nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,602
- 20,181
Umezunguka sana kuwaponda watumishi wa umma lakini huelewi kuwa serikalini kazi nyingi zinafanywa kwa compliance ya either sheria ya bunge na kanuni zake au miongozo na nyaraka mbalimbali kutoka kwa wakubwa juu...Kunahirajika mawazo Mapya na uzoefu mpya
Serikalini wengi kelele tu utasikia toka Miaka hiyo toka enzi za Nyerere tunafanya hivi hivi utaniambia nini
Mfano mzuri ni kitengo cha Passport toka kianzisge enzo Nyerere kuipata lazima ulete barua sijui ya mwaliko 'uthibitisho wa safari nk
Hawajui kuwa Passport inatakiwa hata kufanya mitaani ya nje online na kuombea scholarship nk online
Kuwaambia badilikeni hawasikii ohh kijana utatuambia mini mimi mwaka wa 30 huu anafanya hivi hivi Sehemu kama hizo kuweka mtu wa ndani hapo hapo ni majengo
Uelewa wa private sekta maeneo mengi mkubwa kuliko walioko serikalini
Ofisa biashara wa Serikali unakuta kafanya kazi Miaka 20 kazi yake kusaini leseni za biashara huwezi linganisha na mfanyabiashara aliyeko private sekta.Ukiteua Waziri au katibu mkuu wizara ya biashara kutoka private sekta unakuwa umefanya la maana kuliko kuteua huyo mtia sahihi kwenye leseni kushika hivyo vyeo hajui kitu hata ukimpa ubalozi sijui iwatafute wawekezaji anaanzia wapi kichwani kweupe.Yuko so narrow kichwani
Mabalozi tulionao wengi kichwani kweupe kutarajia sijui watasaidia diplomasia ya uchumi na biashara ni uongo
Teuzi Serikali iangalie na private sekta kuna watu wanajua mavitu hasa kuwazidi hao akina uzoefu Miaka kibao Serikali au taasisi za umma
Ku inject new things vizuri pia kuchukua private sector
Mfano humu tumepiga kelele PayPal iruhusiwe kwa watanzania kupokea pesa serikalini huko hakuna hata mtu anaelewa PayPal ni nini hata huko wizara ya fedha na biashara.Kwa hali hiyo bila kuchukua private sector hatufiki mbali
Hakuna mawazo binafsi serikalini
Hayo ni kwa Bakhresa na Mo huko ambao wakiamua asubuhi wanatoa maelekezo jinsi ya kufanya uhasibu...