Mchimwachimego
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 358
- 271
Uliambiwa ukiwa muhandisi lazima uajiliwe nenda kafanye kile ulichofundishwa kwa vitendo tengeneza wazo ulifanyie kazi.Muheshimiwa Magufuli Tanzania ya viwanda uliyotuahidi iko wapi, leo kama unataka wahandisi tuliosoma kwa jasho na damu ili tupate ajira kwenye Tanzania yako uliyotuahidi itakua ya viwanda, leo unatwambia tuombe ualimu?. Kweli Magufuli?
Imebidi nicheke tu mkuu, maana inawezekana wewe huishi Tanzania .Uliambiwa ukiwa muhandisi lazima uajiliwe nenda kafanye kile ulichofundishwa kwa vitendo tengeneza wazo ulifanyie kazi.
Namfaham mkuu, najaribu kuwakumbusha LUMUMBA ili waone malaika mkuu alivyo muongo.Usije ukakaa ukajidanganya kumuamini.Amekuwa na ahadi Lukuki za uongo na maneno mengi ya uongo.
Milioni50 kila kijiji?
[emoji3][emoji3][emoji3]Imebidi nicheke tu mkuu, maana inawezekana wewe huishi Tanzania .
Kwanini? Tanzania hakuna fulsa,ngoja nikuambie jambo sisi watanzania hasa wanachuo hatujui misingi ya kufanikiwa tunawaza tu kutumia tulivyoundiwa,mwanachuo akipokea bumu kitu cha kwanza anachokiona cha maana ni flat screen,simu,na vitu vingi vya ovyo ambavyo watu wenye kufikili waliviunda,ukiwa chuo kama MTU mwenye malengo na huna makundi kupitia bumu MTU unatoka kimaisha ukiwa chuoni,watu wanapaswa kuwekeza kwenye kufikili alafu waamishie mwenye vitabu,sio kukalili mwenye vitabu kuamishia mwenye kichwani,waliofanikiwa kubuni na kutengeneza vitu vyote duniani walianzia kufikili na kubuni kwanza kabla ya kuamishia mwenye vitabu.Imebidi nicheke tu mkuu, maana inawezekana wewe huishi Tanzania .
Mkuu wewe hujamaliza chuo, huko kote ulikopita mimi nimepita, na kwa kukutarifu tu, mimi naofisi yangu ya ndoto yangu na napigana kwa jasho nadamu ifike mahala napotaka, sihitaji ajira yamtu wala kumpigia kelele mtu, lakini mifumo ya utawala wa Magufuli imekua migumu mno, kodi zisizostahili kila mahala, tenda zote anazipa taasisi za Serikali.Kwanini? Tanzania hakuna fulsa,ngoja nikuambie jambo sisi watanzania hasa wanachuo hatujui misingi ya kufanikiwa tunawaza tu kutumia tulivyoundiwa,mwanachuo akipokea bumu kitu cha kwanza anachokiona cha maana ni flat screen,simu,na vitu vingi vya ovyo ambavyo watu wenye kufikili waliviunda,ukiwa chuo kama MTU mwenye malengo na huna makundi kupitia bumu MTU unatoka kimaisha ukiwa chuoni,watu wanapaswa kuwekeza kwenye kufikili alafu waamishie mwenye vitabu,sio kukalili mwenye vitabu kuamishia mwenye kichwani,waliofanikiwa kubuni na kutengeneza vitu vyote duniani walianzia kufikili na kubuni kwanza kabla ya kuamishia mwenye vitabu.
Kwa uandishi huu ata chuo cha madrasa hujaenda..Kwanini? Tanzania hakuna fulsa,ngoja nikuambie jambo sisi watanzania hasa wanachuo hatujui misingi ya kufanikiwa tunawaza tu kutumia tulivyoundiwa,mwanachuo akipokea bumu kitu cha kwanza anachokiona cha maana ni flat screen,simu,na vitu vingi vya ovyo ambavyo watu wenye kufikili waliviunda,ukiwa chuo kama MTU mwenye malengo na huna makundi kupitia bumu MTU unatoka kimaisha ukiwa chuoni,watu wanapaswa kuwekeza kwenye kufikili alafu waamishie mwenye vitabu,sio kukalili mwenye vitabu kuamishia mwenye kichwani,waliofanikiwa kubuni na kutengeneza vitu vyote duniani walianzia kufikili na kubuni kwanza kabla ya kuamishia mwenye vitabu.
