Je, sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tupeleke wapi kura zetu 2025?

2015 ilikuwa mara yangu ya kwanza na ya mwisho kupiga kura. Nilimpa JPM

Huwezi kuwa timamu wa akili ukapiga kura chini ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi iliyopo chini ya ccm, huko wilayani wapo wakurugenzi(wateule wa raisi ambaye wakati huo ni mgombea)
Kwani kipindi unapiga na kumpa JPM ulikuwa t taahira? Maana Tume ni Ile Ile ya ccm.
 
We nae ndezi tu usiyejielewa. Times change au hujui hilo? Ushasikia "mara ya kwanza", toa utaahira wako hapa.
Mbona una hasira kama hujala? Katafute pesa ule kwanza ndio uje jukwaani
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?

Pelekeni Chato.
 
Tanzania kuna chama kimoja tuu hadi sasa
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI CCM
Peleka kura yako huko
 
Tunasubiri kwa hamu kuanzishwa kwa UMOJA PARTY.
 
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Mpigieni mzee Halima na kundi lake pamoja na Nduguyai.
 
Mkuu, kama vile ambavyo JPM alihujumu chaguzi za 2019 na 2020 kwa kutumia tume na vyombo vya dola, basi ndivyo ambavyo wenzako nao wanapiga hesabu za namna hiyo kuelekea chaguzi za 2024 na 2025.
CCM hawana uzalendo na hawakubaliani na falsafa za hayati JPM .

CHADEMA hawana uzalendo ni wachumia Tumbo na hawafai hata kuongoza mtaa .

Je sisi mamilioni ya wafuasi wa mzalendo JPM 2025 tuwe upande UPI ? ,je tuanzishe Chama ?
Sanduku la kura halina athari yoyote ile katika chaguzi hasa ule wa uraisi. Basi mpige kura ama msipige, kwa katiba hii tuliyokuwa nayo, msiyemtaka ndani ya chama chenu utambue basi ndiye mpaka 2030..
 
Siku hizi hata kitambulisho cha kura hakina maana kuna NIDA. Mtu mjinga tu ndio ataweza kusimama kwenye mstari wa kura eti anachagua kiongozi.
Yn mm nataka kitambulisho tuu, ila huo upumbavu mwngn siwezi kuufanya. Yn ety naamka asubuhi ety naenda kupiga kura πŸ˜‚πŸ˜‚ labla waniloge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…