Je, Taasisi na Mashirika wafanye saili kama kipindi cha Kikwete?

Je, Taasisi na Mashirika yafanye saili kama kipindi cha Kikwete?

  • Ndiyo

    Votes: 29 49.2%
  • Hapana. PSRS iendelee kukanda tu 🀣

    Votes: 30 50.8%

  • Total voters
    59
  • Poll closed .
Apa upo sahihi sikupingi. Ni mambo ya ajabu kabisa ajira za MDAs & LGAs nafasi 1,769 tangu zitangazwe zimetimiza mwaka sasa. huu ni uzembe wa hali ya juu.
Psrs ni wahujumu uchumi
 
Apo ndipo wasiwasi unapotokea Kwa vijana wasaka mirija ya asali, hawezekani majibu ya oral yawen Siri, alafu placement zinachukuwa mwaka mzima,
Alafu et Psrs waseme wanatenda haki kwa watoto wa wakulima masikini πŸ˜‚ wanapata ajira, wanapataje Kwa Hali hii iliyoko ss,
PSRS Kuna udangajifu mkubwa sana unafanywa kwenye taasisi yao
 
Kijana Mjinga sana uyo yani kitendo cha Kuchemka Kupambana na Wenzie PSRS basi analalama Waondolewe judistrication ya Kuajili ili tu Mjomba wake Amshike Mkono
 
Kijana Mjinga sana uyo yani kitendo cha Kuchemka Kupambana na Wenzie PSRS basi analalama Waondolewe judistrication ya Kuajili ili tu Mjomba wake Amshike Mkono
Ah ah nyani haoni kundule
 
Kijana Mjinga sana uyo yani kitendo cha Kuchemka Kupambana na Wenzie PSRS basi analalama Waondolewe judistrication ya Kuajili ili tu Mjomba wake Amshike Mkono
Mbona wale wa TRA mwaka Jana walipita, na mitihan ilivuja balaa, msijifanye nyie ni watenda wema,

Nyie Psrs mnacho jali ni posho TU Yan
 
Hivi zile kazi interview ya LGA na MDA iliyofanyika mwezi wa pili ndiyo haya haya majina wanayotoa au Kuna mengine?? Mbona utumishi hawaeleweki au ndiyo wanawachakachuwa vijana wetu??
Cc Akili 2
 
πŸ™πŸ™
 
Mpaka majeshini, Mara ya mwisho aliajiri wanajeshi madereva la Saba, form fail asali kwa wote , watu walikuwa madereva tax, hiace, Sasa hivi makopro ma mp, jk mwana Sana.
Jk alikuwa na Tunu ya uongozi 🀝, alikuwa anaamini hakuna linaloshindikana kwa njia ya mazungumzo,
 
Umeandika kwa uchungu sana mkuu, Mimi nakuunga mkono 100%
 
Mimi nilikuwa na wazo ndugu zangu,
Hebu tuache kulalamika nyuma ya keyboard na tutafute njia mbadala za kuelezea hili tatizo la michakato kuwa ya muda mrefu maana tunacholalamikia sio uchache wa nafasi ila ni michakato kutokuwa na ukomo,bahati mbaya hata wabunge wetu nao wakati wa kujadiki bajeti walijikita kwa walinu na wataalam wa afya tu as if nchi ina wasomi na wahitaji ajira kwa kada hizo tu!!

Nadhani kuna haja ya kutafuta watu wenye ushawishi waite press na kuiadress hii inshu vizuri ili ieleweke, na press yenyewe waainishe na mifano ya michakato iliyochukua muda mrefu na mingine kuishia hewani bila kurudi na feedback za placement, na watu wa kuweza kuzungumzia hili jambo kwa upana huu ni either mwenyekiti wa vijana BAVICHA AU ACT na tena isiwe humu kwenye mitandao ya kijamii bali iitwe press na hili jambo lisemwe kwa upana wake,
Humu tumeshalalamika sana bahati mbaya kwa utafiti wangu ni kuwa kilio chetu kinaishia kwa wale wale wanaocheleweaha mchakato,basi ni heri waseme watu wote mlifeli au wasiite interview maana ni haki ya mtu kupata matokeo kwa kile alichofanya,sasa hivi kila siku ni mchakato mchakato,hivi kuna mchakato sensitive kama wa uchaguzi??mbona unaisha muda mfupi??lkn huu wa ajira ni kama wa chura napo hadi apigwe teke ndio asogee,watu kila siku wanalalamika wanafata barua na kukuta zina zaidi ya mwezi tangu ziandikwe lkn tukirudi huku kauli ni mchakato.

Hebu tuamke tuone namna iliyo bora ya kufikisha taarifa kwa wahusika wa maamuzi,mtu kama pambalu au nondo wanatakiwa waite press na kuichambua hii kitu kwa upana ieleweke kwa jamii.

Dbaba Martin Maranja Masese
 
Hii imekaa sawa..nadhan tuliokuwa serious tuunde group la WhatsApp kuweza kujadiri kwa ukaribu na umakin..nadhan kuna wengine wana mawazo chanya ila hawana acces ya mdahalo kama huu..ni wazo tuu
 
Hii imekaa sawa..nadhan tuliokuwa serious tuunde group la WhatsApp kuweza kujadiri kwa ukaribu na umakin..nadhan kuna wengine wana mawazo chanya ila hawana acces ya mdahalo kama huu..ni wazo tuu
Ankoli πŸ˜‚ huu mtego unaitwaje?
 
Mwambie mjomba wako pale TRA kuwa mambo yamekua magumu, saili zote lazima zipite utumishi.

Jifue ukagombanie ajira na wenzio utumishi, hatutaki watumishi vilaza kwenye mashirika yetu kisa tu wana connection
Kilaza kwann?
Mbona ame graduate kama we acha dharau bossπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…