Sipo PSRS ni mtoto wa masikini niliyepata ajira kupitia PSRS.. kama kuna udhaifu watajirekebisha. Ila kwa maono 30% wanaolalamikia mchakato wa PSRS ni wanaotaka connections , na PSRS wameziba , angalia ajira za juzi watu wengi wamepata.. mchakato ni wa haki ila kama kuna mapungufu endelea kuwapa maoni watafanyia kazi.
Umeziona post za udsm zilizotoka juzi, nusu ya zile post ni re advatise, PSRS waliwapelekea udsm watu wasio kidhi vigezo,
Kuna maswali mengi ya kujiuliza hapa,👆
Kufanya interview pekee na kufaulu sio kipimo Cha 💯 kusema kwamba huyu mtu ana fiti kitengo fulan, Bali Kuna vigezo vingine kama nidhamu, kujituma kufanya kazi kwa bidii, kuwa mbunifu , kuweza kutoa maamuzi ya haraka na Kwa usahihi, kujiamini,.etc
Sasa hivi vitu Huwezi kuvikuta kwenye panels,labda kama mtu alikuwa anafanya internship, hii inakuwa rahisi sana Kwa taasisi kuamua kumuajiri Moja Kwa Moja au kumuacha Kwa sababu criteria zote wanazozihitaji kama taasisi Kwa uyo mtu wanazifahamu vizuri, kuliko MTU afanyie interview na PSRS alufa apelekwe kwenye taasisi kisa kafaulu interview, taasisi nyingi huwa hawakubali Kwa sababu Wana utaratibu wao wa kufanya kazi, huwa wanaenda kujua tabia za wahitimu kwanza kabla hawaja waajiri Moja Kwa Moja,
Labda haya Mambo yakupeleka watu waliofanya interview PSRS yafanyike huko halmashauri, Kwa sababu huku hakuitaji ubunifu Sanaa, atakama umefoji vyeti we twende tuu
SS inategemea unakuta Kuna panels Kama tatu hivi ,1 ndio Iko poa hizo nyingine ni zamoto balaa, na placement zikitoka Ile panel 1 ndio inatoa watu wengi.
Kuna mengi sana humu kwenye interview panels yanatokea.
Nainategemea ww mtainiwa na wao wakandaji wameamkaje siku hiyo Kwa kweli Hali n mbaya sana.
Kwahiyo kufaulu interview PSRS Sio kigezo pekee kwamba unafit kwenye kitengo Fulani.
Kuna haja ya kuwaangalia wanazofanya internship kwenye taasisi na mashirika , walimu, wahudumu wa afya kupewa kipaumbele zaidi