Je, Taasisi za Serikali hazina watumishi wenye Sifa hadi Wakurugenzi Wakuu Wateuliwe toka Nje ya Mfumo?

Hoja ya msingi iwe ni raia wenzetu wa Tanzania, pili maarifa, weledi na uwezo kwa ufupi wakidhi sifa na vigezo. Hayo mengine unayoeleza ni ubinafsi na uelewa mdogo.
 
Siyo kweli kuwa watumishi wa serikali hawana uwezo wala ubunifu bali kinachosababisha kushindwa kuonyesha umahiri wao ni siasa na wanasiasa kuingilia utendaji katika serikali na taasisi za umma.

Mfano Magufuli alilazimisha kila taasisi ya umma kutoa gawio kwa serikali huku akijua fika shirika halina faida! Siyo hilo tu bali kulazimishwa kufanya kazi au kuchangia vitu ambavyo haviko katika mpango wa kazi wala bajeti mfano mbio za mwenge, ziara za viongozi, ujenzi wa majengo au viwanja vya michezo enzi hizo, sherehe za kitaifa, kugharimia ziara za viongozi nk. Hii ni mifano michache tu lakini kuna mambo makubwa zaidi ambayo yanaathiri utendaji katika taasisi za umma yakiwemo ajira na muda mrefu ambao viongozi wa taasisi kufanyishwa kazi za kisiasa.

Aidha watumishi wa serikali na taasisi za umma wanafanya kazi chini ya mashinikizo na wanajazwa hofu kubwa kwamba wakishindwa kutoa ushirikiano wataondolewa katika nafasi zao au kufukuzwa kazi.

Kinachotakiwa ni kufanya reforms katika mifumo ya utendaji na uendeshaji wa serikali na taasisi zake.
 
Mfano Magufuli alilazimisha kila taasisi ya umma kutoa gawio kwa serikali huku akijua fika shirika halina faida! zake.
Sasa ndio unaonyesha ujinga wa watumishi wa Serikali

Private sector ukipewa u CEO kampuni ikipata hasara unajiuzulu sababu unaua mtaji wa wanahisa.Private company haiwezi Pata loss halafu wewe CEO upo tu !!

Taasisi imeanzishwa kwa mtaji wa kodi za wananchi wanyonge halafu unapata hasara wafanyakazi mpo tu mishahara mnakula na marupurupu kibao na nyongeza mnadai !! Ujinga mtupu ndio maana Magufuli akasema mnaleta gawio au hamleti? Mpo hapo Kuua mtaji wa walipa kodi? Hamleti fungeni virago mbona walitoa gawio
Taasisi kama hizo zi atakuwa apelekwe mtu toka private sector.
Mama Samia angalia taasisi zote liss making ondoa CEO wote na Management wape chao ajiri wapya toka private sector kuanzia CEO hadi Management


.
 
Ujinga wao uko wapi wakati mwenye mali anataka fedha zake atumie katika matumizi mengine! Halafu ajiuzulu kwani hasara amesababisha yeye? Hata huyo kutoka private sector hatakuwa na jipya kama hali itabaki kama ilivyo!

Unampotosha Samia hawezi kufanikiwa kwa hoja zako!
 
1. Connection
2. CCM
3. Kujipendekeza.
4. Kamlete.
Unakumbuka yule dogo wa degree moja akapewa ukurugenzi TPDC na akatumbuliwa kabla ya kuapishwa? Wakati kuna watu CV zao wanajaza page 20 Ila wako pale mlimani wanakula vumbi.
Vyeo hivi watu wanapeana wakiwa bar sinza Zuhura Yunus anachapisha tu
Huyu anataka muhasibu akawe Engineer ili aangushe majengo. Au mchumi akawe daktari ndio anachomaanisha?
 
1. Connection
2. CCM
3. Kujipendekeza.
4. Kamlete.
Unakumbuka yule dogo wa degree moja akapewa ukurugenzi TPDC na akatumbuliwa kabla ya kuapishwa? Wakati kuna watu CV zao wanajaza page 20 Ila wako pale mlimani wanakula vumbi.
Vyeo hivi watu wanapeana wakiwa bar sinza Zuhura Yunus anachapisha tu
Huyu anataka muhasibu akawe Engineer ili aangushe majengo. Au mchumi akawe daktari ndio anachomaanisha?
 
