Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
- Thread starter
- #61
SS wewe apo unaje, kama vyuo vikuu wangefanya wenyewe saili haya matatizo yasingetokea.Unajua watu wasipokizi vigezo kwenye Oral/Maombi ya kazi Tangazo hutangazwa Tena.
Hasa Ajira za Vyuo vikuu,kigezo masters na masters zenyewe zinakuwa chache Sasa unataka PSRS wawatoe wapi hao watu????Unaporudia kutangaza post Ina maana unategemea labda Kwa wakati huu unaweza kupata watu wa kuweza kuwaajiri...
Tumia Akili ya kawaida tu Kama kijana Msomi.
Umuhimu wa PSRS uko wapi SS , zaidi TU munapoteza rasilimali fedha na muda