Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Acha ubaguzi. Tanzania ni ya watu mil 60.
Bro kati ya watumishi laki 5 wanakosa wanaenda private?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro kati ya watumishi laki 5 wanakosa wanaenda private?
Umesema jambo zuriMIMI NASHAURI BADALA YA KUTEUA NAFASI HIZO ZITANGAZWE WATU WENYE SIFA WATAOMBA MCHUJO UTAFANYIKA ATAKAE KUWA NA VIGEZO NDIO ATEULIWE
Hoja ya msingi iwe ni raia wenzetu wa Tanzania, pili maarifa, weledi na uwezo kwa ufupi wakidhi sifa na vigezo. Hayo mengine unayoeleza ni ubinafsi na uelewa mdogo.Thread hii, inatokana na baadhi ya teuzi za wakurugenzi wa TANESCO na MSD kutoka nje ya mfumo. Nina declare interest kwamba sina shida na teuzi ya MSD. Ni mmoja wa colleagues tuliyekuwa tukifanya naye kazi nje ya mfumo. Ninaamini anastahili, na ataweza.
Tatizo linatokea hapa.
1. Hivi inakuwaje nchi yenye watumishi wa serikali zaidi ya 500,000 ikose mtu mmoja wa kuongoza taasisi kama MSD au TANESCO? Je, viongozi wa taasisi ndogo ambao wanaweza pata promotion ya kupewa nafasi kama hizo hawajiwezi? Kama hawajiwezi kuchukua nafasi kama hizo kwanini wasiwapishe watanzania wengine ili kuwaandaa watu wapya kwa nafasi kama hizo?
2. Katika hao watanzania 500,000 walioajiriwa na serikali, hakuna watu ambao mpaka sasa hawajapata nafasi za uongozi na bado wanaweza fanya vizuri? Kwani ili upewe nafasi ya uongozi lazima uoneshe uzoefu wa kuongoza? Watumishi hawa uzoefu waoneshee wapi? Kwani hakuna traits ambazo zinaweza tumika kuibua kiongozi mzuri?
3. Kama huu mfumo wa kuchukua watu toka nje ya mfumo unafaa na vyombo vyetu vya vetting vinaona ni mzuri kwanini huu huu mfumo tusiutumie na kwenye vyombo kama Majeshi ya Ulinzi na Usalama, TISS na PCCB? Kwani huko kuna kitu gani special wanachofanya hadi nafasi zao zilindwe ndani ya mfumo? Mtu akiwa vizuri apate nafasi na kumwingiza kwenye mfumo husika.
Sina shida na wateuliwa, wanastahili, ila ninahisi kuna shida mahala hasa katika kutafuta watumishi wa serikali wenye sifa na kuwafanyia vetting.
Kwanini hawa jamaa wa vetting wasiwe wanaadhibiwa kwa kutofanya vetting nzuri? Yaani katika watumishi laki tano ukose mtu wa kuongoza MSD au TANESCO?
HII NI AJABU.
Siyo kweli kuwa watumishi wa serikali hawana uwezo wala ubunifu bali kinachosababisha kushindwa kuonyesha umahiri wao ni siasa na wanasiasa kuingilia utendaji katika serikali na taasisi za umma.Kifupi kila taasisi ya umma na huko serikalini kila bosi ajitafakari utendaji wake.Na ni vizuri atizame udhaifu hasa unaolalamikiwa na wadau uko eneo lipi afanyie kazi vinginevyo aweza jikuta mtu anatokea private sector kuja kuchukua nafasi yake sio lazima iwe ya juu kabisa yaweza kuwa hata ya middle Management kwenye eneo lionekanalo kuwa critical. Sio vizuri kubweteka na uzoefu ohh nina Miaka 30 nafanya kazi hii hii !!!! Cha ziada nini?
Sasa ndio unaonyesha ujinga wa watumishi wa SerikaliMfano Magufuli alilazimisha kila taasisi ya umma kutoa gawio kwa serikali huku akijua fika shirika halina faida! zake.