Hii naunga mkono, watumishi wa umma wengi kama sio wote wamejengewa hofu! Wanaishi kwa kutishwatishwa na wanasiasa pamoja na "mfumo".

Yeyote anayeonekana anamawazo huru au anajiamini anatiwa hofu ili awe mwoga awe mtu wa kupokea maelekezo tu!

Wengi wameisha haribika na kuona hiyo ni kawaida.
 
Serikalini usipofahamika hakuna kupewa nafasi. Hata kitengo ukikisia wizarani basi fuatilia huyo aliyepewa hiyo position lazima atakuwa na uhusiano na kiongozi mkubwa.
Sasa ntakupaje kitengo nyeti kama hicho kama sikufahamu. Pambana ufahamike ili nijue Nampa kazi mtu wa aina gani
 
Ujinga mwingine unauonyesha hapa

Kifupi shirika la kibiashara kupata hasara moja ya shida ni kuvipa hiyo kazi viofisa vya Serikali vijinga havijielewi

Wenye hisa kampuni ya umma ni walipa kodi sio raisi.Ukiona unaburuzwa kuingiza hasara ujiuzulu kulinda hadhi yako kama CEO

Umekaa tu hapo unalipwa mishahara na miposho ya walipa kodi taasisi linaenda kwa hasara upo tu akili kichwani zimo wewe?

Likifa ujue huajiliwi popote ukienda interview hata kwenye kuku short list huwekwi muua mitaji ya wanahisa wewe.Utasema nina uzoefu wa Management ya juu ipi uzoefu wa kuendesha kampuni kwa hasara ? Sifa hiyo?
Anyway sijalidilieni na wewe kidesk officer taasisi za umma tena humu una uelewa mdogo mno.
 
Umenena vyema kabisa..ila habari mbaya ni kwamba ataenda kumezwa na mifumo mibovu ya urasimu kwenye taasisi za serikali..hasa pale wanasiasa wanapo kuwepo na maslahi binafsi katika taasisi husika.

Muda utaongea.

#MaendeleoHayanaChama
 
Umenena vyema kabisa..ila habari mbaya ni kwamba ataenda kumezwa na mifumo mibovu ya urasimu kwenye taasisi za serikali..hasa pale wanasiasa wanapo kuwepo na maslahi binafsi katika taasisi husika.

Muda utaongea.

#MaendeleoHayanaChama
CEO anayejielewa hamezwi iko.mifano kibao kwa Tanzania mmojawapo ni Dr Idris Rashid

Mwingine ni Dr Charles Kimei

Mwingine Ni Mchechu wapo bao huwezi wayumbisha ila hao wa serikalini wakiteuliwa wepesi kuyumba fawaz yumbishwa hata na Kibajaji au msukuma
 
Tangu dikteta afe afya yako ya akili inaimarika.
 
Tatizo kubwa lilopo ni watumishi wenyewe. Hawajiamini, hawatendi kazi kiuweledi, wanapenda kuunda ujamaa yaani mtu akipewa nafasi anajaza jamaa zake hawawezi hata siku.moja kuleta matokeo chanya.

Na waswahili hawapendi kujiendeleza kusoma huwa hakuishi mpaka uwe perfect.

Siasa inaangamiza sana taasisi. Kama kuna.mashinikizo ya kisiasa taasisi haiwezi kuperform vizuri.

Sera ya succession plan at workplace na zinginezo nyingi zinaishia vitabuni mswahili yeye anataka afanye vile anavyojisikia. Mfano EPZA hakuhitajika kanali mstaafu aogoze lakini siasa na ujamaa hususani ukada na system ndio inapelekea kuchagua mtu asiyekidhi vigezo.
 
Kumbe naongea na mpumbavu ambaye haelewi wala hajitambui! Unajifanya kujua kumbe ni mjinga mkubwa! Mbona hujawahi kujiuzulu kazi kulamba matako ya mabwana zako!

Kinachokusumbua ni kunyimwa ulaji uliozoea sasa umebaki kulialia! Chawa mkubwa wee amekufa bwana yako hujui lini utaanua matanga!

Huna weledi wo wote na wala huwezi kufaulu interview yo yote zaidi ya kutegemea kubebwa! Kwa kifupi wewe ni tapeli!

Pumbavu mkubwa wee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…