Haya Kanye kwenye choo Cha shemejiUnaona matatizo yako badala ya kupokea ushauri,unakosoa vitu vidogo sana,hivi unafahamu kuwa kuna mtu aliyegundua mahandishi aya unayonitoa kasoro MTU huyu alianzia kufikili kwanza,hivyo anza kufikili kwanza kabla ya kufanya jambo lolote.
Alikipeleka mwenyewe bungeni alioona tumemind akajifanya amefuta kutafuta sif tu.Kikokotoo kimekaaje kimefutwa kwa kaui ya mtu au bunge?
Hua lolote wewe nenda huko kawadanganye mazuzu kama wewe.Wewe bado unashindwa kuwa muelewa,tatizo ni kichwa chako tu,umesomea taaluma gani ndugu nikupe mfano wa kufikili.
Hakuna mtu mwongo Tanganyika kama bw yule , Maendeleo hayana chama hapohapo mkiniletea mwingine sileti maendeleo kweli huyu ni mzimaAlikipeleka mwenyewe bungeni alioona tumemind akajifanya amefuta kutafuta sif tu.
Jambo lilelile nalokuambia unalirudia, sio mahandishi ni maandishi, sasa kama unakosea vitu vidogo kama hivi, ukipewa inter-gration itakuwaje, au ukipewa fourier siries, utaweza kweli kukokotoa?.Unaona matatizo yako badala ya kupokea ushauri,unakosoa vitu vidogo sana,hivi unafahamu kuwa kuna mtu aliyegundua mahandishi aya unayonitoa kasoro MTU huyu alianzia kufikili kwanza,hivyo anza kufikili kwanza kabla ya kufanya jambo lolote.
Unabeti alafu utegemee kutoka na unakalili alafu utegemee ugunduzi,Mimi huu ni mwaka wa 3 tokea nimemaliza chuo,na nikueleze tu ukweli nimesoma open na nilikuwa nalipa ada mwenyewe na biashara iliyonifikisha hapo na hapa nilipo ni nyingi sana,Mimi nabadilika kutokana na msimu, naanzia sokoni kujua soko nilikuwa nafuata samaki kwa baiskeli wale kambale nilichekwa sana,mahindi nimeuza ,matunda kila aina nimeuza,Leo hii ndugu yangu walionicheka wanajaribu kupitia nilimopita too late Niko mbali sana hivyo tujifunze kuanzia chini.Haya Kanye kwenye choo Cha shemeji
Kamuulize mmiliki wa google kama anaweza kupangilia maneno,au baba yake na mo nakuambia lugha haiwezi kupoteza maana ya kitu ila matumizi ya kitu yanaweza kubadili lugha chukua iyo.Jambo lilelile nalokuambia unalirudia, sio mahandishi ni maandishi, sasa kama unakosea vitu vidogo kama hivi, ukipewa inter-gration itakuwaje, au ukipewa fourier siries, utaweza kweli kukokotoa?.
Mkuu uandishi wako ni mbovu sana kwa mtu anayedai amekwenda shule, ni mbovu na unatia hata hasira kusoma. Pili ukikua na kukomaa utajua haukuwa sahihi kabisa kwa haya yote unayoyaandika. Uzoefu wako kwenye maisha halisi ni mdogo sana sana.M
Tatizo mlilonalo watanzania ni kuamini kwamba mwalimu wa chekechea au mfanyakazi wa ndani hawezi kuwa na PhD,hapa Tanzania Luna fulsa nyingi sana tatizo mnakalili amuumizi vichwa,unataka kuniambia hapo mtaani kwenu hakuna fulsa,aliyegundua ndege angekuwa muoga Leo hii pasingekuwepo na ndege.
Kwi kwi kwi ndiyo kujitetea huko kwakuwa Juma aliiba hakukamtwa basi namimi leo niachiwe Pumbavu mkuu weweKamuulize mmiliki wa google kama anaweza kupangilia maneno,au baba yake na mo nakuambia lugha haiwezi kupoteza maana ya kitu ila matumizi ya kitu yanaweza kubadili lugha chukua iyo.
