Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #81
We vip mbona unatoa lugha chafuMbwa ww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We vip mbona unatoa lugha chafuMbwa ww
Mkuu pole na majangaWakuu jana baada ya kurudi home nilivyotoka uwanjani taifa nilimkuta mzee wangu hawezi kutembea yaani upande wa kushoto haufanyi kazi nilipata maumivu mara mbili yaani nilifungwa kwenye timu na narudi home nakuta majanga je Stroke inaweza kupona maana jana nilifika kituo cha afya ili apime kipimo cha CitiScan majibu yakaja kuwa amepata damage upande wa ubongo hapa naongea huku natamani kulia mkono na mguu wake havifanyi kazi naomba kujua dawa au matibabu ya haraka yanayoweza kumfanya harudi katika Hali yake ya kawaida
Shukrani sana mkuuMkuu pole na majanga
Kwa experiance ambayo niliipata kwa wazazi wangu wawili ambao wote walipata stroke kwa nyakati tofuti
Ni kuwa inatibika ukiiwahi
Inshallah ikawe kheriPole sana namuombea baba apone haraka.
Vyema Mkuu. Hivi ' Mambo yetu' yare anayaweza Tena, au ndio Alie TU ?....[emoji846]Itakuwa alipata mshituko wa matokeo ya jana! Wananchi wote walikuwa wanaamini kwa asilimia 99 wanamfunga Mwarabu! Atapona tu ingawa huwa inachukua muda mrefu. Wengi wanaopata shida kubwa huwa wanaweza kupoteza maisha lakini hii ya kupooza upande mmoja huwa wanarudi kwenye hali zao japo siyo kwa asilimia 100. Kwa mfano anaweza kupoteza kumbukumbu,, mkono mmoja kutofanya kazi vizuri, ulemavu wa mguu na au mdomo kwenda upande!
Vzr uki share hapa kwa manufaa ya wengi,Kuna mtu anawatibu Hawa watu wanarudi katika Hali zao za kawaida aisee.. njoo inbox
...Brother, Dawa za Mitishamba tusiziponde kabisa! Zimesaidia Wengi ambao hawakumudu kuweza kukimbilia Regency au Muhimbili...!?Hii nakupa kutokana na uzoefu mkuu
Mwaka 2019 nilimuuguza mama akiwa na umri karibu na mzee wako ye alikuwa 65 kwa ugonjwa huo huo na Sasa amepona yuko sawa akiwa na 70 yake
Nilimpeleka regency wakampa dawa ya dharula Kisha Dr kisanga anakanipa number ya Dr Njenje yuko hapo muhimbili
Jamaa Wana hospital Yao pale nje ya muhimbili kama unaenda mbele kidogo ratiba zao huwa ni asubuhi na mapema sana
Jamaa akanishauri nikaenda kule kinondoni kwa wachina kufanya scan ikaonesha athari
Nikarejea akaniandika dawa mbili ambazo gharama ilifikia kama 2000000
Nikaenda pale Robby one kariakoo nikawa nazinunua kwa mafungu anameza hadi akawa sawa
Angalizo dogo
Jitahidi utumie private hospital kama hao na wale wachina wa kinondoni ili usikawie sana na mgonjwa asichoke na abadani usitumie mitishamba au dawa za asili zinaweza kufanya tatizo liwe kubwa zaidi
Mwisho naamini mzee atakuwa sawa sana
Awe anapata mda wa kupumzika na sio Kila saa kumuuliza unajisikiaje
Je alikuwa na tatizo la shinikizo la damu muda mrefu?Wakuu jana baada ya kurudi home nilivyotoka uwanjani taifa nilimkuta mzee wangu hawezi kutembea yaani upande wa kushoto haufanyi kazi nilipata maumivu mara mbili yaani nilifungwa kwenye timu na narudi home nakuta majanga je Stroke inaweza kupona maana jana nilifika kituo cha afya ili apime kipimo cha CitiScan majibu yakaja kuwa amepata damage upande wa ubongo hapa naongea huku natamani kulia mkono na mguu wake havifanyi kazi naomba kujua dawa au matibabu ya haraka yanayoweza kumfanya harudi katika Hali yake ya kawaida
Pole sana mkuuu atapona tuNdio ilimuanza shida hiyo Toka saa 7 mchana maana mie nilikuwa sipo home nilikuwepo uwanjani narudi nakutana na majanga
Kama huijui hiyo mitishamba na bingwa wa tiba hiyo Bora unyamaze. Yeye anataka aambiwe ni fulani yupo sehemu fulani na ansaminika kutibu ugonjwa huo. Sasa hapo umemuweka kwenye kilengeo ataenda kwa wale matapeli wanaopanga madawa feki mitaani maana hukumpa mtaalamu halisiPole kwa kuuguza Mkuu, Jaribu na mitishamba mara nyingi huwa inasaidia watu.
Ni vile umechelewa lakn kuna vijiti huwa wanawapa watu waliopata Stroke ili kuzuia Damage kubwa.
Pambana kotekote Mkuu.
Usiwe na roho mbaya hivyo.Laana ya tabia zako hizo, badilika 😼