Ccm imefeli kila mahali kila wanapokurupuka kutatua tatizo wanajikuta wanakosea tena.Muheshimiwa Magufuli Tanzania ya viwanda uliyotuahidi iko wapi, leo kama unataka wahandisi tuliosoma kwa jasho na damu ili tupate ajira kwenye Tanzania yako uliyotuahidi itakua ya viwanda, leo unatwambia tuombe ualimu?. Kweli Magufuli?
Mkuu Tanzania kuna uvumbuzi?. Au nimuendelezo wa walivyogunduliwa, project tu zinazofanyika chuoni na maprofesa wanazipitisha hakuna jipya. Watu wanapokuambia mfumo wa elimu wa Tanzania nimbovu huelewi?.Jibu hoja hayo mengine ayakuhusu ,wewe unategemea nini?,aliyegundua kitu chochote unachokitumia wewe pamoja na iyo simu alifikili kichwani akaamishia kitabuni,wewe unaewaza unayesubili mzungu aje akuambie pale unaweza kufanya hiki na hiki utasubiri sana,elimu yako inatakiwa ikupe maarifa na sio ajila.
Vijana wanaoishi kwa shemeji zao na baba wadogo zao hawawezi kuelewa.Mkuu wewe hujamaliza chuo, huko kote ulikopita mimi nimepita, na kwa kukutarifu tu, mimi naofisi yangu ya ndoto yangu na napigana kwa jasho nadamu ifike mahala napotaka, sihitaji ajira yamtu wala kumpigia kelele mtu, lakini mifumo ya utawala wa Magufuli imekua migumu mno, kodi zisizostahili kila mahala, tenda zote anazipa taasisi za Serikali.
Endelea kupokea bumu, huzifaham kodi tunazopewa TRA.
Hahhaa vi-wonder sawaKama nchi Tuna viwanda 8500 hadi sasa
Tatizo mlilonalo watanzania ni kuamini kwamba mwalimu wa chekechea au mfanyakazi wa ndani hawezi kuwa na PhD,hapa Tanzania Luna fulsa nyingi sana tatizo mnakalili amuumizi vichwa,unataka kuniambia hapo mtaani kwenu hakuna fulsa,aliyegundua ndege angekuwa muoga Leo hii pasingekuwepo na ndege.Mkuu wewe hujamaliza chuo, huko kote ulikopita mimi nimepita, na kwa kukutarifu tu, mimi naofisi yangu ya ndoto yangu na napigana kwa jasho nadamu ifike mahala napotaka, sihitaji ajira yamtu wala kumpigia kelele mtu, lakini mifumo ya utawala wa Magufuli imekua migumu mno, kodi zisizostahili kila mahala, tenda zote anazipa taasisi za Serikali.
Endelea kupokea bumu, huzifaham kodi tunazopewa TRA.
Utagunduaje ndege "Tanzania" wakati ukitengeneza tu drone yako, ili uirushe angalau kwa majaribio unahitaji ulipie dola 100 ?.M
Tatizo mlilonalo watanzania ni kuamini kwamba mwalimu wa chekechea au mfanyakazi wa ndani hawezi kuwa na PhD,hapa Tanzania Luna fulsa nyingi sana tatizo mnakalili amuumizi vichwa,unataka kuniambia hapo mtaani kwenu hakuna fulsa,aliyegundua ndege angekuwa muoga Leo hii pasingekuwepo na ndege.
Wewe bado unashindwa kuwa muelewa,tatizo ni kichwa chako tu,umesomea taaluma gani ndugu nikupe mfano wa kufikili.Vijana wanaoishi kwa shemeji zao na baba wadogo zao hawawezi kuelewa.
Kikokotoo kimekaaje kimefutwa kwa kaui ya mtu au bunge?Ccm imefeli kila mahali kila wanapokurupuka kutatua tatizo wanajikuta wanakosea tena.