Je, Taasisi na Mashirika wafanye saili kama kipindi cha Kikwete?

Je, Taasisi na Mashirika yafanye saili kama kipindi cha Kikwete?

  • Ndiyo

    Votes: 29 49.2%
  • Hapana. PSRS iendelee kukanda tu 🤣

    Votes: 30 50.8%

  • Total voters
    59
  • Poll closed .

Blender

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2022
Posts
4,870
Reaction score
8,035
Kutokana na PSRS kushindwa kufanya kazi kwa ukweli, welidi, ubunifu, hivi vitendo vimepelekea kuwa na shutuma nyingi juu ya utendaji wa hii TAASISI.

Na hivyo wadau tukamkumbuka bingwa wa diplomasia jk kipindi Cha uongozi wake jinsi michakato ya ajira ulivyokuwa inafanyika, watu walikuwa wanapata ajira mapema, na wengine kubadilisha ajira kwenye taasisi tofauti ndani ya mwaka mmoja TU Yan,

So tunaomba maoni yenu Ili yawafikie wahusika

SWALI MTAMBUKA
Je Taasisi na mashirika wafanye saili kama kipindi Cha Kikwete?
 
Utumishi bado wanajitaidi sana ata ikitokea kujuana inakuwa si zaidi ya mashirika kuajiri yenyewe.. hayo mashirika kuwapa field na interns watu ni kwa kujuana itakuwa kuajiri wenyewe.. ingawa kama wakiajiri wenyewe ila kwa uangalizi wa vyombo vya serikali katika mchakato wote itakuwa vizuri.
PSRS kuweni wazalendo wa kweli,
Vijana wanapata tabu sana kisa nyie
 
Kutokana na PSRS kushindwa kufanya kazi kwa ukweli, welidi, ubunifu, hivi vitendo vimepelekea kuwa na shutuma nyingi juu ya utendaji wa hii TAASISI.

Na hivyo wadau tukamkumbuka bingwa wa diplomasia jk kipindi Cha uongozi wake jinsi michakato ya ajira ulivyokuwa inafanyika, watu walikuwa wanapata ajira mapema, na wengine kubadilisha ajira kwenye taasisi tofauti ndani ya mwaka mmoja TU Yan,

So tunaomba maoni yenu Ili yawafikie wahusika

SWALI MTAMBUKA
Je Taasisi na mashirika wafanye saili kama kipindi Cha jk ?
Jk alikuwa na kipaji Cha uongozi alihakikisha Wananchi wanakuwa na maisha mazuri yenye furaha na matumaini , hakuwa na kiburi kama viongozi tunao waona SaSa ivi wakipewa madaraka wanavyotujibu vibaya.

Alihakikisha vijana wanapata ajira pindi wamalizapo masomo Yao, Tena kwa wakati , NGOs zilikuwa za kumwaga , nchi ilifunguka haswa, pesa zilikuwa nyingi kitaa watu tulifurahia maisha , ila SS imebaki story TU.

Jk kipindi Chake watu walikuwa wanabadilisha asali watakavyo, unatoka kwenye asali ya nyuki wakubwa unaenda kwenye asali ya nyuki wadogo, SS ivi ata asali ya kijiko hakuna , ikibahatika unapewa kombe la maji baridi.

Walimu walikuwa wakiji upgrade Kimasomo SS ivi nikama wamepigwa stop Kiana Yan.

Jk mungu akupe umri mrefu zaidi, bado tuna vitu vingi sana vya kujifunza kutoka kwako
Screenshot_20230408-175421.jpg
 
Mwambie mjomba wako pale TRA kuwa mambo yamekua magumu, saili zote lazima zipite utumishi.

Jifue ukagombanie ajira na wenzio utumishi, hatutaki watumishi vilaza kwenye mashirika yetu kisa tu wana connection
PSRS munaiwazia sana TRA kwani Kuna nn hapo
 
Sawa wala
PSRS kuweni wazalendo wa kweli,
Vijana wanapata tabu sana kisa nyie
Unafanya interview 2021 mpaka 2023 hakuna majibu ya kueleweka , nabado 2023 unaendelea Tena Kufanya interview wakati interview za nyuma bado hujajibiwa.
Ni nchi gan duniani wanafanya usaili mbaya kabisa kama PSRS?
 
Jk alikuwa na kipaji Cha uongozi alihakikisha Wananchi wanakuwa na maisha mazuri yenye furaha na matumaini , hakuwa na kiburi kama viongozi tunao waona SaSa ivi wakipewa madaraka wanavyotujibu vibaya.

Alihakikisha vijana wanapata ajira pindi wamalizapo masomo Yao, Tena kwa wakati , NGOs zilikuwa za kumwaga , nchi ilifunguka haswa, pesa zilikuwa nyingi kitaa watu tulifurahia maisha , ila SS imebaki story TU.

