Je, shule zikifunguliwa, wazazi tunasomesha watoto private tutalipa ada ya mwaka mzima?

Kwani ulikua hujalia ya first term? Nadhani tutatakiwa kulipa for teh remain period
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazo zuri, tuwangojee tuone swaga zao. Shida yake wanaukame wa hela hatr maamuzi yatakayo toka yatatofautiana shule moja na nyingine shida hawajuagi kama biashara zimeyumba kwa wote.
Hapa wangefanya ada za march to june zingehesabiwa kuwa ni july to sept kwa ambao walilipa kisha iwapo walimu wakiona kuna haja ya kufidia muda ndo wangeandaa crash programme kisha wazazi watachangia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjinga ni mama yako!
Mume wa dada yako anakupa jeuri

Wewe huna jukumu lolote zaidi ya kufunua hotpot tu, issue za ada si unalipiwa au unasoma kayumba?
Mama yake ameingiaje hapa mkuu. Hukuwa na haja kumtukana huyu mama, huko aliko maskini wa Mungu hata haujui huu ubishi wenu, kwanini unamuita mjinga mama WA watu. Kama umedhamiria kutukana si umtukane huyo mnaebishana nae mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utoto tu mkuu

Hapa JF pamejaa watoto mno, huyo nae eti anajinasibu kusomesha

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah....atakuwa anasomesha naye...usishangae...Mimi namsomesha mjukuu wangu...kuna group la WhatsApp la wazazi/walezi nimeungwa...yanayoandikwa humo ni maajabu matupu..unaweza hata kujiuliza hawa wazazi walipataje watoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Reactions: Pep
Huyo alipata wapi mamlaka ya kuniita mimi mjinga?
Akutukanaye hakuchagulii tusi, kalianzisha mwenyewe
 
Ada maana yake ni kwa ajili ya masomo ya mwaka au academic year ambayo maana yake ni kumaliza muhtasari wa masomo yote. Ambayo kwa mwaka huu inaweza sogezwa mpaka January au February.


Lipa ada acha kukwepa majuiumu yako.
Huo muhtasari wa masomo ndiyo uwa ukoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…