Je, supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya Mbagala ina usalama kiafya?

Yote hiyo ni dalili za umaskini uliotopea! Dar watu wanakula mpaka mavi ya kuku nasikia siku hizi kwenye kuku hakuna kinachotupwa! Wakati sisi tunakua mama alitufundisha kukatakata kuku mapafu, utumbo, bandama vyote tulikuwa tunatupa! Sasa nyie watu wa Dar mnanishangaza sana vyote hivyo siku hizi mnakula!
 
Ila Dar ni pagumu Sana. Usiwaone watu wanakuwa weupe Ni kunywa maji mengi
tu. Ila Kwa msosi wengi ni mlo mmoja
 
utawatambua kwa ngozi zao tu huwezi ukala magimbi ukatamba mjini
Ukiingia Serena hotel ukioda magimbi Dagaa wenyewe weusi, u
 
Kuna mahali uko mbishe zako muda wa kupika au kupikiwa uko wapi?
Inabidi ule nje tu. Ndio maana nimesema vyakula vya nje havina afya kwasababu kila mlaji huwa na maradhi yake. Sasa ana presha chumvi nyingi maradhi hayo.
 
yote hayana tofauti wote mnakula marehem kuku 🤣 au maiti ya kuku😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…