Jk kipindi Chake watu walikuwa wanabadilisha asali watakavyo, unatoka kwenye asali ya nyuki wakubwa unaenda kwenye asali ya nyuki wadogo, SS ivi ata asali ya kijiko hakuna , ikibahatika unapewa kombe la maji baridi.

Walimu walikuwa wakiji upgrade Kimasomo SS ivi nikama wamepigwa stop Kiana Yan.

Jk mungu akupe umri mrefu zaidi, bado tuna vitu vingi sana vya kujifunza kutoka kwako
View attachment 2581135
Watu wanasema fisadi, wakati ajira zilikuwa za kumwaga burebure., Ona wasomi wanavyo tuchimbia mitaro Sasa hivi.
 
Wana muita fisadi wakati watoto wao walipata ajira pasipo bureaucracy ya hovyo iliyoko ss na walii maisha mazuri , SS yule amabaye alikuwa akipambana na mafisadi aliwasaidia nn watoto wenu zaidi ya kufanya wazeekee nyumban
 
PSRS kuweni wazalendo wa kweli,
Vijana wanapata tabu sana kisa nyie
Sipo PSRS ni mtoto wa masikini niliyepata ajira kupitia PSRS.. kama kuna udhaifu watajirekebisha. Ila kwa maono 30% wanaolalamikia mchakato wa PSRS ni wanaotaka connections , na PSRS wameziba , angalia ajira za juzi watu wengi wamepata.. mchakato ni wa haki ila kama kuna mapungufu endelea kuwapa maoni watafanyia kazi.
 
Mwambie mjomba wako pale TRA kuwa mambo yamekua magumu, saili zote lazima zipite utumishi.

Jifue ukagombanie ajira na wenzio utumishi, hatutaki watumishi vilaza kwenye mashirika yetu kisa tu wana connection
Umeongea ukweli mtupu.. watu wanapofeli sahili huwa wanaanza kuponda .. inabidi wajitaidi kwenye sahili
 
Jk alikuwa na kipaji Cha uongozi alihakikisha Wananchi wanakuwa na maisha mazuri yenye furaha na matumaini , hakuwa na kiburi kama viongozi tunao waona SaSa ivi wakipewa madaraka wanavyotujibu vibaya.

Alihakikisha vijana wanapata ajira pindi wamalizapo masomo Yao, Tena kwa wakati , NGOs zilikuwa za kumwaga , nchi ilifunguka haswa, pesa zilikuwa nyingi kitaa watu tulifurahia maisha , ila SS imebaki story TU.

Jk kipindi Chake watu walikuwa wanabadilisha asali watakavyo, unatoka kwenye asali ya nyuki wakubwa unaenda kwenye asali ya nyuki wadogo, SS ivi ata asali ya kijiko hakuna , ikibahatika unapewa kombe la maji baridi.

Walimu walikuwa wakiji upgrade Kimasomo SS ivi nikama wamepigwa stop Kiana Yan.

Jk mungu akupe umri mrefu zaidi, bado tuna vitu vingi sana vya kujifunza kutoka kwako
View attachment 2581135
Kwa upande wa ajira za walimu huyu Raisi alijitaidi sana. Wahitimu wakimaliza walikuwa wanapangiwa vitu.. pongezi sana kwake.
 
Sipo PSRS ni mtoto wa masikini niliyepata ajira kupitia PSRS.. kama kuna udhaifu watajirekebisha. Ila kwa maono 30% wanaolalamikia mchakato wa PSRS ni wanaotaka connections , na PSRS wameziba , angalia ajira za juzi watu wengi wamepata.. mchakato ni wa haki ila kama kuna mapungufu endelea kuwapa maoni watafanyia kazi.
Umeziona post za udsm zilizotoka juzi, nusu ya zile post ni re advatise, PSRS wakiwapelekea udsm watu wasio kidhi vigezo,

Kuna maswali mengi ya kujiuliza hapa,
Kufanya interview pekee na kufaulu sio kipimo Cha 💯 kusema kwamba huyu mtu ana fiti kitengo fulan, Bali Kuna vigezo vingine kama nidhamu, kujituma kufanya kazi kwa bidii, kuwa mbunifu , kuweza kutoa maamuzi ya haraka na Kwa usahihi, kujiamini,.

Sasa hivi vitu Huwezi kuvikuta kwenye panels,

SS inategemea unakuta Kuna panels Kama tatu hivi ,1 ndio Iko poa hizo nyingine ni zamoto balaa, na placement zikitoka Ile panel 1 ndio inatoa watu wengi.
Kuna mengi sana humu kwenye database interview yanatokea
 
Back
Top Bottom