Je, taarifa ya ndege ya Air Tanzania kuanguka ziwani Victoria ni ya kweli?

Hizi ndege za magufuli zina kasoro nyingi sana nadhani hii ajali iwe ni alarm kwa mamlaka husika kuzifanyia uchunguzi hizi korokoro halafu kwa nini ile ya chief hiyanga haianguki
Unaweza kuainisha hizo kasoro?
 
Hizi ndege za magufuli zina kasoro nyingi sana nadhani hii ajali iwe ni alarm kwa mamlaka husika kuzifanyia uchunguzi hizi korokoro halafu kwa nini ile ya chief hiyanga haianguki
Ujuaji mwingi.
Umekunywa chai kweli?
 
Hii inawahusu watu wa DSM na Zanzibat tu. Mikoa mingine vipi?
 
Najiandaa kwenda airport Dar kumpokea mgeni wangu napigiwa simu sasa hivi ndege iliyokuwa iwalete Dar imeanguka ziwa Victoria, uokowaji unaendelea.

Mwenye taarifa zaidi tujurishane maana Jiji zima la Dar na Zanzibar halina umeme.

Ni kweli dar hakuna umeme
 
Daaaah naendelea kuomba sana hiii taarifa iwe tetesi na kamwe isije kuwa tukio la kweli. Naombea Heri Watanzania wenzangu abiria wa Ndege inayosemekana.
Nimemcheki jamaa yangu wa mwanza anadai hajasikia hizo taarifa

Na Mwanza umeme upo kwa upande wao anadai wanapata mgao
 
Daaaah naendelea kuomba sana hiii taarifa iwe tetesi na kamwe isije kuwa tukio la kweli. Naombea Heri Watanzania wenzangu abiria wa Ndege inayosemekana.
Mpaka sasa naona bado haijafutwa.
 
Mwanzo nilijua umeme ni huku mtaani tu, daah na kuhusu hiyo ndege naona kama kuna haja ya kuweka maboya (life jacket) incase ikianguka sehemu za majini itasaidia kunusuru uhai wa abiria
 
2019 nilsafiri na ndege ya ATCL ilipofika Lake Victoria nilihofu sana haswa wakati inatua Mwanza.

Hofu yangu ilijengeka Kwenye msingi wa historia ya ununuzi wa hizi ndege na uzoefu wa ndege zenyewe.

Mungu awaponye tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…