Ukanda,udini,ukabila.Vetting imelala kwenye kufahamiana. Hakuna kingine
Ujinga wao uko wapi wakati mwenye mali anataka fedha zake atumie katika matumizi mengine! Halafu ajiuzulu kwani hasara amesababisha yeye? Hata huyo kutoka private sector hatakuwa na jipya kama hali itabaki kama ilivyo!Sasa ndio unaonyesha ujinga wa watumishi wa Serikali
Private sector ukipewa u CEO kampuni ikipata hasara unajiuzulu sababu unaua mtaji wa wanahisa.Private company haiwezi Pata loss halafu wewe CEO upo tu !!
Taasisi imeanzishwa kwa mtaji wa kodi za wananchi wanyonge halafu unapata hasara wafanyakazi mpo tu mishahara mnakula na marupurupu kibao na nyongeza mnadai !! Ujinga mtupu ndio maana Magufuli akasema mnaleta gawio au hamleti? Mpo hapo Kuua mtaji wa walipa kodi? Hamleti fungeni virago mbona walitoa gawio
Taasisi kama hizo zi atakuwa apelekwe mtu toka private sector.
Mama Samia angalia taasisi zote liss making ondoa CEO wote na Management wape chao ajiri wapya toka private sector kuanzia CEO hadi Management
.
Akili za urojoWanasema sababu ni Nyerere na Mkapa
1. ConnectionThread hii, inatokana na baadhi ya teuzi za wakurugenzi wa TANESCO na MSD kutoka nje ya mfumo. Nina declare interest kwamba sina shida na teuzi ya MSD. Ni mmoja wa colleagues tuliyekuwa tukifanya naye kazi nje ya mfumo. Ninaamini anastahili, na ataweza.
Tatizo linatokea hapa.
1. Hivi inakuwaje nchi yenye watumishi wa serikali zaidi ya 500,000 ikose mtu mmoja wa kuongoza taasisi kama MSD au TANESCO? Je, viongozi wa taasisi ndogo ambao wanaweza pata promotion ya kupewa nafasi kama hizo hawajiwezi? Kama hawajiwezi kuchukua nafasi kama hizo kwanini wasiwapishe watanzania wengine ili kuwaandaa watu wapya kwa nafasi kama hizo?
2. Katika hao watanzania 500,000 walioajiriwa na serikali, hakuna watu ambao mpaka sasa hawajapata nafasi za uongozi na bado wanaweza fanya vizuri? Kwani ili upewe nafasi ya uongozi lazima uoneshe uzoefu wa kuongoza? Watumishi hawa uzoefu waoneshee wapi? Kwani hakuna traits ambazo zinaweza tumika kuibua kiongozi mzuri?
3. Kama huu mfumo wa kuchukua watu toka nje ya mfumo unafaa na vyombo vyetu vya vetting vinaona ni mzuri kwanini huu huu mfumo tusiutumie na kwenye vyombo kama Majeshi ya Ulinzi na Usalama, TISS na PCCB? Kwani huko kuna kitu gani special wanachofanya hadi nafasi zao zilindwe ndani ya mfumo? Mtu akiwa vizuri apate nafasi na kumwingiza kwenye mfumo husika.
Sina shida na wateuliwa, wanastahili, ila ninahisi kuna shida mahala hasa katika kutafuta watumishi wa serikali wenye sifa na kuwafanyia vetting.
Kwanini hawa jamaa wa vetting wasiwe wanaadhibiwa kwa kutofanya vetting nzuri? Yaani katika watumishi laki tano ukose mtu wa kuongoza MSD au TANESCO?
HII NI AJABU.
Huyu anataka muhasibu akawe Engineer ili aangushe majengo. Au mchumi akawe daktari ndio anachomaanisha?Mkuu YEHODAYA Umeongea Vema Sana…
Ila Kuna Mahali naomba Ufafanuzi,
Mfano Umesema Mhasibu amekaa Miaka 10Uhasibu sasa unamuhamishia Wapi ili apate Skills Zingine? Huko si watasema Hajasomea Kazi Ile?Say Umemuhamishia Ugavi au HR?
AU Mhandisi amefanya Uhandisi Kama Mkuu wa Idara for 10yrs,Then Unamuhamishia Say Ugavi au Masoko …
Sasa huko Si watasema Hajasomea mambo hayo na Kuanza Ku mu undermine? Kuwa wameletewa Mkuu wa Idara Mhandisi lakini Sio Mtu wa Masoko?
Pia Kumbuka Kuna Scheme of service…Muundo katika Ukuaji ambao Ndio unaeleza Mkuu wa Idara Flani awe na Sifa Zipi…Hili lipo sana Serikalini.
