Je, supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya Mbagala ina usalama kiafya?

Ushawahi kunywa na ukapata shida yeyote?
 
Hivi haya makongoro na mikia si tunakula na ngozi pia?
Kuna wanaokula utumbo wa nguruwe, na wa kuku broiler,
Mjini hakitupwi kitu, pia tumbo halioneshi umekula nini, aliekula biriani na aliekula magimbi hawezi kuwatambua
Katika vyakula visivyo na hadhi lakini ninavipenda sana ni miguu ya kuku broiller mkuu.

Starehe yake ni kama unapiga mswaki kwa chumvi.

Naweza maliza sinia zima muuza asipowahi kuondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…