PSRS kuweni wazalendo wa kweli,Utumishi bado wanajitaidi sana ata ikitokea kujuana inakuwa si zaidi ya mashirika kuajiri yenyewe.. hayo mashirika kuwapa field na interns watu ni kwa kujuana itakuwa kuajiri wenyewe.. ingawa kama wakiajiri wenyewe ila kwa uangalizi wa vyombo vya serikali katika mchakato wote itakuwa vizuri.
Jk alikuwa na kipaji Cha uongozi alihakikisha Wananchi wanakuwa na maisha mazuri yenye furaha na matumaini , hakuwa na kiburi kama viongozi tunao waona SaSa ivi wakipewa madaraka wanavyotujibu vibaya.Kutokana na PSRS kushindwa kufanya kazi kwa ukweli, welidi, ubunifu, hivi vitendo vimepelekea kuwa na shutuma nyingi juu ya utendaji wa hii TAASISI.
Na hivyo wadau tukamkumbuka bingwa wa diplomasia jk kipindi Cha uongozi wake jinsi michakato ya ajira ulivyokuwa inafanyika, watu walikuwa wanapata ajira mapema, na wengine kubadilisha ajira kwenye taasisi tofauti ndani ya mwaka mmoja TU Yan,
So tunaomba maoni yenu Ili yawafikie wahusika
SWALI MTAMBUKA
Je Taasisi na mashirika wafanye saili kama kipindi Cha jk ?
PSRS munaiwazia sana TRA kwani Kuna nn hapoMwambie mjomba wako pale TRA kuwa mambo yamekua magumu, saili zote lazima zipite utumishi.
Jifue ukagombanie ajira na wenzio utumishi, hatutaki watumishi vilaza kwenye mashirika yetu kisa tu wana connection
Sawa walaHapana
Unafanya interview 2021 mpaka 2023 hakuna majibu ya kueleweka , nabado 2023 unaendelea Tena Kufanya interview wakati interview za nyuma bado hujajibiwa.PSRS kuweni wazalendo wa kweli,
Vijana wanapata tabu sana kisa nyie
Watu wanasema fisadi, wakati ajira zilikuwa za kumwaga burebure., Ona wasomi wanavyo tuchimbia mitaro Sasa hivi.Jk alikuwa na kipaji Cha uongozi alihakikisha Wananchi wanakuwa na maisha mazuri yenye furaha na matumaini , hakuwa na kiburi kama viongozi tunao waona SaSa ivi wakipewa madaraka wanavyotujibu vibaya.
Alihakikisha vijana wanapata ajira pindi wamalizapo masomo Yao, Tena kwa wakati , NGOs zilikuwa za kumwaga , nchi ilifunguka haswa, pesa zilikuwa nyingi kitaa watu tulifurahia maisha , ila SS imebaki story TU.
Jk kipindi Chake watu walikuwa wanabadilisha asali watakavyo, unatoka kwenye asali ya nyuki wakubwa unaenda kwenye asali ya nyuki wadogo, SS ivi ata asali ya kijiko hakuna , ikibahatika unapewa kombe la maji baridi.
Walimu walikuwa wakiji upgrade Kimasomo SS ivi nikama wamepigwa stop Kiana Yan.
Jk mungu akupe umri mrefu zaidi, bado tuna vitu vingi sana vya kujifunza kutoka kwako
View attachment 2581135
Wana muita fisadi wakati watoto wao walipata ajira pasipo bureaucracy ya hovyo iliyoko ss na walii maisha mazuri , SS yule amabaye alikuwa akipambana na mafisadi aliwasaidia nn watoto wenu zaidi ya kufanya wazeekee nyumbanWatu wanasema fisadi, wakati ajira zilikuwa za kumwaga burebure., Ona wasomi wanavyo tuchimbia mitaro Sasa hivi.
Sipo PSRS ni mtoto wa masikini niliyepata ajira kupitia PSRS.. kama kuna udhaifu watajirekebisha. Ila kwa maono 30% wanaolalamikia mchakato wa PSRS ni wanaotaka connections , na PSRS wameziba , angalia ajira za juzi watu wengi wamepata.. mchakato ni wa haki ila kama kuna mapungufu endelea kuwapa maoni watafanyia kazi.PSRS kuweni wazalendo wa kweli,
Vijana wanapata tabu sana kisa nyie
Umeongea ukweli mtupu.. watu wanapofeli sahili huwa wanaanza kuponda .. inabidi wajitaidi kwenye sahiliMwambie mjomba wako pale TRA kuwa mambo yamekua magumu, saili zote lazima zipite utumishi.
Jifue ukagombanie ajira na wenzio utumishi, hatutaki watumishi vilaza kwenye mashirika yetu kisa tu wana connection
Kwa upande wa ajira za walimu huyu Raisi alijitaidi sana. Wahitimu wakimaliza walikuwa wanapangiwa vitu.. pongezi sana kwake.Jk alikuwa na kipaji Cha uongozi alihakikisha Wananchi wanakuwa na maisha mazuri yenye furaha na matumaini , hakuwa na kiburi kama viongozi tunao waona SaSa ivi wakipewa madaraka wanavyotujibu vibaya.
Alihakikisha vijana wanapata ajira pindi wamalizapo masomo Yao, Tena kwa wakati , NGOs zilikuwa za kumwaga , nchi ilifunguka haswa, pesa zilikuwa nyingi kitaa watu tulifurahia maisha , ila SS imebaki story TU.
Jk kipindi Chake watu walikuwa wanabadilisha asali watakavyo, unatoka kwenye asali ya nyuki wakubwa unaenda kwenye asali ya nyuki wadogo, SS ivi ata asali ya kijiko hakuna , ikibahatika unapewa kombe la maji baridi.
Walimu walikuwa wakiji upgrade Kimasomo SS ivi nikama wamepigwa stop Kiana Yan.
Jk mungu akupe umri mrefu zaidi, bado tuna vitu vingi sana vya kujifunza kutoka kwako
View attachment 2581135
Pia kuwepo kwa Elimu bure kumesababisha Serikali ikose pesa ya kuajili walimu wapya ,Kwa upande wa ajira za walimu huyu Raisi alijitaidi sana. Wahitimu wakimaliza walikuwa wanapangiwa vitu.. pongezi sana kwake.
Umeziona post za udsm zilizotoka juzi, nusu ya zile post ni re advatise, PSRS wakiwapelekea udsm watu wasio kidhi vigezo,Sipo PSRS ni mtoto wa masikini niliyepata ajira kupitia PSRS.. kama kuna udhaifu watajirekebisha. Ila kwa maono 30% wanaolalamikia mchakato wa PSRS ni wanaotaka connections , na PSRS wameziba , angalia ajira za juzi watu wengi wamepata.. mchakato ni wa haki ila kama kuna mapungufu endelea kuwapa maoni watafanyia kazi.