Nini Mawazo yako?

Hii naunga mkono, watumishi wa umma wengi kama sio wote wamejengewa hofu! Wanaishi kwa kutishwatishwa na wanasiasa pamoja na "mfumo".Siyo kweli kuwa watumishi wa serikali hawana uwezo wala ubunifu bali kinachosababisha kushindwa kuonyesha umahiri wao ni siasa na wanasiasa kuingilia utendaji katika serikali na taasisi za umma.
Mfano Magufuli alilazimisha kila taasisi ya umma kutoa gawio kwa serikali huku akijua fika shirika halina faida! Siyo hilo tu bali kulazimishwa kufanya kazi au kuchangia vitu ambavyo haviko katika mpango wa kazi wala bajeti mfano mbio za mwenge, ziara za viongozi, ujenzi wa majengo au viwanja vya michezo enzi hizo, sherehe za kitaifa, kugharimia ziara za viongozi nk. Hii ni mifano michache tu lakini kuna mambo makubwa zaidi ambayo yanaathiri utendaji katika taasisi za umma yakiwemo ajira na muda mrefu ambao viongozi wa taasisi kufanyishwa kazi za kisiasa.
Aidha watumishi wa serikali na taasisi za umma wanafanya kazi chini ya mashinikizo na wanajazwa hofu kubwa kwamba wakishindwa kutoa ushirikiano wataondolewa katika nafasi zao au kufukuzwa kazi.
Kinachotakiwa ni kufanya reforms katika mifumo ya utendaji na uendeshaji wa serikali na taasisi zake.
Sasa ntakupaje kitengo nyeti kama hicho kama sikufahamu. Pambana ufahamike ili nijue Nampa kazi mtu wa aina ganiSerikalini usipofahamika hakuna kupewa nafasi. Hata kitengo ukikisia wizarani basi fuatilia huyo aliyepewa hiyo position lazima atakuwa na uhusiano na kiongozi mkubwa.
Ujinga mwingine unauonyesha hapaUjinga wao uko wapi wakati mwenye mali anataka fedha zake atumie katika matumizi mengine! Halafu ajiuzulu kwani hasara amesababisha yeye? Hata huyo kutoka private sector hatakuwa na jipya kama hali itabaki kama ilivyo!
Unampotosha Samia hawezi kufanikiwa kwa hoja zako!
Umenena vyema kabisa..ila habari mbaya ni kwamba ataenda kumezwa na mifumo mibovu ya urasimu kwenye taasisi za serikali..hasa pale wanasiasa wanapo kuwepo na maslahi binafsi katika taasisi husika.Kunahitajika mawazo Mapya na uzoefu mpya
Serikalini wengi kelele tu utasikia toka Miaka hiyo toka enzi za Nyerere tunafanya hivi hivi utaniambia nini
Mfano mzuri ni kitengo cha Passport toka kianzisge enzo Nyerere kuipata lazima ulete barua sijui ya mwaliko 'uthibitisho wa safari nk
Hawajui kuwa Passport inatakiwa hata kufanya mitaani ya nje online na kuombea scholarship nk online
Kuwaambia badilikeni hawasikii ohh kijana utatuambia mini mimi mwaka wa 30 huu anafanya hivi hivi Sehemu kama hizo kuweka mtu wa ndani hapo hapo ni majengo
Uelewa wa private sekta maeneo mengi mkubwa kuliko walioko serikalini
Ofisa biashara wa Serikali unakuta kafanya kazi Miaka 20 kazi yake kusaini leseni za biashara huwezi linganisha na mfanyabiashara aliyeko private sekta.Ukiteua Waziri au katibu mkuu wizara ya biashara kutoka private sekta unakuwa umefanya la maana kuliko kuteua huyo mtia sahihi kwenye leseni kushika hivyo vyeo hajui kitu hata ukimpa ubalozi sijui iwatafute wawekezaji anaanzia wapi kichwani kweupe.Yuko so narrow kichwani
Mabalozi tulionao wengi kichwani kweupe kutarajia sijui watasaidia diplomasia ya uchumi na biashara ni uongo
Teuzi Serikali iangalie na private sekta kuna watu wanajua mavitu hasa kuwazidi hao akina uzoefu Miaka kibao Serikali au taasisi za umma
Ku inject new things vizuri pia kuchukua private sector
Mfano humu tumepiga kelele PayPal iruhusiwe kwa watanzania kupokea pesa serikalini huko hakuna hata mtu anaelewa PayPal ni nini hata huko wizara ya fedha na biashara.Kwa hali hiyo bila kuchukua private sector hatufiki mbali
CEO anayejielewa hamezwi iko.mifano kibao kwa Tanzania mmojawapo ni Dr Idris RashidUmenena vyema kabisa..ila habari mbaya ni kwamba ataenda kumezwa na mifumo mibovu ya urasimu kwenye taasisi za serikali..hasa pale wanasiasa wanapo kuwepo na maslahi binafsi katika taasisi husika.
