Je, shule zikifunguliwa, wazazi tunasomesha watoto private tutalipa ada ya mwaka mzima?

Je, shule zikifunguliwa, wazazi tunasomesha watoto private tutalipa ada ya mwaka mzima?

Huyo alipata wapi mamlaka ya kuniita mimi mjinga?
Akutukanaye hakuchagulii tusi, kalianzisha mwenyewe
Alikuita wewe mjinga lakini na hakumuita mama yako mjinga. Ungemrudishia mwenyewe.

Kweli huoni tatizo hadi sasa kumtukana mama wa watu Chifyono ?
 
Ada ni ya mwaka, kukuwekea malipo kwa awamu ni kukupunguzia mzigo wa kulipa ada ya mwaka mzima kwa wakati mmoja!
Hilo halipo Mkuu, Kama ni hivyo mbona unapomhamisha Mtoto muhula wa mwisho haulipi? Maaana yake ule muhula hutoi Huduma, hapa lazima kutatokea mjadala maana wewe mwenye shule ukilazimisha utaumia waweza kushtakiwa na dhahili ukishtakiwa huwezi kushinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aanzishe uzi wake ndio atukane watu
sio uzi wa maana ndio alete utoto wake
Alikuita wewe mjinga lakini na hakumuita mama yako mjinga. Ungemrudishia mwenyewe.

Kweli huoni tatizo hadi sasa kumtukana mama wa watu Chifyono ?
 
Hawa
Mjinga ni mama yako!
Mume wa dada yako anakupa jeuri

Wewe huna jukumu lolote zaidi ya kufunua hotpot tu, issue za ada si unalipiwa au unasoma kayumba?
Hawa wamezoea kula na kulala bure kwa shemeji zao bila ya kujua adha wanazopata dada zao usiku manake wanaume tunatofautiana mikuyenge wengine tumebarikiwa aise
 
Back
Top Bottom