Ni kweli lakini tunalipa kulingana na awamuLakini kumbuka likizo ya mwezi wa sita haitakuwepo,
wa tisa vile vile ya December wanaweza wakaimega, ya mwezi wa nne nayo ilifunikwa ndani ya hii.
Ukiunganisha hizo waweza upate Miezi mi 3,
Mpaka sasa watoto wamekaa nyumbani miezi miwili na kidogo, tusema watakaa tena mwezi,
Maana kuna uwezekano hawa wengine wakarudi shule baada ya Fm6 kumaliza mitihani yao ambapo ni ter 16 june, ikatokea hawa wengine wakafungua 17, basi ni miezi mi 3,
kwaio ni mule mulee.
Ni kweli lakini tunalipa kulingana na awamu
kwanionavyo awamu ya march to june inatakiwa ifutike automatic
Mjinga ni mama yako!Yaani hakuna swali la kijinga kama hili!!
Kwahiyo unataka ulipe ada kwa muda gani? na Mwanao atakuwa amesoma kidato/darasa hilo?
Kama umekula ada ya mwanao anza kujichanga mzee baba
Vip kuhusu chakula cha muda wote huo? maana chakula hujumlishwa kwenye ada1. Kama "academic year " itaandaliwa na kuonesha kufikia December mitaala itakuwa imeisha, maana yake utapaswa kukamilisha ada ya mwaka mzima kwani kuna nguvu itatumika kuendana na calendar mpya ya masomo.
2. Kama mamlaka zitaamua mwaka wa masomo ubadilike na uishe (mfano) march mwakani kwa ajili ya kufidia muda uliopotea, hapa ni kwamba utalipa kama mlivyokubaliana na mtoto wako kapata huduma stahiki.
Sioni hoja yoyote itayofanya wazazi wagome kulipa ada Kwani huduma itakuwa imerejea kama mwanzo na namna mbalimbali za kufidia maudhui waliyokosa wanafunzi. Vinginevyo wakubaliane na wenye shule maana hili ni janga na limeathiri uchumi wa wengi.....
Zaidi ya hapo ni kusubiri muongozo kutoka mamlaka husika zitavyoamua kwa jinsi itavyowapendeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip kuhusu chakula cha muda wote huo? maana chakula hujumlishwa kwenye ada
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano mtu umelipa ada kuanzia january mpaka june, sasa ikifungia july inatakiwa uende na ada ya july??
Sent using Jamii Forums mobile app