Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
-
- #81
Mrejesho kuhusu katizo la Umeme.Mkuu leta uthibitisho umeme kukatiaka sio habari
Mwanzo nilijua umeme ni huku mtaani tu, daah na kuhusu hiyo ndege naona kama kuna haja ya kuweka maboya (life jacket) incase ikianguka sehemu za majini itasaidia kunusuru uhai wa abiria
Nakubaliana na wewe moja kwa moja. Something is horrifically wrong with this country.Ni wazi nchi imewashinda hawa viumbe.
Mkuu unafikiri ndege ikiangukia ziwani ama baharini itaelelea kama meli.Mwanzo nilijua umeme ni huku mtaani tu, daah na kuhusu hiyo ndege naona kama kuna haja ya kuweka maboya (life jacket) incase ikianguka sehemu za majini itasaidia kunusuru uhai wa abiria
Kuwepo kwako duniani ni matumizi mabaya ya manii walahiLisu na Chadema watashangilia sana maana ndiyo raha yao ndege za ATCL kupata matatizo
Amina.... na iwe hvooo coz halichagui wa kuchinja, likianzia na mama yako itakuwa poa sana😂Kwa huu uhuni wa kubambikia watu vyesi hakuna Mungu wa kusikiliza kilio chenu, halafu bado mnashupaza shingo kwa kuleta vitu mtumba bado treni la SGR litachinja mpaka akili ziwakae sawa.
Wapi huko?Huku kwetu upo
Vyovyote vile , hawajali MaCCM na hawachelewi kufanya propaganda kwenye dhiki za watu.Hakuna ajali, bali yalifanyika mazoezi ya utayari Uwanja wa ndege Bukoba.
Najiandaa kwenda airport Dar kumpokea mgeni wangu napigiwa simu sasa hivi ndege iliyokuwa iwalete Dar imeanguka ziwa Victoria, uokowaji unaendelea.
Mwenye taarifa zaidi tujurishane maana Jiji zima la Dar na Zanzibar halina umeme.
=====
UPDATE ;
======
Hakuna ajali, bali yalifanyika mazoezi ya utayari Uwanja wa ndege Bukoba.
sio sawa kabisa, kwanza huyo mtoa UZI haja clarify ni ndege aina gani ya ATCL , isitoshe ndege hizi za ATCL ni za kisasa kabisaa mfano izi A2202019 nilsafiri na ndege ya ATCL ilipofika Lake Victoria nilihofu sana haswa wakati inatua Mwanza.
Hofu yangu ilijengeka Kwenye msingi wa historia ya ununuzi wa hizi ndege na uzoefu wa ndege zenyewe.
Mungu awaponye tu
Harika haimbwae mtru wangu..😂😂Moshi hapa umeme pia tehena
Imagine taarifa sensitive kama hii haina uhakika wanaicha tu!mods mmelalal sana siku hizi
bahati mbaya maeneo mengine hakuna umeme, watu wanasambaza taarifa & hofu huku hakuna wa kuverify!Imagine taarifa sensitive kama hii haina uhakika wanaicha tu!
sijajua kwa nini inakuwa hiviImagine taarifa sensitive kama hii haina uhakika wanaicha tu!