Je, supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya Mbagala ina usalama kiafya?

Samia apewe pongezi kwa kutuwezesha watz kuachana na steak na kuanza kula supu ya ngozi na makwasukwasu.... n sag..ji la taifa lijenge sanamu
 
Inawekana sababu ikawa umaskini, lakini tujiulize, Wachina ni maskini, maana wao
Mbwa aliwa sawasawa, nyoka aina ya kifutu hapishwi, kwa Wenyeji wa Zanzibar, ni mashahidi, kipindi fulani Walikua wanunua paka kwa ajiri ya kufanya kitoeo.

Kule Singida walianzisha kiwanda kilichokua kinasindika soseji za punda.
Tanzania hatuli paka, mbwa, na nyoka, ispokua miguu na ngozi ya ng'ombe mnyama anaeliwa Duniani kote, na ukija kwetu, tunang'ombe wengi, ila tunakula damu yake, na mavi tunatengenezea kitu kinaitwa kichuri.
 
Tunamshukuru mama kutuletea supu ya ngozi ya ng'ombe, #mi5 tena
 
Tofautisha yote hayo na hiki kinachotokea sasa hivi! Utamaduni wa Mtanzania tangu kale hali ngozi ya ng'ombe kwa nini iwe sasa hivi?
 
Supu ya ngozi ya ng'ombe nilianza kuiona Makunguru, Mwanjelwa Mbeya 1990, lakini kule Ni ngozi iliyokauka yaani inaweza kua na mwaka. Kuna jina lake kimenitoka.
Kumbe huu ubunifu umefika Mbagala!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…