Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Huna akiliUlaya wanamjadili Trump
Ila wakiijadili Bongo basi ni kinafiki tu
Na wakiweka vikwazo watu wataishi tu kama Iran na nchi zingine
Na wa kijijini hataona mabadiliko yoyote
Vikwazo ndio vitawasha umeme wakiachia? Au maji yanapatikana sasa au madawa
Unaongelea European Union hii hapa?Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele.
Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo?
Nchi ambazo ziko tayari kutoa misaada kwa Africa bila masharti ziko tatu sasa hivi Russia,China na UAETutapewa misaada na Urusi
Abdul ataathirika vipi na vikwazo? Au yule mtoto wa Mwigulu wa Feza boys ana athirika vipi?Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele.
Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo?
Masikini watakamuliwa mpaka mkojo mradi barabara zijengwe. Hapa mwenda zake alijitamba sana lakini mbona alikwenda kukopa?Kwani vikwazo vinawaathiri nini viongozi?
Kwani tulushawahi kuwaomba watupe demokrasia hao Jumuiya ya Ulaya?
Kila nchi ina mifumo yake ya utawala .Hakuna nchi duniani huandika barua kwa nchi nyingine au jumuiya nyingine kuwa tunaomba mfumo wenu wa demokrasia
Watanzania ni wanafiki sana, unaweza kupanga mipango ya maandamano na jirani yako, mkiagana akifika chumba kwake anapiga simu polisi kuwataarifu mahali, saa na tarehe.Uko sahihi, lakini tumekuwa misukule kupita kiasi
Hatari snUrusi, China na Korea ya Kim
Mpaka sasa zimetoa ni nini na nini kwa Africa?Nchi ambazo ziko tayari kutoa misaada kwa Africa bila masharti ziko tatu sasa hivi Russia,China na UAE
Wazungu wanazidi kupoteza ushawishi Africa.Hizo nchi tatu zina kasi ya ajabu kuishika Africa
Viwanda viko kibaoMpaka sasa zimetoa ni nini na nini kwa Africa?
Bajeti ya Tanzania inqtegemea wahisani kwa asilimia ngapi?Dunia ya leo ukitegemea vikwazo utadumaa na kufanywa tena mtumwa ndani ya nchi yako ,amka ujiiganie hongela Traole.
Vinazalisha nn wakati hapo ulipo hata ka boxer kako kachafu kanatoka kwao?Viwanda viko kibao
Hamna viwanda vya wazungu
tuusiombe tuchukue hatua za kuwafahamisha the real situation on the groundLabda tuombe Mungu wabunge wa EU waligundue hilo kisha waamue kuwawekea vizuizi binafsi viongozi
Duuh hii hatari sanaKesho wataanza kujadili vikwazo watakavyoiwekea Tanzania. BBC swahili.
Mpakwa mafuta wa Bwana Tundu Lissu wamwachie tu. Hawatashindatuusiombe tuchukue hatua za kuwafahamisha the real situation on the ground
Nani kakwambia iran wanashida mkuu ,achana na habari za mainstream media.Vikwazo vya uchumi uvisikie tu. Nchi zenye utajiri mkubwa wa mafuta kama Iran, zinahaha, sarafu yake ikiwa haina thamani kabisa, wananchi wake wakiishi kwenye umaskini mkubwa, itakuwa Tanzania isiyo na chochote?
Tanazania ni nchi huru inayojitegemea na kujiongoza yenyewe kwa mujibu wa sheria na katiba yake katika nyanja zote za kijamii, kiasiasa, kiuchmi, kitaifa na kimataifa.Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele.
Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo?
Nchi ambazo ziko tayari kutoa misaada kwa Africa bila masharti ziko tatu sasa hivi Russia,China na UAE
Wazungu wanazidi kupoteza ushawishi Africa.Hizo nchi tatu zina kasi ya ajabu kuishika Africa
Sasa kwanini mnashinda Ulaya kuomba misaada hamuendi UAE, China ama Urusi?Viwanda viko kibao
Hamna viwanda vya wazungu