Kama wa daktari au kama sijasoma.Mkuu uandishi wako ni mbovu sana kwa mtu anayedai amekwenda shule, ni mbovu na unatia hata hasira kusoma. Pili ukikua na kukomaa utajua haukuwa sahihi kabisa kwa haya yote unayoyaandika. Uzoefu wako kwenye maisha halisi ni mdogo sana sana.
Wewe na Jiwe wako mmewahi kujiajiri? Acheni kuwanyanyasa vijana ndani ya nchi yao. Mkitumbuliwa udas tu mnalialia mtaani, kutwa kujipendekeza ili mteuliwe. Onesheni mfano wa kujiajiri nyinyi akina BashiteUliambiwa ukiwa muhandisi lazima uajiliwe nenda kafanye kile ulichofundishwa kwa vitendo tengeneza wazo ulifanyie kazi.
Tija haiwezi kuja katika nchi kama tukiendelea kuwa na watu kama wewe ambaye unaacha kuangalia uzito wa nilichokiandika unajadili uandishi.Kama wa daktari au kama sijasoma.
Karibu mtaani kijana. Uje na ujuaji wako huu huu😆M
Tatizo mlilonalo watanzania ni kuamini kwamba mwalimu wa chekechea au mfanyakazi wa ndani hawezi kuwa na PhD,hapa Tanzania Luna fulsa nyingi sana tatizo mnakalili amuumizi vichwa,unataka kuniambia hapo mtaani kwenu hakuna fulsa,aliyegundua ndege angekuwa muoga Leo hii pasingekuwepo na ndege.
Muheshimiwa Magufuli Tanzania ya viwanda uliyotuahidi iko wapi, leo kama unataka wahandisi tuliosoma kwa jasho na damu ili tupate ajira kwenye Tanzania yako uliyotuahidi itakua ya viwanda, leo unatwambia tuombe ualimu?. Kweli Magufuli?
Uandishi ni taaluma ya watu hivyo husinihukumu.Kwa uandishi huu ata chuo cha madrasa hujaenda..
Kwa iyo usibishane sana na watu walioihangaikia elimu
Kwa uandishi wako huu lazima uwe nawasiwasi. Tafakari kwa nini Magufuli anataka wakafundishe badala yakuwapeleka kwenye viwanda anavyojisifu kujenga, au madaraja na miundombinu kiujumla?.Nina bado wasiwasi wa wahandisi kipindi hiki ambaye hajui cha kufanya
Nipo kitambo sana ndio maana najuliza kwanini wanachuo wanakuwa wavivu wa kufikili.Karibu mtaani kijana. Uje na ujuaji wako huu huu😆
Hivi man ulitaka magu akufanyie nini kwenye maisha yako nakuona kama profile yako kuna picha ya mwanaharakati.Kwa uandishi wako huu lazima uwe nawasiwasi. Tafakari kwa nini Magufuli anataka wakafundishe badala yakuwapeleka kwenye viwanda anavyojisifu kujenga, au madaraja na miundombinu kiujumla?.
Aweke mazingira wezeshi kwa wanaotaka kujiajiri, apunguze kodi zisizo namsingi, atoe ajira kama watangulizi wake,apandishe madaraja na mishahara kadri sheria inavyosema, arudishe makato ya heslb 8% ,au ashushe kabisa maana yeye alisoma bure, arudishe fao lakujitoa, arudishe uhuru wa vuombo vyahabari, aheshimu haki zawatu wengine, kisha ajenge miundombinu(ujenzi+usafirishaji). Mwisho kabisa azingatie "uhuru,haki,wajibu,namaendeleo ya watu".Hivi man ulitaka magu akufanyie nini kwenye maisha yako nakuona kama profile yako kuna picha ya mwanaharakati.