Je, siku ya kwanza kutongoza/kutongozwa ilikuwaje?

Mimi nilikuwa natambaa vzr sn kwenye mistari,,
Mfano nakupenda sana,,
Nikinywa chai nakuona kwenye kisahani..
Nikinywa maji nakuona kwenye glass.
Usiku silali nakuwaza wewe,,
Nilikuwa mkali sn ktk uandishi wa barua,,tatizo demu akiiabuka gheto pakuanzia sijuwi..
Basi demu atakaa geto ,,,hata siku nzima,,Mara nimeweka cassets za Michael Jackson,,Mara nimeweka Music wa loketo,,hadi jua linazama kuanzisha mgegedo siwezi,,domo zege ,,limi zito kilo kumi..
Kweli maisha yanakwenda kwa kasi..
Now mwanamke akinionyesha jino tu ,,sehemu zake siri zipo mashakani
 
Daaah sijawah up to now naogopa kutongoza ....ngoja nitafute pesa
Utakwama Sana kitaalamu chagua pisi mbili moja nyeupe nyengine nyeusi ruka nao kwanza uangalie rangi gani wanavutiwa na wewe alafu anza kupita nao
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2960] elite killer
 
Nakumbuka niliandika barua nikaiweka kwenye begi lake, nikaishia kupigwa kibuti asee. Ndo maana sipendi mademu mpaka saivi nimeishiwaga confidence ya kutongoza.
😂😂😂 Mkuu usichoke hiyo ilikuwa tongoza ya kitoto , sasaivi itakuwa ushakuwa mkubwa madem hawa ni warahic mno piga voko utapata wengi sana
 
bana ee mm nakumbuka kulikuwa na dada alikuwa anaitwa Hamisa..form 2 shule 1 old mosh kilimanjaro nilikuwa nampenda sana lkn kumtongoza siwez..nikaenda kwenye dawat lake nikaandika"hamisa nakupenda sana basi tu nashindwa kukuambia"..bac kesho yake asubuh dem akasoma ile meseji..akaja mbele ya darasa akauliza n nan kaandika ile meseji..darasa karibia lote kicheko

Basi siku 1 nikamwambia jamaa angu mmoja kuwa namwelewa sana yule demu..jamaa si akaenda kuwaambia washkaj..bac washkaj wakamfata dem wakampanga then wakaja nae kwenye dawati langu..wakamkalisha..then wakazunguka duara wanampamp mtoto anielewe..sasa dem akasema"et simba mteme kwel unanipenda?"...aisee nilitoka nduki brek ya kwanza choon presha juu..yan nikikumbukaga kile kituko huwa nacheka sana
 
Nilitongoza demu baada ya mda mrefu kula sambusa zangu shuleni jinga lile likaja kunikataa kumbe analiwa na jamaa yangu mjinga mjinga tu alaf nashangaa mpka leo bado ananitafuta
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🤣🤣🤣🤣 "nilitoka nduki break ya kwanza chooni" mkuu umeniacha hoi xana
 
Kudadadeki wallahi
 
n
Ukute ulikimbia mkuu🤣🤣🤣
 
Nilitongoza demu baada ya mda mrefu kula sambusa zangu shuleni jinga lile likaja kunikataa kumbe analiwa na jamaa yangu mjinga mjinga tu alaf nashangaa mpka leo bado ananitafuta
Mzee umemkataa sababu anakufilisi sambusa zako
 
Unge mshushia tenzi za rohoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…