Muda utaongea.
#MaendeleoHayanaChama
Tangu dikteta afe afya yako ya akili inaimarika.Kunahitajika mawazo Mapya na uzoefu mpya
Serikalini wengi kelele tu utasikia toka Miaka hiyo toka enzi za Nyerere tunafanya hivi hivi utaniambia nini
Mfano mzuri ni kitengo cha Passport toka kianzisge enzo Nyerere kuipata lazima ulete barua sijui ya mwaliko 'uthibitisho wa safari nk
Hawajui kuwa Passport inatakiwa hata kufanya mitaani ya nje online na kuombea scholarship nk online
Kuwaambia badilikeni hawasikii ohh kijana utatuambia mini mimi mwaka wa 30 huu anafanya hivi hivi Sehemu kama hizo kuweka mtu wa ndani hapo hapo ni majengo
Uelewa wa private sekta maeneo mengi mkubwa kuliko walioko serikalini
Ofisa biashara wa Serikali unakuta kafanya kazi Miaka 20 kazi yake kusaini leseni za biashara huwezi linganisha na mfanyabiashara aliyeko private sekta.Ukiteua Waziri au katibu mkuu wizara ya biashara kutoka private sekta unakuwa umefanya la maana kuliko kuteua huyo mtia sahihi kwenye leseni kushika hivyo vyeo hajui kitu hata ukimpa ubalozi sijui iwatafute wawekezaji anaanzia wapi kichwani kweupe.Yuko so narrow kichwani
Mabalozi tulionao wengi kichwani kweupe kutarajia sijui watasaidia diplomasia ya uchumi na biashara ni uongo
Teuzi Serikali iangalie na private sekta kuna watu wanajua mavitu hasa kuwazidi hao akina uzoefu Miaka kibao Serikali au taasisi za umma
Ku inject new things vizuri pia kuchukua private sector
Mfano humu tumepiga kelele PayPal iruhusiwe kwa watanzania kupokea pesa serikalini huko hakuna hata mtu anaelewa PayPal ni nini hata huko wizara ya fedha na biashara.Kwa hali hiyo bila kuchukua private sector hatufiki mbali
Nakusamehe mambo ya Passport na.ufanyaji kazi kizamani nimeongea toka kipindi cha Magufuli pitia nyuzi zangu ziko kibaoTangu dikteta afe afya yako ya akili inaimarika.
Kumbe naongea na mpumbavu ambaye haelewi wala hajitambui! Unajifanya kujua kumbe ni mjinga mkubwa! Mbona hujawahi kujiuzulu kazi kulamba matako ya mabwana zako!Ujinga mwingine unauonyesha hapa
Kifupi shirika la kibiashara kupata hasara moja ya shida ni kuvipa hiyo kazi viofisa vya Serikali vijinga havijielewi
Wenye hisa kampuni ya umma ni walipa kodi sio raisi.Ukiona unaburuzwa kuingiza hasara ujiuzulu kulinda hadhi yako kama CEO
Umekaa tu hapo unalipwa mishahara na miposho ya walipa kodi taasisi linaenda kwa hasara upo tu akili kichwani zimo wewe?
Likifa ujue huajiliwi popote ukienda interview hata kwenye kuku short list huwekwi muua mitaji ya wanahisa wewe.Utasema nina uzoefu wa Management ya juu ipi uzoefu wa kuendesha kampuni kwa hasara ? Sifa hiyo?
Anyway sijalidilieni na wewe kidesk officer taasisi za umma tena humu una uelewa mdogo mno.