Username 20
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 743
- 1,522
Sawa nakubaliana na wewe nikumbushe sasa wametukopesha au wametupa msaada lini?Hivi unaijua Hispania wewe?
Barcelona tu peke yake wanatuzidi GDP...
- In 2024, Barcelona's Gross Domestic Product (GDP) was 103.589 billion euros.
- Tanzania's GDP is projected to reach 80.43 billion USD by the end of 2024. This is an increase from the 79.87 billion USD estimated for 2024.
The EU countries are:Sawa nakubaliana na wewe nikumbushe sasa wametukopesha au wametupa msaada lini?
Ila kuhusu vikwazo tuombe Mungu wasituwekee. Yaani vinaleta maisha mabovu kupindukia. Niliwahi kuishi Zimbabwe kipindi fulani wakati wa vikwazo, ulikuwa ukimpelekea Mwananchi wa Zimbabwe hata kilo 2 za unga au mchele anakushukuru as if umempa gunia zima la nafaka. Wakuu tusiombee kuwekewa vikwazo maisha yanakuwa magumu mno na uhalifu unaongezeka sana.Kawaulize Zimbabwe, Rais wao alikua anaenda China na Singapore, kwingine Hapana.
Na Nchi ni kama imevamiwa na Wachina kila kitu. Pity
Na madini yetu watayaacha?Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele.
Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo?
Pia soma > Pre GE2025 - Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025
Ili na wakuu wa wilaya na mikoa warejee mapito yake!!!Mkuu Unataka wa nini?