajafundisha kwa muda huo pia hawajawalipa walimu mishahara yao kwa kipindi chote hiki cha corona.
Wadau tuwekane sawa hapa, pia tukumbuke kufanya maandalizi ya kutunza pesa kwaajili ya ada hapo shule zitakapofunguliwa.